kumuua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mara: Bibi kizimbani kwa tuhuma za kumuua mjukuu kwa kutumia Tsh. 2,000 bila ruhusa

    Nkwandu Kayenze (76) Mkazi wa Kijiji cha Natta Wilayani Serengeti mkoani Mara amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti kwa tuhuma ya mauaji ya mjukuu wake Matoja Deus (11) ambaye anadaiwa kumpiga hadi kufa baada ya kutumia Shilingi 2,000 bila idhini yake. ITV
  2. JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi ya paka kumtesa panya kwa kumchezea badala ya kumuua haraka?

    Kiukweli paka ni wanyama wakatili sana, kuna paka hapa nyumbani huwa akikamata panya huko store inakuwaga ni mateso makali sana kwa panya. Anachofanya anambeba panya kwa mdomo anamleta uwanja wa wazi anamwachia, hapo panya akianza kukimbia paka anamrukia anampiga makucha panya, anambeba upya...
  3. JamiiForums Tanzania Kigoma: Mbaroni kwa kumuua mama yake mzazi

    Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linamshikilia kijana Helman Jonh (23) kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi Selina William (63). Akizungumza leo Jumanne Februari Mosi 2022 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, James Manyama amesema kuwa kijana huyo alikuwa akimdai mama yake Sh300, 000. Amesema tukio...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

    Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani. Mambo mengi yatakaa sawa...
  5. JamiiForums Tanzania Inawezekana Jaribio la Kumuua Lissu lilimkasirisha sana Mungu

    Namba 1 kipindi cha Lissu- Deportivo la Corunia ilifanya yake Namba mbili kipindi cha Lissu- Alijawa na huruma akaenda kumsalimia Lissu nairobi Mungu akampa Urais Katibu Mkuu kiongozi kipindi cha Lissu- Huyu ndo anasimamia shughuli za Tiss nae deportivo la corunia ilifanya yake Kipilimba na...
  6. JamiiForums Tanzania Dar: Kijana mbaroni kwa kumuua mama yake mzazi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linamshikilia Julius Mzava (26) Mkazi wa eneo la usalama Chang’ombe Wilaya ya Temeke kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi aliyefahamika kwa jina la Magdalena Peter (56) kwa kumchoma kisu sehemu ya mwili wake. Tukio hili limetokea tarehe 08/10/2021...
  7. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Acharangwa Mapanga akituhumiwa kumuua Baba Mkwe kwa Uchawi

    Mwanamke aitwaye Limi Kulwa (30) ameuawa kwa kukatwa na panga sehemu za kichwani, usoni, na mikono yote miwili katika kijiji cha Ilunga, kata ya Iyenze, Manispaa ya Kahama mkoa wa Shinyanga akituhumiwa kumuua kwa kumroga baba mkwe wake aitwaye Lusana Kulwa (60). Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  8. JamiiForums Tanzania Babati, Manyara: Mbaroni akituhumiwa kumuua aliyemfumania akizini na mkewe

    Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linamshikilia Samwel Alfred (48), mkazi wa Kijiji cha Magara wilayani hapa kwa tuhuma za kumuua Michael Jackson (25) baada ya kumfumania akizini na mke wake, Habiba Saidi (22). Mtuhumiwa huyo, inaelezwa kuwa alitekeleza mauaji hayo kwa kumkata kwa panga marehemu...
  9. JamiiForums Tanzania Dodoma: Wanne mbaroni kwa kumuua ndugu yao na kumkata viungo

    JESHI la Polisi mkoa wa Dodoma limewakamata ndugu wanne wa familia moja wanaotuhumiwa kumuua ndugu yao na kisha kumkata miguu yote miwili chini ya magoti na kuufunika mwili kwa mahindi yaliyopukuchuliwa na kuuchoma moto. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Onesmo Lyanga alisema jana kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Manyara: Kijana ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mtoto wa Kaka yake, kumtoa maini ili apike ale

    Manyara! Jeshi la Polisi mkoani Manyara linamshikilia mkazi wa Mtaa wa Silaloda Mji wa Mbulu, Harold Hhando, kwa tuhuma za kumuua mtoto wa kaka yake, Emmanuela Hando (13), kisha kumtoa viungo vya mwili. Inadaiwa kuwa Hhando alimuua mtoto huyo wa Kaka yake kwa kumpasua katikati ya miguu...
  11. JamiiForums Tanzania Sabaya akithibitisha Mahakamani kuwa Mbowe na genge lake walitaka kumuua itakuwaje?

