kunyongwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maisha ya mfungwa anayesubiri kunyongwa gerezani

    Anasema wafungwa ambao wanasubiri kunyongwa kwa siku hupewa dakika 15 tu za kutoka nje na muda mwingi hubaki ndani. “Kwa kuwa wanakuwa wengi gerezani, basi kuna baadhi wanaweza kukaa muda mrefu bila kuona hata jua na baadhi wamefikia hatua ya kuchanganyikiwa kutokana na msongo wa mawazo,”...
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama Nchini Misri yataka kunyongwa kwa muuaji wa Mwanafunzi wa kike kuonyeshwa moja kwa moja kwenye televisheni

    Mahakama nchini Misri imeliandikia Bunge barua ya kutaka kufanyike marekebisho ya kisheria ili kuruhusu matangazo ya moja kwa moja ya Televisheni ya kunyongwa kwa muuaji wa mwanafunzi wa kike kwa lengo la kuzuia vitendo vya ukatili kwa Wanawake Mohammed Adel (22) alihukumiwa kunyongwa baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Watatu wahukumiwa kunyongwa kwa Mauaji Njombe

    Mahakama Kuu Kanda ya Iringa iliyokaa kikao chake katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Njombe imewahukumu washtakiwa watatu Elias Jackson Mwenda (31), Hussein Khamis (31) na Orestus Mbawala (51) kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya James Kaengesa mkazi wa Makambako...
  4. JamiiForums Tanzania Mmiliki wa saluni ya kike Sinza adaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake

    Matukio ya wanawake kuuawa kikatili na wapenzi au waume zao yameendelea kutikisa, baada ya mwanamke mmoja mmiliki wa saluni ya Madam Beauty Point iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa jina la Leonia Julius, kudaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake wakiwa hotelini. Inadaiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Musoma: Baba na mwana wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Mahakamani Kuu Kanda ya Musoma kupitia Mahakama ya Wilaya Tarime Mkoani Mara imewahukumu baba na mtoto wake wa Kijiji cha Genkuru kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya mauaji. Waliohukumiwa ni Matinde Keranganyi (baba) na Mwita Matinde (mtoto) ambao walishtakiwa kwa kumpiga mawe...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Video: Wanajeshi wa Ukraine zaidi ya 900 waliojificha Azovstal, Mariupol wajisalimisha kwa majeshi ya Russia

    Russia imesema wanajeshi wa Ukraine mia tisa na hamsini na tisa (959) waliokuwa wamejificha kwenye kiwanda cha chuma huko Azovstal, Mariupol wamesalimu amri hadi kufikia jana (juma nne). Kati ya hao 959, wnajeshi 80 walikuwa wamejeruhiwa na kati yao 51 walipelekwa hospitali iliyo chini ya...
  7. JamiiForums Tanzania Hukumu ya kunyongwa hadi kifo yaongezeka Nchini Iran

    Ripoti imetolewa leo Aprili 28, 2022 ambapo imefahamika kuwa adhabu ya kifo Nchini Iran imeongezeka kwa asilimia 25 ndani ya mwaka 2021. Katika idadi ya waliohukumiwa wamo pia wanawake 17 pamoja na walioshitakiwa kwa kesi za madawa ya kulevya Mashirika ya Haki za binaadamu IHR na ECPM ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kigoma: Ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua jirani yake

    Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Kigoma imemuhukumu kunyongwa hadi kufa mtu mmoja aitwaye Kinyota Kabwe mkazi wa Muzye wilayani Kasulu kwa kosa la kumuua kwa makusudi jirani yake kwa kumchoma mkuki mara tatu na kusingizia alikuwa amechanganyikiwa. Kesi hiyo namba 105 ya Jamhuri dhidi ya...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afariki kwa kunyongwa na boflo na soda

    Na SHABAN MAKOKHA SHEREHE za kutuza mshindi wa kula boflo na kunywa soda jana ziliishia simanzi, baada ya mwanafunzi mmoja kunyongwa na mlo huo hadi kufa kwenye Shule ya msingi ya Sikura, Kaunti ya Busia. Marehemu Harrison Oduor Ouma, alikuwa kati ya wanafunzi waliojawa na furaha akitumai kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyongwa hadi kufa ndio Siri ya uchumi mkubwa duniani

    Mataifa ambayo uchumi wao uko juu sana duniani wana adhabu katili sana kwa watu wao wanaobainika kuhujumu uchumi kunakosababisha mtu afikirie mara mbili kabla ya kuiba mali ya umma. Hapa kwetu adhabu ya kumtia mimba mtoto wa shule ni kubwa kuliko aliyeiba hela za umma kwa mabilioni. Nani...
  11. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini: Ahukumiwa kunyongwa kwa kutazama na kusambaza nakala za series ya 'Squid Game'

    Mwanaume mmoja raia wa Korea Kaskazini ambae utambulisho wake haujawekwa wazi amehukumiwa kifo kwa kutazama na kusambaza nakala za series maarufu kutoka Netflix 'Squid Game'. Inasemekana hukumu ya kunyongwa kwake hadi kufa ia tatekelezwa na kikosi maalumu cha kurusha risasi. Mbali mwanaume...
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya: Aliyemuua mkewe na kumnyofoa viungo ili apate utajiri ahukumiwa kunyongwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemhukumu mkazi wa Kata Mjele, Wilaya ya Mbeya, Mateso Wilson (34) kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua na kunyofoa viungo vya mkewe. Mateso alidaiwa kumuua mkewe Zaina Mela na kunyofoa viungo vyake yakiwemo maziwa na masikio. Hakimu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

    Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Aliyekodi watu na kumuua baba yake ahukumiwa kunyongwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga, imemhukumu Seni Lisesi adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kumtia hatiani kuhusika na mauaji ya baba yake mzazi. Lisesi (33) mkazi wa Kijiji cha Mwadui wilayani Sumbawanga, alidaiwa kuhusika kwenye mauaji ya baba yake Lisesi Magadula (50) ili arithi mali...
  15. JamiiForums Tanzania Kisa cha Mtanzania aliyehukumiwa kunyongwa bila kuua

    Wakati wafungwa na mahabusu katika Gereza la Butimba jijini Mwanza wakimeleza Rais Dk. John Magufuli, kumbambikwa kesi mbalimbali zikiwamo za mauaji kimeibuka kisa cha mtu aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa bila kuhusika katika kosa. Taarifa za kisa hicho kwa mara ya kwanza ziliripotiwa jana na...
  16. JamiiForums Tanzania Misri yatekeleza adhabu ya kifo kwa watu 11 baada ya kukutwa na hatia ya mauaji

    Mamlaka nchini Misri zimetekeleza adhabu ya kifo watu 11 siku ya Jumanne baada ya kuwakuta na hatia ya mauaji, chanzo kimoja ndani ya vyombo vya usalama vya Misri kimeiambia Shirika la Habari la AFP kwa sharti la kutotajwa jina. Adhabu hiyo ya kifo imetekelezwa katika gereza la Borg al-Arab...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…