kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

    Habari wadau Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Jamii inamshangaa Mwanaume huyo na Anaonekana hana maturity. Kwa nini Mwanaume anaeweka bikira...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, Wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama Waislam?

    Taarifa katika vyombo vya habari kwamba Ndugu Sauli ambae alikuwa mfanya biashara mkubwa usafiri aliefariki kwa ajali ya gari ameacha wake wa 3 na watoto 16. SWALI Jee wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama waislam? kwa waislam hili limewekwa wazi pamoja na faida yake Sura ya An-Nisa...
  3. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada tu ya kuoa, wanawake wananipapatikia hadi kero

    Mara tu baada ya kufunga ndoa takatifu wanawake wameanza kujitongozesha si kazini, gym wala mtaani. Najiuliza walikua wapi mpaka Naoa huyu mnyakyusa wangu Atuganile?
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ashikiwa Panga na Baba yake baada ya kusema anataka kuoa

    Hili tukio limetokea mtaani kwetu bhana, Kuna jamaa this week alienda kuipa taarifa familia yake kuwa anataka kuoa na kumtambulisha mwenza wake kwa familia yao, sasa wakati anaulizwa maswali na Baba yake kuhusu tabia ili wamfahamu vizuri Mkwe wao. Jamaa akasema kuwa Binti anaetaka kumuoa...
  5. Dr Matola PhD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa Malegendary, hivi unapotaka kuoa mke wa pili, mke mkubwa unamuweka sawa vipi?

    Hili ni swali kwa Malegendary na kwa wanawake smart kichwani, hivi imefika hatua mwanaume unaona dhahiri kwa sababu zako binafsi na za msingi mke wako apate msaidizi, ni mistari gani ambayo mwanamke anaimbishwa mpaka anatowa kibali? Tafadhali hii siyo thread ya mahubiri, tujikite kwenye mada...
  6. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona vijana wengi sikuizi wanaogopa kuoa wanawake single mothers, nani kawatisha?

    Mko powa Nawapa siri vijana kama kuna wanawake waliokomaa na walio serious kuwa WAKE WATIIFU kwa waume zao basi ni single mothers, hao wameshapevuka kiakili wameshajifunza kutokana na yaliyopita. Wana akili ya maisha, hawana makuu kwao kuolewa ni ndoto iliyotimia wanaienzi na kuiheshimu mno...
  7. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa wengi kadri muda unavyosonga mbele. Sijui itakuwaje baada ya miaka 20 ijayo. Mbaya zaidi, hawa...
  8. Raymanu KE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usia wa Roma Mkatoliki kwa wanaojiandaa kuoa

    Salute comrades! Hitmaker wa NIPENI MAUA YANGU, Roma Zimbabwe kupitia ukurasa wake wa Instagram amewausia vijana wa kiume wanaojiandaa kuoa kwamba wasikurupuke tu kufanya maamuzi ya kuoa bali wawafanyie wachumba wao " vetting" ya kutosha. Roma amesema kabla hujamuoa huyo mchumba wako na...
  9. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kuepuka kuoa kama hutaki kufa kwa presha mapema

    1. Mrembo sana 2. Msanii (wa filamu, muziki) 3. Askari 4. Baa medi/hotelia 5. Mlokole 6. Nesi / Daktari 7. Msomi (Hasa ngazi ya chuo kikuu) 8. Mwanamke kutokea familia ya kishua NB. Picha haihusiani na mada
  10. U

    JamiiForums Tanzania Je Mungu yupo sahihi zaidi?anayesema mbinguni kuna kuoa au anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa?

    Wadau hamjamboni nyote? Nauliza nipate elimu Mungu yupi ni mkweli? Anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa na yule anayesema mbinguni kuna kuoa? Ukisoma Biblia Luka 20:34-35 - Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeghairisha kuoa baada ya kupitia page za watoa ushauri na confessions za matukio ya mahusiano

    Wasalaam wapendwa. Kuna page kama mbili hivi za kupitia instagram nilianza kuzipitia wiki kama moja hivi iliyopita mpaka siku leo. Sasaivi nna 30 years age ila nimejikuta nafsi inaniambia kwa dhati kabisa kuwa "usioe utakufa kabla ya wkati wako". Wanawake ni viumbe wakatili sana sikuwahi...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwaelewa na kuwajua wanawake huwezi kuoa

    Kwema Wakuu! Kuna namna mbili za kutokuwa interested na Ndoa. Mosi, kutowaelewa na kutowajua kabisa wanawake. Pili, kuwaelewa na kuwajua sana wanawake. Hiyo ya pili ndio zaidi. Watu wengi wanaowajua wanawake kindakindaki huishia kuwa bachelor sugu. Hawaoi. Wapo wanaume wenye kila sifa ya kuoa...
  13. Zee la madawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa huyu mwanamke! Kununua, kususa na ujeuri juu

    Zamani wakati nakua niliambiwa Wanawake kutoka kanda ya ziwa Ndiyo Wanawake wenye heshima kwa Hii Tanzania hususani kabila la Fulani Fulani la hayati kumbe bwana sio nilikuwa najidanganya tu.Hili kabila la former mkuu wa majeshi Wanawake zao ni jeuri na wana hasira Za kufa mtu aisee Kwanza...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HIVYO ULIVYO UNAWEZA KUOA AU KUOLEWA KWELI?

    kwa namna na jinsi unavyo vaa mavazi yako, kwa kauli na jinsi unavyoongea na watu, kuchangamana na rika mbalimbali, kuelewana na watu, na kushirikiana na wengine kwenye mambo mablimbali mathalani ya kiimani, furaha na huzuni.... kwa mwenendo na tabia yako ndani na nje ya familia, na zaidi sana...
  15. Utawala2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke kisa nimemzalisha

    .
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi hasara ya kukurupuka kuoa au kuolewa?

    Ni faida au hasara gani mtu mke au mtu mume anaeweza kuzipata endapo atakurupuka, atalazimisha au kulazimishwa kufunga ndoa kwa maana ya kuoa au kuolewa?🐒
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Awe ni mkristo wa dhehebu lolote au muislamu,mimi binafsi ni mkristo Nina miaka 43,nipo hapa Tanzania natafuta single mama yoyote ambaye anahitaji mtu wa kumfariji na kujenga familia stable, pia asiwe mpenda vileo ,pombe bangi au sigara. Awe pia mtu aneyejishughulisha katika kazi zenye heshima...
  18. Manyanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuweni makini na ndoa, usikosee kuoa au kuolewa

    (Story ya Asamoah Gyan) Intro 👇👇 ✍️Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kunambia Wanawake wana jicho la kuforecast mafanikio ya mtu kabla hata mtu mwenyewe hajayaona , Yaani mwanamke anaweza kukuweka kwenye mzani akajua wewe ten Years utakuwa wapi kimaisha, kama ukiwa in a stable movement...
  19. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke hasa mtu mzima wa kuoa ambae yupo serious

    Jmn natafuta mke
  20. Ashampoo burning

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina Miaka 32, nahisi sitokuja kuoa kabisa

    https://youtu.be/Cvpm7ckpd_M?si=XZrDOzXkE3ZHrsBO Habari wadau kabla hujaanza kusoma vaa earphone hapo bonyeza huwa wimbo kenny g nimeu pin ili ukusadie kuzama kwenye kisa soma soma kisa changu Basi mwaka 2017 maeno ya kisutu posta nilikutana na dada mrembo sana tukabadilishana...
Back
Top Bottom