Pamoja na kwamba ukiona mwana CCM yoyote anashupalia jambo basi ujue anamaslahi yake binafsi!
Lakini kwa hili la kutenganisha Mamlaka ya kichama na Urais!
Niseme wazi kabisa pamoja na maslahi yao kichama, pia kama taifa tutasonga pamoja!
Ifahamike kwamba Ili mwana CCM apitishwe kugombea...