kumuoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta Ajira

    Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa single mother

    Kwenye sheria hazitumiki hisia, kinachoangaliwa ni kile kilichoandikwa kwenye vitabu. Hivyo maamuzi yoyote utakayofanya hata kama ni kwa nia nzuri lazima ujue kuna consequences zake. Kumbuka kwenye sheria hauwezi kujitetea kwa kusema "nilikua sijui" Yafuatayo ni mambo ya muhimu kuyajua...
  2. D

    Natafuta mke wa kumuoa, niko serious

    .........
  3. Mganguzi

    Baada ya kumuona bi sagrada akiwa hoi kitandani nimegundua ni msichana mrembo sana ! Nahitaji kumuoa haraka aachane na siasa aje tutafute familia !!

    Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
  4. mdukuzi

    Niliyetaka kumuoa kanidanganya kuwa mama yake amelazwa ICU nitume hela ya mchango

    Kupata mke kazi ndugu zanguni. Nilipanga kumsogeza huyu binti niishi nae sababu ji msafi,anajua kupika ,anajua mapenzi na ni mzuri sana,huwa namuachia nyumba hajawahi kuniibia wala kudokoa hata senti moja. Juzi kajichanganya eti mama yake mgonjwa amelazwa ICU unatakiwa mchango 50,000 kila...
  5. Kinyungu

    Faida za Kumuoa Binti wa Kwanza Katika Familia

    Katika familia zetu za Kitanzania Binti wa kwanza hulelewa akiwa na uwajibikaji mkubwa kutokana na majukumu aliyobeba tangu utotoni. Huwa na uzoefu wa kusimamia familia, uvumilivu, na ujuzi wa kutatua changamoto. Malezi haya humjenga kuwa mke anayejali, mwenye maamuzi sahihi na mshauri mzuri kwa...
  6. tamu 3

    Mwanamke ni kama bidhaa, mkague mwili wake kabla ya kumuoa

    Binti ni kama bidhaa sokoni inatakiwa umkague mwili wake wote kabla hujamuoa, Kuna mtu humu jamii forums alikuja kulalamika , kuwa amemuoa mwanamke afu ndani anakutana na tattoo kubwa isiyofutuka mwilini mwake imeandikwa I 💕 love you John, afu ww ni James, je utaendelea na huyo mwanamke...
  7. B

    Nilishindwa kumuoa sababu ya mahari waliyohitaji wazazi wake

    Ni binti mzuri wa kikinga, mwenye elimu yake Chuo diploma certificate, mzuri wa umbo, amekulia katika malezi mazuri ya wazazi wote wawili Lakini mahari waliohitaji ilikua ni 3M, mimi mwenye maisha si mabaya sana lakini uwezo wa kufata protocol walizozitaka Sendoff, mahari, ndoa ya kanisani...
  8. Lugano Edom

    MWANAMKE MWENYE FUTURE YA MAISHA YAKE HAWEZI KUMKATAA MWANAUME ANAYEHITAJI KUMUOA.

    Nimewahi sikia eti MWANAUME ANASEMA WANAWAKE WANANIKATAA 👇 Rafiki mwanamke akupendae na mwenye Future Yake hakatai mtu. Labda kama anampango wa kuchuna mali zako. But real women 🚺 hakatai mwanaume. Hasa mwanaume anayehitaji kuoa So ukiona wamwambia mwanamke Nikuoe hataki mwache
  9. Waufukweni

    Chidi Benz ataja sifa za Mwanamke ambaye hawezi kumuoa

    Kila mwanaume ana vigezo maalum au sifa anazozitazamia kwa mwanamke ambaye angependa kuwa naye kwenye ndoa, na mara nyingi tabia hizi zinakuwa ni msingi muhimu kabla ya kuingia kwenye mahusiano. Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz, amefunguka kuhusu aina ya...
  10. C

    Kumuoa mwanamke kwa kumbeba

    Kwema wakuu, Hivi hii staili ya kumchukua msichana kwa nguvu yaani unatafuta majamaa mnamteka then mnabeba na kumpeleka home then mnamfungia unakaa naye unajipigia kama mwezi ndo unamfungulia je bado inafaa kwenye jamii?
  11. G

    Uliwahi kujitambulisha kwao kuweka nia kumuoa au kumtolea mahari lakini ukabadili gia angani? Why?

