kulinda amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Troll JF

    Umoja wa Mataifa UN waipongeza Tanzania kwa mchango wake kulinda amani

    Tanzania to the World!!!!! Tunasonga mbele, Tanzania imepongezwa kwa kutuo Jumla ya Wanajeshi na Polisi 1,500 kwa ajili ya kuilinda amani katika mataifa mbalimbali Duniani.
  2. K

    Wananchi wametakiwa waheshimu na kulinda amani. Lakini viongozi walioko madarakani wao wanavunja katiba na sheria haki za kibinadamu.

    Amani imetafsiliwa na viongozi walioko madarakani ni. ▪︎ kutokuwepo kwa migomo au maandamano ya kupinga ama kukataa jambo lolote. Iwe kwa watumishi wafanyakazi,wafanya biashara na wakulima. ▪︎ kutokuwepo kwa mawazo au fikra huru tofauti wala kuhoji kosoaji jambo lolote. ▪︎ kutokuwepo kwa...
  3. McLaren

    PostGE2025 Jeshi La Polisi: Tunawashukuru wananchi kwa kutambua thamani ya kulinda amani. Hadi usiku huu hali ya nchi ni shwari

    Jeshi la Polisi Tanzania limewashukuru wananchi kwa ushirikiano katika kulinda amani wakati wa Sikukuu ya Krismasi na kusema kuwa hali ya usalama nchini imeendelea kuwa shwari. Polisi wamesema wananchi wanaendelea kusherehekea bila bughudha na wametoa wito wa kuendelea kutii sheria ili amani...
  4. Genius Man

    Mnaolalamika mwezi mzima maji hayatoki msizue taharuki mitandaoni, tuendelee kulinda amani, amani ni bora kuliko maji

    Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji Utawasikia wapumbavu "Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake. Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea" Sasa...
  5. Waufukweni

    PostGE2025 Msigwa awapongeza Watanzania kwa kuchagua kulinda AMANI

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amewapongeza Watanzania kwa kutimiza miaka 64 ya Uhuru na kuwashukuru kwa kukubali wito wa kulinda amani na utulivu wa nchi yetu. Msigwa amesema hayo leo Desemba 10, 2025 wakati...
  6. Keynez

    PostGE2025 Haitafika mwezi February 2026, kutakuwa na Jeshi la kulinda Amani ndani ya ardhi ya Tanzania

    Huu ni mtazamo wangu tu kwa kile ninachokiona kinaweza kutokea. Kwa jinsi joto la kisiasa linavyoendelea na misimamo mikali ambayo pande zote imejiwekea, naona kabisa umuhimu, ulazima na uwezekano wa uwepo wa Jeshi la Kulinda Amani ndani ya ardhi ya Tanzania ifikapo February 2026. Hili...
  7. Genius Man

    Onyo: Polisi hawana mamlaka ya kulinda amani na wananchi ikiwa wanauwa watu sasa wanalinda au ni wauwaji

    Onyo: Polisi hawana mamlaka ya kulinda amani na wananchi ikiwa wanauwa watu sasa wanalinda au ni wauwaji. Polisi watakao ingia mbele ya umma wanaweza kushambuliwa vikali hali inayoweza kuhatarisha maisha yao kutokana na kile kinachoitwa mauwaji ya halaiki waliyo yafanya Anae uwa watu ni...
  8. Pakome

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  9. 4

    Je nii wakati wa NATO kuidhinishwa kuja kulinda amani ya wananchi Tanzania?

    Wakuu salamu , na poleni na tunayopitia kama wananchi watanzania ,Mungu yupo kazini. Husika na mada tajwa juu , Moja kabla ya yoyote ikumbukwe watz wengi tupo kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na wapendwa zetu. Ila binafsi nionavyo mpaka sasa mambo yajayo sio mepesi tusidanganyane hapa...
  10. R

    Vijana wajasiriamali Dar es Salaam wahimiza vijana wenzao kulinda amani na kuepuka vurugu

    Hizi ni propaganda na miradi ya Serikali, sidhani kama ni akili zao timamu :COFFEE: Vijana kwa sasa tunapanga Disemba 9 kudai haki ------------- Vijana wajasiriamali kutoka Mkoa wa Dar Es Salaam wametoa wito kwa Vijana wengine nchini kuienzi na kuilinda amani ya Tanzania na kujiepusha na...
  11. H

    Tafuta HAKI na WAJIBU wa kulinda AMANI

    1. Wapigania haki ambao walikuwa na haki ya kukata vidole vya wenzao ila vyao visikatwe kisa ni wafuasi wa chama fulani kilichogoma kuingia kwenye uchaguzi Wapigania haki waliokuwa na haki ya kuuwa wenzao ila wao wasiuawe kisa tu wao hawajaenda kuchagua Wapigania haki waliokuwa na haki ya...
  12. UMUGHAKA

