kuonewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Utopolo walalamika kuonewa sana

  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni Mshabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo atashingilia Ushindi wa Penati ya Kupewa na ya Kuonewa Prisons FC

    Naipenda sana Simba SC yangu na natamani tushinde ila siyo kwa Kubebwa ( Mbeleko ) kama hii ya Leo. Wana Simba SC mtakaonichukia kwa hili nichukieni na mkiweza nitukaneni mnavyoweza ila kwa 100% Ushindi wa leo tumebebwa na Mwamuzi. Tunapokuwa Kila Siku tunawasema Yanga SC na GSM kuwa Wanahonga...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama Mbowe anaweza kuonewa. Je, mimi na Wewe tuko Salama?

    Mbowe ni kiongozi wa kitaifa, tena mtu mashuhuru ambaye anatetewa na wanasheria mahiri, na dhahiri kabisa kwamba kesi yake haina mbele wala nyuma. Tujiulize, mimi na wewe tusiokuwa na uwezo wa kifedha au tusiokuwa na majina. Kesi hizi za kubambika zimewaweka watu wangapi jela au kuvuruga Maisha...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, Umewahi kusumbuliwa na polisi kwenye biashara yako? ulipitia tabu zipi na kama uliweza kujinasua uliwezaje?

    Mapolisi wasio na weledi wakiamua kuingia kwenye biashara zako huwa ni wakorofi sana na ni hatari sana. Je uliwahi kukutana na usumbufu wao kwenye biashara yako. Kuna muuza laptops flani yaliwahi kumkuta alipoanza kununua laptops kwa watu wanaohitaji kuziuza, siku ya siku akauziwa laptop...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma tumezidi kuonewa kwenye suala la ardhi

    Inauma mwananchi kudhulumiwa maeneo aliyoyaendeleza kabla ya uhuru Inashangaza maeneo ya Msalato, Kiterela watu waliokuwa wanamiliki mashamba ya asili kuporwa kwa kisingizio cha upangwaji Jijji. Mbona MZEE Magufuli eneo alilopitisha SGR Mtumba na alipojenga Mji wa Serikali aliwalipa pesa bila...
  6. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania First borns (wazaliwa wa kwanza) wanapaswa kuonewa huruma

    Je umeshawahi kukutana na mtu akakueleza kwamba ''Huyu ni mdogo wangu'', lakini huyo mdogo mtu akaonekana ni mbavu nene na mkubwa kimaumbile kuliko mkubwa mtu? na wakati mwingine hata urefu mdogo mtu humzidi mkubwa mtu. Wazaliwa wa kwanza hufubaa sana kutokana na majukumu wanayo beba japo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe: CHADEMA Isikubali kuonewa

    Ndugu Freeman! Mara nyingi umesikika ukitaka sana siasa za uungwana, siasa za akupigaye shavu la kushoto basi mgeuzie la kulia. Hilo ni jambo zuri lakini hiyo falsafa yako inafanya kazi katika nchi za watawala ambao ni sober minded, siyo katika nchi ambayo watawala wameamua liwalo na liwe kwenye...
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zinaonesha hapendi wananchi kuonewa

    Mama ana msimamo tofauti kabisa na mtangulizi wake. Hapendi kabisa wananchi kuonewa. Pamoja na kuongea hadharani, lakini hata teuzi zake zimeongea hivyo. Vyombo vilivyotumika na Mwendazake kuminya uhuru wa wananchi katika utekelezaji wa maisha ya kawaida, vimepigwa dhoruba ya kisawasawa...
Back
Top Bottom