kusafiri

Kusafiri is one of the five world centres of the World Association of Girl Guides and Girl Scouts (WAGGGS). It is based in Africa but has no fixed location, instead it moves around existing locations in different African countries.In October 2015, the name Kusafiri was given to the fifth world centre. Kusafiri means 'to journey' in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    Kinachomuuma zaidi ni kwamba hawezi tena kusafiri kwasababu aliufanya urais kama kiuza sura tangu alivyoingia alikuwa ni mtu wa kuuza sura tu

    Kinachomuuma zaidi ni kwamba hawezi tena kusafiri kwasababu aliufanya urais kama kiuza sura tangu alivyoingia alikuwa ni mtu wa kuuza sura tu. lakini Sasa hivi urais umekuwa msumari wa moto tofauti na hapo awali na bado anaendelea kuharibu na kujiongezea kesi za kujibu kwasababu washauri wake...
  2. M

    Kusafiri kwenda Ghana kunahitaji Visa?

    Habari waungwana, kama kichwa cha habari kisemavyo. Je, kuna uhitaji wa mimi Mtanzania kuwa na Visa iwapo nataka kwenda Ghana? Naelewa kuwa hatuna ubalozi hapa nchini ila sijui nchi zetu zina makubaliano gani.
  3. Lord Denning

    Pendekeza hapa Watu wa kuwekewa vikwazo vya Kusafiri na Fedha na Umoja wa Ulaya

    Moja ya Maazimio yaliyopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya jana na leo ni kuwawekea vikwazo wote waliohusika na mauaji ya Maelfu ya Watanganyika kwenye wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu pamoja na Wanaohusiana nao. Mimi naanza na Majina nyie wekeni wengine 1. Samia Suluhu Hassan na Familia yale...
  4. Genius Man

    PostGE2025 Jonh Heche, Tangu niachiliwe sijapewa passport yangu ya kusafiri bila sababu zozote za kisheria

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jonh Heche, amedai kuwa tangu aachiwe huru na Jeshi la Polisi amekuwa akifuatilia pasipoti yake ya kusafiria bila mafanikio. Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Heche amesema pasipoti hiyo ni muhimu kwa ajili...
  5. ELI COHEN

    Sugu aliimba huu wimbo akiwa na umri gani?

    1996 : Natafuta pasipoti, nataka kusafiri kikafiri, popote nitafika hata south africa, nyumbani nimechoka, nazidi nyanyasika🎶 Sugu alikuwa visionary sanaa, hapa ulikuwa na umri gani?
  6. The Zanzibar Echo

    Putin katika harakati ya kuunda silaha inayoweza kusafiri umbali wa kilomita 3.2 kwa sekunde

    Likiwa ncha yake imeelekezwa kwenye jua katika uwanja wa gwaride huko Beijing, makombora ya Jeshi la Jamhuri ya China yalisogea polepole kupita umati wa watu waliokuwa kwenye kundi moja la lori kubwa lililofichwa Yakiwa na Sindano yenye ncha kali mbele yake, yenye urefu wa mita 11 na uzani wa...
  7. kibori nangai

    Nimemisi kuona Mh Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kusafiri kwenda ulayaa

    Ndugu wa Jukwa mko poa. Binafsi nimemisi kuona Raisi Wa JMT akisafiri kwenda mamtoni. Sijui kwanini ameacha kusafiri Lucas MWANSHAMBWA SIUKO IKULU kuna shida gani kwani mbona anakaimisha tuu siku izii
  8. A

    KERO Ubalozi wa Marekani nchini urekebishe utaratibu wa kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri hasa katika upande wa mahojiano

    Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es Salaam katika kitengo cha kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri (visa). Utaratibu uliopo...
  9. kijana wa leo

    Kusafiri safari ndefu for fun (Road trip)

    Kuanzia tarehe moja August taanza likizo ya mwezi mmoja, nimeplan kufanya road trip kuanzia Dar - Moshi - Arusha - Babati-Mara- mwanza-Geita-Kagera -Kigoma-Katavi-Sumbawanga-Mbeya-Songea-Mtwara-Lindi then Dar... Kwa mdau anayejua changamoto yoyote kwenye hiyo root naomba anijuze ....
  10. M

