kumpenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umeshawahi kumpenda mtu kimyakimya ?

    Umeshawahi kumpenda mtu kimyakimya ? na uliishia wapi.?
  2. M

    Jamani mimi mwenzenu,naanzaje kuipenda serikali yake na mauwaji yote yale?

    Ndugu zangu, mnifundishe mwenzenu, Naanzaje kumpenda mtu aliyeruhusu mauwaji ya kikatili kiasi kile? Nimepoteza ndugu zangu wanne katika tukio la maandamano ya 29 October 2015 ya kupinga uchaguzi usio na usawa kwa vyama vilivyopo hususani vya upinzani Mgawanyiko uliopo kati ya walioumizwa na...
  3. Msiompenda Samia aidha muamue kumpenda au msongo wa mawazo uwashughulikie

    Walianza oohh katiba ya chama na nchi vimepuuzwa. Ukiwaambia tuwekee hapa vipengele vya katiba ya chama na nchi vilivyopuuzwa hawana jibu. Waliposhindwa kushinikiza wajumbe wa CCM wafanye matakwa yao wakaamua kuungana na wapinzani kutaka kumpindua wakiwahamasisha wananchi kuwa polisi wako...
  4. Kumpenda Mungu

    Yohane 14:15-20 “Mkinipenda mtazishika amri zangu. Nami nitamwomba Baba naye atawapeni Msaidizi mwingine, atakayekaa nanyi milele. Yeye ni Roho wa ukweli. Ulimwengu hauwezi kumpokea kwa sababu hauwezi kumwona wala kumjua. Lakini nyinyi mnamjua kwa sababu anabaki nanyi na yu ndani yenu. Yn 14:23...
  5. Mambo muhimu 2 ya kuzingatia katika ulimwengu huu wa watu kupenda fedha kuliko kumpenda Mungu

    Kwanini nimeandika Uzi huu? Kuna Uzi mmoja nimeusoma humu na kuna jambo moja wiki iliyopita lilitokea. Jamaa mmoja tulionana kujadili issue fulani ya kibiashara (dili). Jamaa anaona kama namtupa kwenye game akataka kujua kikwazo nini. Nilimweleza jambo la kawaida tu ila jamaa akawa serious...
  6. L

    Sikuwahi kumpenda Lusinde lakini kama alifanya vile, alisaidia sana Chama chetu

    Kumbe jamaa aliwahi kuwa mkweli kusimamia utaratibu akatoswa mbaya. Huwa wanasema huyu jamaa sio msomi lakini kwa hilo amekuwa zaidi ya wasomi. Viva Lusinde Viva! Viva Kibajaj Viva!
  7. K

    Hakuna aliyewahi kumpenda mtu mbabe, muaji, muonezi, mbaguzi, mfitini n.k hata kama huwa anakupa hela

    Kwa hulka ya mwanadamu alivyo huwa hampendi mtu Muuaji, mbabe, mtesaji, muonezi, mchonganishi, mbaguzi, mfitinishi, hata kama anakupa hela kiasi gani, watakuchukia tu. Hata ukijilazimisha kuwachekesha vipi, watakupa tabasamu la uongo lakini miyooni mwao hawakupendi, mapenzi yao yote watampa...
  8. Nimetokea kumpenda sana single mother yaani nipo njia panda

    Mimi sio mtu ninaependa hovyo. Ninatabia ya kuwaelewa wanawake fulani wenye nyota ya mvuto. Yaani kuna wanawake unakuta wanaume wamejipanga wote wanamfukuzia. Sasa huyu single mama anashida kwenye mahusiano na hataki kusikia harufu ya usumbufu. Mimi nae tunalonga vzr. Nimeanza kumwambia kwa...
  9. Elon Musk: Nampenda TRUMP Kama MWANAUME anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake

    Siku ya Jana kupitia mtandao wake WA kijamii, maarufu Kama X , Bilionea Elon Musk ameandika kua Anampenda Raisi Donald Trump Kama vile mwanaume anavyoweza kumpenda MWANAUME mwenzake. Aisee, imekaaje hii wakuu au mi ndo sijaelewa🤔
  10. Unaweza kumuheshimu mtu usiyempenda, lakini huwezi kumpenda mtu asiyekuheshimu

    Sasa nimeelewa huu msemo unamaanisha nini. Hitaji namba moja la mwanaume ni heshima na hitaji namba moja la mwanamke ni upendo. Kumbe upendo na heshima ni vitu vinavotegemeana🤔
  11. Simulizi: Naitwa mume zoba kwa kumpenda mke wangu. (kisa cha kweli cha kusisimua)

