Rais wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa nchini Comoro (Chambre anti-corruption) Bi Fahamoue Youssouf akiambatana na maafisa wake amewasili Dar es salaam kwa ziara ya kikazi kwa mwaliko wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Ndugu Crispin Chalamila.
Ziara...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Tanzania imeendelea kupiga hatua katika mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi, jambo linalothibitishwa na takwimu za kimataifa.
Akizungumza katika Jukwaa la Cafetalk lililofanyika Jumamosi, Prof. Kitila amesema...
Mratibu wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa mikoa ya Kanda ya Kati, Dk Bashiru Ally, amesema CCM ndio chama pekee chenye uwezo wa kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya madaraka.
Akizungumza Septemba 21, 2025, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Parking, Nzega Mjini, kwa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Lindi imeendesha kikao kazi kujadili na kuweka mikakati dhidi ya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktoba.
Kikao hiko kimefanyika leo Septemba 11,2025 katika ukumbi wa CWT na kuwakutanisha viongozi wa dini na wazee wa Wilaya ya...
Nimeshangaa kutosikia haya.
1. Kupambana na ubadhilifu kuwezesha TAKUKURU mbinu za kisasa kuzuia Rushwa.
2. Kuongeza uwajibikaji na kukomesha wafanyakazi wazembe
3. Serikali kuhakikisha utawala wa sheria unaimarika. Kuhakikisha ulinzi na usalama kwa raia wote.
4. Sijasikia akitaja mradi...
Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni tofauti.
Kinara wa rushwa ni Taasisi za umma ili kuziba madhaifu yao.
Yaani TAKUKURU imekufa na...
Tunaweka Dira ambayo haiwezi kutekelezeka kwa mazingira ya sasa
1. Hatuna mfumo imara wa haki na mahakama zinatoa haki kipendeleo na kisiasa
2. Hatuna mfumo wa siasa mzuri tuna demokrasia ambayo serikali ndiyo ya kwanza kuipiga vita!
3. Viongozi wengi wananufaika na rushwa ndiyo maana kwa...
Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye thamani ya zaidi ya sh. Bil 4.4 kwenye sekta ya Elimu, Barabara na Biashara ambapo kati ya hiyo...
Kwa jinsi alivyo hawezi kukataa kupokea rushwa, wala hawezi kupambana na rushwa kwa namna yoyote ile.
Kwanza ni mbinafsi na amezongwa na shida za kifamilia sana. Na, ni mtu wa tamaa na uchu kupindukia, hususani kwenye suala la fedha, vyeo na madaraka.
Ukimfuatilia kwa makini katika mazungumzo...
Tume ya Kupambana na Rushwa ya Sierra Leone imefanikiwa kurejesha dola milioni 1.5 (TSh. Bilioni 3.960) kutoka kwa mfanyakazi wa benki aliyehusika na vitendo vya rushwa. Francis Ben Kaifala, Mkuu wa Tume hiyo, alithibitisha kuwa fedha hizi, zinazokaribia Shilingi za Sierra Leone bilioni 34...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ametoa wito kwa viongozi na wanasiasa wa mkoa huo kufanya siasa za kistaarabu badala ya siasa za chuki na zinazogawa wananchi akisema hazitavumiliwa mkoani humo.
Kanali Mtambi ametoa agizo hilo alipokuwa akizungumza na viongozi wa vyama vya siasa...
Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali
Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia Jukwaa la Stories of Change (SoC) Mwaka 2023 na 2024 na 2024, amekuwa mstari wa mbele kuweka...
millardayo Mtandao wa Kupinga Rushwa ya Ngono wenye jumla ya Mashirika zaidi ya 200, umetoa tamko leo August 31,2024 la kupinga marekebisho yanayopendekezwa kwenye Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, hususan kifungu 10(b) wakisema marekebisho hayo yanahatarisha...
Mahojiano yake na mwanahabari katika kituo kimoja maarufu cha television nchini yamethibitisha uoga na unyonge wa huyu muungwana katika kupambana na kudhibiti rushwa ndani ya chama chake mwenyewe, lakini pia imethibitika pasina shaka huyu muungwana hana uwezo wala mipango mikakati ya makusudi...
Zaidi ya mara moja kiongozi wake muandamizi ambae pia ni makamu mwenyekiti wa Taifa wa chama hiki amebainisha wazi na kulalamikia jambo hili baya kabisa, linalokwamisha mambo mengi sana kusonga mbele ndani ya Chadema na mahali pengine popote. Rushwa.
Alilizungumzia jambo hili la rushwa nje ya...
Zambia's President Hakinde Hichilema has taken the extraordinary step of firing the entire board of the country's corruption-busting body, after they themselves were accused of corruption, which they deny.
It comes days after the head of the Anti-Corruption Commission (ACC), Thom Shamakamba...
Tubadili mfumo wa kupambana na rushwa.
Katika jamii yetu, taasisi iliyokubwa kuliko taasisi zote ni taasisi ya rushwa.
Hata mtoto mdogo wa miaka 7 au nane anaweza kikuhadithia kwamba mzazi alipata tatizo hili au lile kwa sababu hakuwa na hela ya kuhonga asaidiwe hawezi kutatuliwa tatizo hili au...
UTANGULIZI: Rushwa imekuwa na maana nyingi kutokana na jamii tofauti ulimwenguni. Kwa Tanzania tunatafsiri Rushwa kuwa ni Kitu Chochote cha thamani ambacho mtu hutoa au kupewa ili kutoa upendeleo katika huduma au ni matumizi mabaya ya ofisi za umma kwa maslahi binafsi.
Kwa tafsiri hii binafsi...
Sheria kali za uhujumu uchumi zilianzishwa na JIWE a.k.a SHUJAA, na pia ndizo zilizoibua mafisadi waliokwepa kodi na kuhujumu nchi, kama alivyoeleza yey mwenyewe!
Magu alikuwa anafanya ziara za kushtukiza pale TPA na kila mara kukuta flow meter imechezewa, yaani watu wanajichotea mafuta na...
Bungeni - Dodoma
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent L. Bashungwa(Mb) amemshukuru Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kumuamini na ameahidi kudhibiti na kupambana na Rushwa katika mikataba, manunuzi na usimamizi wa miradi.
Amesema hayo leo tarehe 06 Septemba 2023 Bugeni...