    Usafiri binafsi kusafiri kutoka Ngara kwenda Dar es Salaam

    Nahitaji usafiri wa gari binafsi kutoka Ngara Kagera kwenda Dar es Salaam. Nasafiri mimi na mke wangu Natamani usafiri uwe Jumatano au Alhamis. Nitachangia nauli.
  11. W

    GE2025 Leonard Magere (CHADEMA) adaiwa kuzuiwa na mamlaka ya Uhamiaji kusafiri Uingereza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) Julai 12, 2025 kimeandika “Tunapenda kuutaarifu umma kuwa leo tarehe 12 Julai 2025 Bw. Leonard Joseph Magere, Mtaalamu wa Rasilimali, Miradi na Uwekezaji, amezuiwa na mamlaka ya uahamiaji kusafiri kuelekea nchini...
  12. Webabu

    Kusafiri kwenda au kupita mashariki ya kati ni hatari.Tahadhari yatolewa

    Mashambulizi kwenye maeneo ya Israel yameshika kasi tangu jana wakati Marekani iliposhambulia vinu vya nyuklia vya Iran.Maafa ndani ya Israel yameongezeka sana na katika kila eneo la ardhi hiyo. Wafuatiliaji wa usalama wa usafiri wa anga wametoa tahadhari kwa wasafiri kuchukua tahadhari...
  13. kiredio Jr

    Nahitaji Msaada: Kuunganishwa na Fursa za Kazi za Kusafiri na Mabasi ya Mikoani

    .
  14. D

    KERO Tanzania ya sasa barabara ni mbovu hadi wananchi tunaogopa kusafiri

    Yani hii Tanzania sio kabisa ukiambiwa miaka mitano nyuma tulikuwa tunateleza tu hutaamini barabara ni mbovu sana. Watu wamegoma kusafiri bila emergency payment maana wanajua hali ikibadilika, safari ya siku 3 itakuwa ya week. This is shameful, hatuna highway hata moja nzima, ni potholes...
  15. U

    Je ni kweli watu wa kigoma wanaoongoza kusafiri kwao wakiwa wamebeba mikate mikubwa? Sababu ni zipi hasa?

    Wadau hamjamboni nyote? Je ni kweli watu wa kigoma wanaoongoza kusafiri kwao wakiwa wamebeba mikate mikubwa? Sababu ni zipi hasa? Ni tetesi tunaomba uthibitisho
  16. Gotze Giyani

    Kabla ya kusafiri kwenda ughaibuni ni lazima uchome chanjo ya homa ya ini na yellow fever?

    Wadau poleni sana na majukumu naomba kuuliza hivi kwa mnaojua na wenye exposure za kusafiri mara kwa mara kwenda nchi za wenzetu kama Kenya ,Rwanda,Dubai, UK, France nk Nimeulizia nikasikia sio yellow fever vaccine tuu wanakagua hadi Hepatitis b nayo kwa miaka hii ni muhimu haswa ukiwa umetokea...
  17. The ice breaker

    Mjamzito wa miezi 9 anaweza kusafiri?

    Naomba kuuliza Mwanamke mwenye mimba ya miezi 9 , naweza kumsafirisha kutoka dar to dodoma? Kuna emergency itabidi asafiri immediately Kiafya ipoje hii
  18. Lavan Island

    Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu

    Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu
  19. Beira Boy

    Zamani rais wa Somalia akitaka kusafiri mkoan walitumwa usalama, saivi rais akitaka kusafiri wanatumwa machawa kama wote kuhamasisha

    Amani kwenu wakuu Sisi ambao ni wenyeji wa Somalia tunakumbuka kwamba zamani rais alikuwa akitaka kusafiri, walitumwa wana usalama eneo husika Lakini cha ajabu kwa sasa huku Somalia rais akitaka kusafiri wanatumwa machawa kama wote kuhamasisha watu wajitokeze barabaran kumlaki Dah...
  20. U

    Serikali ya Lebanon yapiga marufuku ndege za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutua uwanja wa ndege Beirut, maelfu ya abiria wakwama kusafiri

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Dozens of Lebanese nationals have been stranded at the international airport in Tehran since this morning after Lebanese aviation authorities informed the Iranian Mahar Air airline that its flight to Beirut would not be...
Back
Top Bottom