    Posa ni kwenda kujitambulisha nyumbani kwa binti unataka kumuoa, Mahari ni mali / pesa ambayo muoaji ataitoa. Inaweza kutokea Mwanaume kashatoa posa / mahari, mategemeo ya ndoa yanakuwa makubwa lakini mambo yanakuwa ndivyo sivyo Uliwahi kukutana na hii hali?
  12. T

    Nina mpango wa kumuoa lakini amezidi kelele

    Niko kwenye mahusiano na huyu Binti ana miaka 28, huu ni mwaka 3. Nampenda sana na tulishapanga mipango mingi, shida nikuwa hivi karibuni kabadilika sana na sioni kama nawezana naye. Kwanza amekua mtu wa kisirani, kakitu kadogo ataongea mpaka inaboa, ukichelewa kupokea simu hata kama ulikua na...
  13. T

    Nilikuwa na mahusiano na mfanyakazi mwenzake, kajua naona kabadilika

    Nilikua Na Mahusiano Na Mfanyakazi Mwenzake, Kajua Naona Kama Kabadilika! Mwezi wa 3 mwaka jana nilianzisha mahusiano ambayo hadi sasa ninajutia kwanini niliyaanzisha. Ni mahusiano ambayo hayakudumu, tuliachana mwezi 8 mwishoni. Mwezi wa tatu mwaka huu nikakutana na mtu mwingine. Mimi ni...
  14. T

    Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

    Nimemfumania zaidi ya mara 3 na kumsamehe. Tuna mtoto mmoja, lakini bado hataki nimuoe. Nina miaka 37 na niko kwenye mahusiano na huyu dada kwa miaka 12 sasa. Yeye ana miaka 35, ni mwanamke ambaye nampenda sana, lakini katika kipindi chote cha mahusiano nimepitia mambo mengi sana kiasi kwamba...
  15. G

    Nalazimishwa kumuoa binti niliyemzalisha lakini nimegoma. Sheria za nchi zinasemaje?

    Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko mbalimbali lkn binti kanitaja kwao kuwa mimi ndiye mhusika. Sasa Jana jioni, baada tu ya mtoto kutimiza...
  16. Lexus SUV

    Kama mwanaume anatoa mahari au posa ili kumuoa mwanamke kindoa ni sheria, iweje kuhonga mwanamke kwaajili ya mapenzi si halali?

    Dah nimejaribu fikiria sana kuhusu hii kitu. Kuhonga mwanamke au kumpa hela ili ulale naye wewe mwanaume si halali bali kutoa posa au mahari ili kujiakikishia unakuwa na mbususu maisha yako yote kuichakata ni halali. Iweje ile ya kutongoza mdada mtaaani then unampa hela na kufanya naye mapenzi...
  17. N

    Ninayetaka kumuoa ana mchepuko mwingine

    Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na mwanaume mwingine. Huyo mwanaume walishaachana kitambo tangu mtoto akiwa ana mwaka na jamaa huwa...
  18. Nyamesocho

    Je, kwa kisa hiki kijana alipaswa kumwambia mchumba wake kabla ya kumuoa kuwa ana mahusiano mengine?

    Hiki ni kisa cha kweli kimetokea mtaa jirani, je mwanaume alikuwa sahihi kutoa talaka? Iko hivi baada ya kijana kuhangaika kutafuta maisha kijijini aliamua kuzama mjini kusayasaka maisha hata hivyo haikuwa rahisi ikabidi azame kwa Jimama mwenye pesa. Aliishi na huyu Jimama zaidi ya miaka 10...
  19. Common Folk

    Ndoa ya Marekani ya Mtangazaji Maulid Kitenge yadaiwa kuaota mbawa baada ya kumuoa Mbunge Nusrat Hanje

    Hiyo ndiyo habari ya motomoto kunako mainstream, ambapo inasemekana mtangazaji maarufu Maulid wa Wasafi TV hapa nchini, ndoa yake ya Marekani imeota mbawa baada ya kumuoa Mbunge N. Chanzo cha ndoa hiyo kuvunjika ni mtangazaji huyo kuoa bila kuomba consent kutoka kwa mke wake huyo, na hata baada...
Back
Top Bottom