kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 DC Mafia, Mangosongo adaiwa kuwaondoa mawakala wote wa ACT Kwenye vituo vya kupigia kura

    Mkuu wa wilaya ya Mafia, Aziza Ally Mangosongo amewaondoa mawakala wote wa ACT Kwenye vituo vya kupigia kura.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tanga: DC Kubecha apiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa

    Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha leo Tarehe 27 Novemba 2024 Ameongoza Wananchi wa Wilaya ya Tanga kwenye zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya Central kituo cha Raskazone.
  3. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 RC Kagera, Fatma Mwassa atembelea vituo vya kura kuangalia maendeleo

    Mkuu wa mkoa wa Kagera Khajati Fatma Mwassa akiwa kituo cha kilima hewa kata Kashai akiangalia namna wanavyoendelea kujitokeza kwa wingi kupiga kura .Pia ametumia fursa hiyo kuwaomba wananchi kuendelea kujitokeza katika vituo vilivyopo katika maeneo yao kupiga kura Pia soma > LIVE - LGE2024 -...
  4. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mikumi: Kata 8 hazijaanza kupiga kura, msimamizi adaiwa kutopokea simu

    Wakati zoezi la upigaji wa kura za kuchagua viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa likiwa limeanza tangu saa 02:00 asubuhi nchini, hali ni tofauti kwa jimbo la Mikumi, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa kuwa kata nane (8) kati ya 15 za jimbo hilo zoezi la upigaji wa kura...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: Nape ashiriki zoezi la kupiga kura Mtama

    Wakuu, Bwana Bumunda na wanchi mbalimbali wajitokeza kupiga kura uchaguzi wa serikali ya mtaa kama mnavyoona kwenye picha. Hivi ndio walisema saa nne matokeo yanakuwa tayari eeeh? :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
  6. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na Maboksi ya Kura zilizopigwa kabla ya muda wa kupiga kura

    Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Festo Sanga ashiriki katika upigaji kura wa Serikali za Mitaa, Kijiji cha Bulongwa

    Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ni mmoja kati ya Wabunge ambao wamejitokeza kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024 katika Mikoa yote Nchini. Sanga amepiga kura katika Jimboni la Makete, Kijiji cha Bulongwa - Kitongoji cha Amani.
  8. Bams

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ukipiga Kura, Wananchi Washuhudie Hatua Zote, Ndiyo Kanuni ya Productivity

    Kuna kauli za kipuuzi zimetolewa na baadhi ya watu eti mtu akipiga kura aondoke, asishuhudie hatua nyingine, eti aende nyumbani asubirie kuambiwa nani ameshinda uchaguzi! Wengine wakathubutu hata kusema eti baada ya kupiga kura, wananchi wasipoteze muda, waende wakafanye kazi! Yaani leo ndiyo...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mambo ya kuzingatia unapoenda kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mtaa, leo Novemba 27, 2024

  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Simba akili kubwa, kwa makusudi hawajapromote mechi ya leo ili watu waende wakapige kura

    Kura yako ni muhimi kuliko kelele zako uwanjani. Kura yako ni muhimu kukiko 3000 yako ya kiingilio Kurayako ni muhimu hata tukifungwa bado kuna mechi tano Kapige kura,mpira utaangaliabaada ya kupiga kura Kama uongozi ungeamua kuipromote mechi uwanja ungejaa ,watu wanaipenda Simba kuliko hao...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Balozi Nchimbi Ahitimisha Kampeni Akihamasisha Watanzania Kujitokeza Kupiga Kura

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za CCM mkoani Dar es Salaam kwa kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya Jumatano, tarehe 27 Novemba 2024, kuchagua viongozi, hususan...
  12. A

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCTV Camera kwenye chumba cha kupiga kura

    Moja moja kwa mada: Ili kuondoa haya malalamiko ya wagombea wa CCM kuanzisha vurugu na kuwasingizia wapinzani ili watolewe nje na Police then wao wanabadilisha matokeo then mawakala wanarudishwa ndani kuhesabu, pamoja na hujumu zingine kama kwenda kula chakula ndani watu wanafanya yao. Kwanini...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ally Hapi ahimiza Wananchi kujitokeza kupiga kura

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amehitimisha kampeni za chama hicho mkoani Mbeya kwa kuhimiza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Katika hotuba yake, Hapi alisisitiza umuhimu wa kampeni za...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Kiswaga: CCM Tumejipanga, Tujitokeze Kupiga Kura

    Jackson Kiswaga, mbunge wa jimbo la kalenga amefunga kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kata ya Nzihi kwa kusema kuwa uchaguzi wa kesho ni muhimu kwa ustawi wa maendeleo ya kata hiyo. kiswaga amewahutubia wananchi katika mkutano wa mwisho wa kampeni, huku aliwasisitizia wananchi...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 RC Makonda: Piga kura ondoka katafute pesa, kulinda waachie mawakala

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda baada ya Wananchi kutimiza wajibu wao wa Kikatiba wa kuchagua viongozi wasipoteze muda wa kulinda kura kwani sio wajibu wao. "Achana na Habari ya kukaa kituoni kulinda kura hiyo ni kazi ya mawakala wa vyama vya siasa wewe kapige kura ukimaliza ondoka nenda...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wenje awapa mbinu Wagombea CHADEMA kupata kura, CCM yakomalia ulinzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amewataka wagombea wa chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa kuomba kura kwa unyenyekevu, mbinu aliyodai itawasaidia kuzioata za wafuasi wa CCM na vyama vingine vya upinzani. Wenje ametoa ushauri...
  17. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Missenyi: Mbunge wa Nkenge, Florent Kyombo aomba kura nyumba kwa nyumba

    NYUMBA KWA NYUMBA MBUNGE WA JIMBO LA NKENGE AKIHAMASISHA NA KUOMBA KURA ZA NDIYO KWA WAGOMBE WOTE WA CCM. Tunaendelea kuhamasisha Wananchi na Wanachama wote wa Chama cha Mapinduzi kuhakikisha tunatafuta kura ili kukipa ushindi chama cha Mapinduzi CCM “Wajibu wetu ni kuwakumbusha tu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CPA Amos Makala: Msiwape Kura Wapinzani Hawaaminiani na Hawaaminiki

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema vyama vya upinzani haviaminiki, wala viongozi wao hawaaminiani, hivyo wagombea wake hawastahili kuchaguliwa. Makala amesema hayo wakati akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni za...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mussa Zungu ajitosa kampeni za Mtaa kwa Mtaa, awaombea Kura Wagombea CCM, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mussa Azzan Zungu, ambaye ni Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, ameendelea na kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kata ya Upanga Magharibi, jijini Dar es Salaam. Amengia kuogea na wananchi mtaa kwa mtaa na nyumba kwa nyumba, Zungu amewanadi wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Huu mpango RC Chalamila una lengo gani?, "Nipe Kura moja, nikupe siku tatu za Bata"

    Wakuu Huu mpango wa Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam una lengo gani, kwani amezindua Tamasha la siku tatu "Bata la Disemba - End of the year Carnival" lakini ili utokee lazima umpe Kura Moja, kisha yeye akupe siku tatu za Bata.
Back
Top Bottom