kura za maoni ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mtotofisi

    GE2025 Matokeo ya Kura za Maoni Kongwa Isaya Mngulumi Kawagalagaza wenzake

    Kwenye Uchaguzi wa kura za maoni CCM kwenye Jimbo la Hayati Job Yustino Ndugai, matokeo yaliyotangazwa na Karibu wa CCM wilaya ya Kongwa dr Isaya Moses Mngulumi amewashinda makada 12 Kwa kupata kura 4,436 SAWA na Asilimia 45.26 akifatiwa na Dr Samora mshang'a aliyepata kura 2,834 swa na Asilimia...
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wachama CCM Ulanga Watishia Kurudisha Kadi kwa Sababu ya Matokeo ya Kura za Maoni

    Wachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)zaidi ya 50 Kutokana Kata ya Minepa Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, wametishia kurudisha kadi endapo jina la Mtia nia Udiwani aliyeingoza kwenye kura za maoni alitorudishwa. Wakizungumza wakiwa katika ofisi ya CCM Mkoa Morogoro, Wanachama hao wamesema...
  3. jamaikatz

    GE2025 Hers Said ajitokeza kugombea Jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM

    Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, amejiunga na zaidi ya wanachama 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma. Mchakato wa kutafuta mgombea mpya umetangazwa kurudiwa baada ya kifo cha aliyekuwa Mbunge na...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 TAKUKURU Geita yafuatilia tuhuma za Rushwa Kura za Maoni CCM

    aasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita imesema inaendelea kufuatilia kwa karibu vitendo vya rushwa vilivyodaiwa kutokea katika mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni ya wabunge na madiwani ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa...
  5. R

    GE2025 Watia nia 11 waliongooza kura za maoni Udiwani Morogoro hawajateuliwa

    Jumla ya Wanachama Kumi 11 ambapo wakitia nia Udiwani Chama Cha Mapinduzi na kuongoza kura za maoni kati ya kata 214 za Mkoa wa Morogoro, hawajateuliwa na kugombea nafasi hizo kutokana na sababu mbalimbali Hayo yamesemwa na Katibu wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Mkoa Morogoro Nuru Ngereja...
  6. Roving Journalist

    GE2025 Mpina adai kuenguliwa kwa baadhi ya Wabunge kura za maoni CCM kunalenga kulea ufisadi

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema kuenguliwa kwa waliokuwa wabunge 28 katika katika kura za maoni za CCM akisema yamelenga kuondoa wabunge wanaouliza maswali na kutoa hoja bungeni. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Agosti 14 jijini...
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Licha ya kuongoza kura za maoni za udiwani CCM mchambuzi wa soka Zuberi lakini jina lake lakatwa

    Sakata la Zubeir Mkalaboko ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya soka lilianza mapema akiwa siyo sehemu ya majina yaliyoteuliwa kugombea licha ya kuwa ndiyo Diwani aliyekuwa anayemaliza muda wake Madarakani. Hata hivyo, busara za marekebisho ya Katiba na maagizo ya Kamati kuu CCM Taifa kutaka...
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Manyara: Mgombea udiwani alalamikia kubadilishiwa jina siku ya kupiga kura za maoni

    Mgombea Udiwani Kata ya Masakta, Wilayani Hanang, Mkoani Manyara, Mathias Daqaro, ametoa malalamiko kuhusu kubadilishwa kwa jina lake kwenye fomu za kupigia kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM), jambo ambalo alidai limechangia kushindwa kwake katika mchakato huo. Mathias amesema baada ya...
  9. Allen Kilewella

    GE2025 Mada Maalum: Vurumai za kura za maoni CCM

    Leo nimeona Clip ya Cyprian Musiba akilalamika kuhusu kura za maoni ndani ya CCM. Kura hizo za maoni CCM zimefuta kabisa yale majigambo ya chama hicho kuwa kina uadilifu kwenye kusimamia changuzi ndani ya chama hicho. Angalau kwenye kila Jimbo kuna malalamiko dhidi uwepo wa rushwa udanganyifu...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Kondoa kiwewaka, wananchi wapinga mchakato wa kura za maoni CCM