    Katika utetezi wake Sabaya alidai kuwa alikuwa na maadui wengi wa kisiasa huko Hai na walitaka kumuua ndio maana alikuwa akimiliki bastola aina ya Glock 17. Na ameenda mbali akadai hata kesi yake ni fabricated sababu hao maadui zake walipanga kummaliza kisiasa. Tumepigwa na butwaa kumbe maadui...
  12. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na wenzake watuhumiwa kula njama na kumdhuru Lengai Ole Sabaya

    Kutoka Kisutu, Mbowe anashitakiwa kwa makosa mengi ikiwemo kula njama na kusabisha majeraha kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya Hai, Lengai Ole Sabaya Kazi ipo. Pia soma Sabaya asema alinusurika kuuawa mara mbili akiwa Mkuu wa Wilaya Sabaya asema alimiliki silaha kwa sababu alikuwa anatishiwa kuuawa
  13. JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumuua mkewe kwa kunyimwa unyumba, akamatwa

    WEDNESDAY AUGUST 18 2021 Moshi. Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Kennedy Malekea (21), mkazi wa kijiji cha Msinga wilayani Rombo kwatuhuma za kumuua mkewe Fausta Silayo (22) kwa kumchoma visu vya tumboni na mgongoni kwa madai ya kunyimwa unyumba. Marehemu Fausta alikuwa na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi waliotumwa kumuua Lissu waliaminishwa wakaamini tatizo la Tanzania ni Lissu?

    Najiuliza Ni doctrine gani waliyokuwa nayo wale waliokwenda kumfyatulia risasi Lissu. Najiuliza walidhani Lissu ndo tatizo la Tanzania ? Walidhani ugumu wao wa maisha unaletwa na Lissu? Waliaminishwa Nini Hadi wakaamua kuvaa nafsi ya mauaji? Lakini najiuliza waliowatuma waliaminishwa na Nini...
  15. JamiiForums Tanzania Uyui, Tabora: Atuhumiwa kumuua aliyemuoa mkewe

    By Mwandishi Wetu Tabora. Mkazi wa Kijiji Cha Nyangahe, kitongoji cha Lungu ,wilayani Uyui, Mhonyiwa Mwanagwalila. anatuhumiwa kumuua Mgogo Gwahendwa ambaye alimuoa mke aliyemuacha. Akizungumza na waandishi wa habari, leo Jumatano Agosti 11, Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Safia...
  16. JamiiForums Tanzania Njombe: Mtoto adaiwa kumuua mama yake mzazi kisa mali

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Emma Mfikwa umri (43) ameuawa kikatili kwa vitu vyenye ncha kali na mtoto wake wa kumzaa kutokana na kile kinachodaiwa ni migogoro ya kifamilia iliyotokana na kugombania mali. Hayo yamesemwa leo Jumanne, Julai 27, 2021 na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Mbowe ametafutwa muda mrefu sana na kulikuwa na njama za kumuua

  18. JamiiForums Tanzania Askari JWTZ Arusha amuua mfugaji kwa risasi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia askari wa jeshi la wananchi Tanzania, (JWTZ), wilayani Monduli kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi mfugaji, Laisi Lemomo(26)Mkazi wa Kijiji Cha Lashaine wilayani Humo. Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa jeshi la polisi Mkoani...
  19. JamiiForums Tanzania Watu wawili wa karibu Ikulu aliyekuwa rais Haiti kuhojiwa kuhusiana na njama za kumuua

    Wanajamvi habari za weekend Maafisa wa karibu ya ikulu Haiti Wako kizuizini wakihojiwa. Ni Jean Liguel Civil. Huyu alikuwa mkuu wa Rais Jovenel Moise security Coordinator. Anabinywa sasa hivi sehemu salama. Mwengine ni Dimitri Hérard, head of the General Security Unit of the National...
  20. JamiiForums Tanzania Arusha: Ashikiliwa na Polisi kwa kumuua kaka yake kwa kumzuia kumwingilia shemeji yake kimwili

    Jeshi la polisi mkoani Arusha linamshikilia Melita Ndaletyan, mfugaji na mkazi wa Noondoto wilayani Longido, baada ya kumuuwa kwa kumkata na kitu chenye ncha kali shingoni Kaka yake Kiseri Ndaletyan, baada ya mtuhumiwa kuzuiliwa kumuingilia kimwili mke wa kaka yake huyo. ==== Mwanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…