Naona hata yeye ameshajua kuwa ana wakati mgumu.
Juzi amesikiika akiongea kwa unyonge kuwa mimi nitaondoka na watakuja wengine.
Hakuna haja ya kutumia nguvu na kumpeleka Icc kama Rodrigo Durtete mumchukue taratibu msije mkatuletea matatizo mengine
Trump anatumia sana ubabe.
Naona wakati wowote atatuma Makomandoo ili wakamate viongozi wa mataifa ya Afrika mashiriki ambao wanapiga raia risasi hovyo.
Nini kitatokea?
Tayari Manowari za Kivita zenye ndege za kutosha, zimeaanza kuelekea Middle East
Nimesoma source moja, hadi ndege zinazojaza mafuta ndege nyingine angani zimeshasogezwa hapo Middleeast
Kifupi RUSSIA kawasaliti allied wake wote VENEZUELA, CUBA na IRAN.
Sijui Viongozi wa Afrika wanakubaligi...
Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja...
https://www.youtube.com/watch?v=-ZZrAoiAmqc
Uchunguzi wa DW umebaini ushahidi wa kuaminika unaoonyesha kuwa vikosi vya usalama vilitumia nguvu za kikatili dhidi ya raia wakati wa vurugu zilizofuata uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania.
Maandamano yalizuka katika miji mikubwa ikiwemo Mwanza...
baada
dw yathibitisha aina ya risasi
hapo
jeshi
jijini mwanza
kichwa
kumkamata
mauaji
mauaji ya oktoba 29
mpya
mwanza
oktoba
oktoba 29
polisi
risasi
ushahidi
wambura
Huu mtandao wa propaganda ambao unatumika sana CCM ulipoona delta force imemkamata raisi wa Venezuela nao wakaja kwa njia hii .
Kama walikuwa wameona hiyo ndo habari mbona ya Venezuela wajaweka.
Hili group la CCM lina amrisha sana .
Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, amesema Beijing haiwezi kukubali nchi yoyote kujitwalia nafasi ya kuwa “hakimu wa dunia” au “polisi wa dunia,” akitoa kauli hiyo kufuatia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na Marekani. Akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan...
Polisi mnajidhalilisha mnaenda kukamata Kibinti kinacheza zake Tik tok uko mnaenda kumkamata kama jambazi? Kosa la huyo binti ni nini?
Kama alikua na kosa mlishindwa kutuma wito ajisalimishe mwenyewe kituo cha police mtu ana offce anajulikana anapatikana wapi ndo mnatumia nguvu kubwa kiasi icho...
‼Marekani imetoa zawadi ya dola milioni 15 kwa atakayetoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa Waziri wa Ulinzi wa Venezuela Vladimir Padrino Lopez.
You
Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?. Hii ni kwa mara ya kwanza nchi kushuhudia unyanyasaji mkubwa wa binadamu kwenye utawala wa samia.
Huu ni uthibitisho tosha kuwa nchi haina utawala wa sheria, jeshi la...
Wakuu,
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa ya kukamatwa kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho upande wa Bara, Mhe. Amani Golugwa, usiku wa kuamkia Jumanne, Mei 13, 2025, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.
Pia Soma: Jeshi la...
Makamu mwenyeketi wa CHADEMA bara John Heche ametoa taarifa kupitia mtandao wa twitter( X) kuwa muda wowote kuanzia sasa wamepanga kumkamata.
Ni kheri Magufuli yeye alipiga marufuku kabisa shughuli za siasa, kuliko hii hali ya kukamata, kuua na kupoteza watu.
Moto wa no reforms no election...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu...
Polisi uitwa Jeshi la kulinda watu na mali zao, lakini jeshi letu hili la polisi limekuwa ni jeshi la kulinda wanasiasa na familia zao. Hakuna watu nchi hii wanaogopa kupoteza kazi kama polisi na walimu, hususani polisi ndio kabisaa na wengi maisha yao ni Duni. Polisi ndio taaluma pekee...
Fukuto ni kubwa na linazidi kuwabana hewa! Hapatoshi wala hapatoshani... Hatimaye wameamua kumkamata.. Hii ni aibu kubwa Sana! Na ni kushindwa kubaya kabisa
Walianza kwnye kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama.. Wakatumia kila aina ya mbinu chafu zikiwemo za matusi ya wazi, kejeli na...
Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni.
Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar.
Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba.
Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi...
MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo.
Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza...
Jaribio la kumkamata Yoon Suk Yeol, Rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani na bunge, limegonga mwamba baada ya polisi na wachunguzi wa rushwa takribani 3,000 kuzuiwa na Jeshi la Korea Kusini
Wanasheria wa Yoon wamesema polisi na wachunguzi wanaojaribu kumkamata Yoon wamevunja sheria...
Kulingana na kuongezeka kwa matukio ya utekaji nyara nchini, nitoe wito kwa watanzania wenzangu kwamba sisi kama nchi tunasheria za ukamataji na hakuna aliye juu ya sheria
Endapo ukiona mtu yoyote asiejulikana au mtumishi yoyote au polisi anafanya ukamataji bila kufuata utaratibu uliowekwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.