    Wanachama wa CCM waomba Reforms zifanyike laa sivyo wanarudisha kadi
  11. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wagombea UWT Kilimanjaro wamlalamikia mwenyekiti wao kwa upendeleo

    Malalamiko yameibuka kutoka kwa baadhi ya Wagombea wa Ubunge kupitia kundi la Wanawake (Viti Maalum) Mkoani Kilimanjaro, wakimtuhumu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa mkoa huo,Elizabeth Minde, kwa kukiuka taratibu za uchaguzi kwa kupeleka majina ya wagombea kutoka Moshi Mjini...
  12. Waufukweni

    GE2025 Bashe awashukia Wagombea wa CCM waliopondea Sera za Serikali kwenye Kura za Maoni: Ni hatari sana!

    Waziri wa Kili Hussein Bashe, awashukia Wagombea wa CCM waliopondea Sera za Serikali kwenye Kura za Maoni, asema ni hatari sana!
  13. Waufukweni

    GE2025 Kilimanjaro: Watu watiwa Mbaroni kwa uhalifu Kura za Maoni CCM Vunjo

    Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu kadhaa kwa tuhuma za kujihusisha na jaribio la kufanya uhalifu wakati wa zoezi la uchaguzi wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mpinduzi (CCM) jimbo la Vunjo. Watu hao wanadaiwa usiku wa kuamkia siku ya upigaji kura za maoni, yaani Agosti...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 John Luhende ashinda kura za maoni ubunge wa Jimbo la Bukene

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) John Luhende, ameibuka mshindi wa kura za maoni za kuwania ubunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora, baada ya kuzoa kura 6,274 na kuwaacha kwa mbali wapinzani wake akiwemo Mbunge aliyemaliza muda wake Selemani Jumanne Zedi, ambaye amekuwa wa tatu kwa kupata kura...
  15. Pfizer

    GE2025 Uchaguzi wa ndani ya CCM jimbo la Vunjo Kilimanjaro, umemalizika huku ukiacha makovu. Watu wakamatwa na Mabomu

    UCHAGUZI wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mpinduzi (CCM) jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro umemalizika huku ukiacha makovu mengi kwa wakazi wa maeneo hayo na vitongoji vyake. Uchaguzi huo uliokuwa na jumla ya wagombea sita (6) umeacha majeraha ya kutisha kutokana na mmoja wa wagombe hao...
  16. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Rashid Shangazi aibuka mshindi kura za maoni CCM Jimbo la Mlalo

    Mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Mlalo, Rashid Shangazi, ameongoza kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kushinda kwa kura 4,240 kati ya kura halali 6,901 zilizopigwa. Shangazi amewashinda wagombea wenzake wanne akiwemo Amiri Mkufya aliyeshika nafasi ya pili kwa kura...
  17. Waufukweni

    GE2025 Babu Tale akipika Mrenda baada ya kushinda Kura za Maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini, Mashariki

    Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Baba Levo na kura 88 za maoni CCM jimbo la Kigoma Mjini

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini ambaye anatetea kiti hicho, Kirumba Ng’enda ameongoza kwenye kura za maoni za chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika leo, akimzidi kura 88 mpinzani wake mkuu Clayton Chipando (Baba Levo). Akitoa matokeo ya uchaguzi huo uliofanywa na Wajumbe wa Mkutano...
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Shabani Mrutu aibuka kidedea katika kura za maoni CCM kwa nafasi ya ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini

    Shabani Mrutu ameibuka kidedea katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini baada ya kuzoa kura 6,612 na kuwaacha mbali wapinzani wake watano waliokuwa wakisaka tiketi ya chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Matokeo hayo...
  20. Nkarahacha

    Faris Buruhan aangukia pua kura za maoni CCM Bukoba Vijijini ,Dkt Rweikiza apeta

    Ndg,Faris Buruhan ameshindwa katika kura za maoni Bukoba Vijijini kwa kupata kura 4619 nyuma ya mbunge aliyepo Dkt Jasson Rweikiza aliyepata kura 6465 .
Back
Top Bottom