    SIMULIZI: NAITWA MUME ZOBA KWA KUMPENDA MKE WANGU. SEHEMU: 1 MTUNZI: Madodi ✍🏼 Whatsapp: 0655 969 973 Naitwa Iqram, kijana mrefu, mweusi mwenye tabasamu la kuvutia ambalo lilikuwa na uwezo wa kuwatoa watu wasiwasi hata kwenye hali ya huzuni. Nilikuwa na bahati ya aina yake kwa kumwoa Zuhura...
  12. B

    Nimetokea kumpenda binti yao lakini wazazi wake walikuwa na uadui wa miaka 16 na mama yangu

    Takribani miaka 6 Sita Sasa tangu uangalizi wangu kwa binti wa majirani zetu, nampenda yule binti nayeye pia ananipenda pia kwao walizaliwa 6 lakini wa kiume mmoja binti Huyo Alifunga kizazi na ndio pekee aliyeweza kusoma 1.ugomvi wa visima vya maji Ugomvi ulianza kwenye kisima cha maji mwaka...
  13. Mafanikio makubwa yaliyochochewa na serikali ya awamu ya sita yawa kero kwa wapinzani wa maendeleo nchini

    Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote Tanzania.. Wananchi hivi sasa maeneo mengi nchini wana pata huduma nyingi muhimu kwa uhakika na...
  14. Jirani yangu ana mke mzuri nimetokea kumpenda sana

    Huyu jirani yangu ni playboy, kila baada ya miezi mitatu alikuwa ana-renew wanawake, lakini kwa huyu aliyenaye kwa sasa, anavutia sana. Siku zote nimekuwa nikingoja kifurushi kiishe, ni mwezi wa nne sasa tokea amekuwa naye, hakuna hata dalili. Nimechoka kumchukulia sheria mikononi, siku zote...
  15. Mtanzania hajawahi kumpenda Mtanzania mwenzake. Ushahidi huu hapa chini

    1. Ni nani aliidhinisha kampuni za bahati nasibu nchini zije zikusanye billions of money kwa Watanzania na kuacha pesa ndogo kwa jina la kodi? Jibu ni Mtanzania. 2. Ni nani ametoa kibali na ni nani anazifanyia matangazo kampuni za mikopo ya kihuni na kitapeli mitandaoni? Jibu ni Mtanzania. 3...
  16. Mwanaume asiyetumia akili kumpenda mwanamke huishia kuwa mtumwa wa mwanamke

    Hii sio siri bali ni kitu iliyo wazi kabisa. Wanaume wasiotumia akili katika kumpenda mwanamke, ndio hao wanao lia lia kutwa nzima kwa uchungu na kuwalaani wanawake baada ya kupigwa za uso. Mwanaume unazama mazima kwa mwanamke kisa umevutiwa na kiuno ama kario lake. Kabla ya kuzama mazima ni...
  17. Ulishawahi kumpenda mtu at the first sight? Tueleze ilikuwaje

    WanaJF tiririkeni Love at the first sight 😍😍😍😍
  18. Nitaachaje Kumpenda Rais mwenye Maamuzi Mema ya Kiutendaji kwa Wananchi wake kama huyu wa Nigeria?

    Rais wa Nigeria Bola Tinubu kupitia Waziri wake wa Maendeleo na Madini ameamuru kuanzia Jana tarehe 20 Desemba, 2023 hadi tarehe 4 January, 2024 Treni zote za nchini Nigeria kubeba bure Wananchi wanaoenda Kutembelea Ndugu zao Kipindi hiki cha Sikukuu za mwisho wa mwaka ( Christmas na Mwaka Mpya...
  19. R

    Wengi wameonesha kukerwa na uteuzi wa Makonda, si rahisi kumfundisha mtu kumpenda katili aso na hofu ya Mungu

    Walidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono. Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake. Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi...
  20. Ni rahisi sana Kiranga kuurithi uzima wa milele kuliko Wakristo na Waisilamu wengi walio wanafiki

    Ukihitaji salamu suburi kwanza nilewe, tofauti na hapo utaambulia chuya! Kiranga ana asilimia kubwa kuurithi uzima wa milele kuliko watu wengi wanafiki!. Narudia tena "Kiranga anazo asilimia kubwa za kuurithi uzima wa milele kuliko wanafiki walio wengi" Kiranga ni nani? Huyu ni jamaa ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…