kumbukizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Asiyekuwepo na lake halipo Samia kukwepa kumbukizi la Magufuli

    Kwa namna hayati John Pombe Magufuli alivyomtengeneza Samia Suluhu Hassan kIsiasa, wengi walidhani angekuwa mstari wa mbele kuhudhuria kumbukumbu yake. Kweli, binadamu tu viumbe wenye kusahau kirahisi na haraka. Kwanini Samia hakuhudhuria kumbukumbu ya mwendazake? Ama kweli, asiyekuwepo na...
  2. Mkusanyiko wa Kumbukizi ya Miaka mitano tangu kifo cha Rais Magufuli

    https://www.youtube.com/watch?v=dfB86i6-Bck
  3. Kuna Watu Wanafanya Kumbukizi ya Vifo vya Watu Wengine Lakini vya Wazazi Wao Hawafanyi

    Sasa usipowapenda ndugu zako na kujifanya unawapenda ndugu wa wengine ni unafiki na sala isiyokuwa na baraka. Upendo huanza nyumbani.
  4. Kuelekea kumbukizi ya John Magufuli

    Tuanze kumkumbuka kwa hili la kununua ndege, Wapo waliokebehi na kuzarau niwaulize Je kama asingenunua hizo ndege wale watanzania waliosaidiwa kurudishwa Tanzania kutoka Saudi Arabia wangepanda Fuso kurudi Tanzania?
  5. KUMBUKIZI | Mo Dewji: Wanasiasa wengi hawatimizi 'ahadi' zao, wakitaka Kura wanaenda kuahidi uongo

    Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
  6. Kumbukizi: Lipumba alivyomwimbia na kumsifia Rais Samia mbele ya umati mwaka 2022

    Wakuu, Mambo yanabadilika sana Huyu hapa Profesa Lipumba akiwa anamsifia na kumwimbia Rais Samia kwenye ziara ambayo Samia aliyoifanya mwaka 2022 mkoani Tabora
  7. W

    Kumbukizi, enzi za uhai wake Kadinali Pengo alieleza mwenye wajibu wa kumzika angependa azikwe Pugu

    Wakati w auhai wake Kadinali Polycap Pengo alieza kuwa anatamani azikwe Pugu, mana ndiyo maeneo aliyokuwa akipenda kwenda kupumzika
  8. I

    Nilikuwa nimesahau kama leo ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mazinduzi (Februari 5)

    Chama kimekuwa na mambo ya kishenzishenzi kimeshapoteza heshima kuanzia vijijini hadi mijini. Chama kimekosa hoja za kisiasa na kuanza kuunda makundi ya wanamgambo yanayoua watu hovyo. Oktoba 29 haisahauliki. Anaesema tusiongelee akapimwe akili.
  9. M

    Kumbukizi: Hayati Rais Magufuli alivyookoa mamilioni ya kupeleka ndege nje kwa ajili ya kuchorwa

    Hayati Rais Magufuli, Machi 28, 2019 alifanya ziara ya kustukiza kwenye karakana za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kukagua ukarabati wa ndege ya serikali iliyopakwa rangi kwa gharama nafuu takriban Tsh milioni 5 ikilinganishwa na gharama zilizopaswa kwenda kutumika nje ya nchi kiasi cha zaidi...
  10. KUMBUKIZI | Ulega: Spika alishaagiza Wabunge wote kutokuwachokonoa viongozi Wastaafu

    Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Hamis Ulega, alimkumbusha aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kuhusu agizo la Spika wa Bunge linalokataza kuwachokonoa chokonoa viongozi wastaafu, Bungeni Julai 3, 2027, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu maelekezo ya Spika wa Bungeni.
  11. Dkt. Ally Possi wakili mkuu wa serikali, heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa

    Salaam Wakuu, Leo natumia Wasaa kumpoongeza Mtu muhimu sana Nchini Tanzania. Msomi asiye na Majivuno wala kufanya kazi kwa Mihemko. Dkt Possi, nakutakia kumbukizi njema ya siku yako ya kuzaliwa.. Ikawe ya Baraka. Mungu azidi kukupa nguvu ya kuwatumikia watanzania wote kama kawaida yako...
  12. KUMBUKIZI: Wimbo "Ni Nani" wa Kwaya ya Patandi: Tafakari ya Shukurani Tunapouaga Mwaka 2025

    Wakuu, Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kuna nyimbo ambazo zikipigwa, moyo lazima usimame na kutafakari. Moja ya nyimbo hizo ni ule wimbo maarufu wa miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000 uitwao "Ni Nani". Swali kuu la wimbo huu linabaki kuwa alama ya vizazi: "Ni nani anayeweza kusema amemaliza...
  13. (Kumbukizi): Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU),kupinga uongozi wa Rais Idi Amin

    Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
  14. PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

    Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12. Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day. Aione IGP Jumanne Muliro ===
  15. M

    KUMBUKIZI: Nyerere na umuhimu wa kuwa na watu “Radicals” ndani ya Afrika

    Mwalimu Julius K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanganyika (ambaye Ukumbi alioufanyia mkutano jana Samia S. Hassan, Rais wa sita) alionya kuwa huwezi kuijenga Afrika kwa kuzuia uamsho wake. Vizazi vipya vitataka mabadiliko kwa sauti, kwa ujasiri, na bila kuomba ruhusa. Wananchi wanaposimama, si...
  16. Kumbukizi: Godbless Lema zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, Uislamu na Ukristo ambao hautendi haki, huo ni unafiki wala siyo Udini

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema kwenye moja ya Mkutano wake wa hadhara alisema; Waislamu sikilizeni, zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, nawaambia mimi najua 'game' zinavyochezwa nchi hii, waambieni hivi kwani CHADEMA wanashida na Msikiti?...Sisi...
  17. M

    (Kumbukizi) - Kamanda Muliro: Kwa jeshi hili, sidhani kama yupo anayependa kufa

    Aliyazungumza hayo Agosti 20 katika Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  18. GE2025 Kumbukizi: Kabla Baba Levo hajalamba asali, Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala kwa sababu ni waoga

    "Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala; wasanii wengi ni waoga. Wasanii wengi hawapendi bughudha; wasanii wengi wanapenda vitu vya mteremko, vitu rahisi rahisi; hawapendi ‘fighting’". Clayton Revocatus Chipando 'Baba Levo', akizungumza katika kipindi cha Salama Na, Julai 26, 2020.Ambaye kwa...
  19. M

    KUMBUKIZI: Ushauri alioutoa Humphrey Polepole kwa Samia ukapuuzwa

    Hebu tujikumbushe:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…