kumpenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Kumpenda dada wa ubatizo...

    Hi there 👋👋 Kwa wakatoliki mzazi aaliyemsimamia mtoto ubatizo familia yeye na familia yake inakua imeungwnishwa na familia ya mtoto aliyemsimamia ubatizo..Baba au mama wa ubatizo anakua anamajukumu makubwa kama au zaidi ya mzazi halisi wa kumlea (Kwa mujibu wa kununi za kikanisa) Hivyo basi...
  2. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania Kumpenda mke wako inamaanisha nini?

    1. Mpe muda wako. Usimfanye aombe muda wako. Tengeneza muda kwa ajili yake. Tengeneza wakati ambao mtakuwa mkifurahi na kupiga story pamoja. Usiwe bize Jumatatu mpaka Jumapili. Wanawake hupenda sana kusikilizwa na waume zao. 2. Msifie pale anavyofanya jitihada ya kuwa na muonekano mzuri. Pale...
  3. April26

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

    Habari za wakati huu wakuu. Wakuu hadi naandika hapa binafsi huwa natokewa na hali hii for instance, kupitia mitandao ya kijamii mfano, hapa JF kupitia mada au comment za mtu unaweza jikuta unampenda mtu usiemfahamu. Mara kadhaa hali hii huwatokea watu na ushahidi anao kila aliewahi kutokewa...
Back
Top Bottom