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania mko Tayari kwenda kulinda amani ya raia wa nchi ya Kongo lakini si kulinda Uhai wa Mtanzania,!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! "Jeshi la Wananchi wa Tanzania" mko bize kila mwaka kwenda kutuliza na kulinda amani ya wananchi wa Kongo lakini hamko Tayari katakata kulinda Uhai wa Watanzania wenzenu!Je Kuna uhalali wowote wa kutambulika kama "Jeshi la Wananchi wa Tanzania? au...
  13. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Viongozi wa sungusungu watakiwa kuwaongoza vijana kulinda amani

    Viongozi wa Sungusungu na wazee maarufu Kitongoji cha Maimba Kata ya Chamalendi wametakiwa kuwa mfano wa kuigwa katika kuwaongoza vijana kulinda amani na kuachana na vitendo vya uchochezi vinavyopelelea uvunjifu wa amani. Wito huo umetolewa Octoba 19, 2025 na Polisi Kata ya Chamalendi Mkaguzi...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Bodaboda watakiwa kulinda Amani Ili kuendeleza shughuli zao kwa Uhuru na Ufanisi

    Kama mnavyowapa elimu hii kipindi cha uchaguzi kwa nguvu kubwa, basi mafanye hivyo pia kuwapa elimu ya usalama barabarani katika kufuata sheria. Maana kila siku visa vya bodaboda kupata ajali vimekuwa vingi. =================== Waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wametakiwa kutunza na...
  15. M

    Vitisho vinavyotolewa na Majeshi na wanasiasa likiwemo himizo la kulinda amani ni ishara tosha Serikali na CCM wanayaogopa Maandamano!

    CCM na Serikali inatambua Fika Maandamano ya wananchi ndio njia pekee ya wao aidha kuondoshwa madarakani au kulazimika kukubali matakwa ya wananchi ambayo hawataki kuwapa. Njia zote nyingine ikiwemo ya kukaa mezani haziwezi kuzaa matunda kwani tayari CCM wanajua namna ya kucheza ulaghai kwa...
  16. Mafyangula

    GE2025 Mufti Mkuu awataka Watanzania kuhubiri na kulinda Amani

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar bin Zubeir Ali amewataka Waislamu na Watanzania kwa ujumla kuhubiri na kulinda amani ya nchi, akisisitiza kuwa amani ndiyo msingi wa Uislamu na maendeleo ya taifa. Akizungumza katika mkutano wa viongozi wa dini mjini Makambako, Mufti Abubakar...
  17. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mwanajeshi Mstaafu Seif Miraji Awasihi Watanzania Kulinda Amani na Kuepuka Upotoshaji Mitandaoni

    Mwanajeshi Mstaafu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (JWTZ), Seif Miraji Mkambala ambaye pia ni msanii wa muziki amewasihi wananchi kulinda amani na kuchukua tahadhari na machapisho ya mitandaoni kwa kuwa Tanzania ni kitovu cha amani duniani. Mkambala amewataka Vijana kujitokeza kwa wingi siku ya...
  18. Mashamba Makubwa Nalima

    Ali Kibao:Hatuwezi kulinda amani ya watu waliomteka, kumtesa, kumwagia tindikali na kuutupa mwili wake jalalani

    Hakuna amani kwenu, amani itakuwa kwa nchi yetu Tanzania pekee. Wote mliohusika kwenye hili, mtalipia
  19. Mashamba Makubwa Nalima

    Hatuwezi kulinda Amani ya Watekaji na Wauaji, tutalinda Amani ya Nchi pekee

    Tunataka kuona kaka zetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona dada zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona wazazi wetu wanaifurahia hii nchi, tunataka kuona babu zetu wanaifurahia hii nchi. Tunataka kuona watoto, wajukuu na vitukuu vyetu wakiifurahia hii nchi. Hatuwezi tukawa tunaishi...
  20. Mashamba Makubwa Nalima

    Hatuwezi kulinda amani ya mafisadi, watekaji, wauaji na watu wasio malengo mazuri na nchi yetu, Tutalinda amani ya nchi pekee

    Hatuwezi kulinda amani ya watu ambao hawako tayari kupigania usalama wetu nchini. Hatuwezi kulinda amani ya watu ambao wanaiba pesa zetu. Hatuwezi kulinda amani wanaotuteka na kutuua kisa ni kuwa WAZALENDO kwa nchi yetu. Hatuwezi kulinda amani ya watu wanaonormalize UFISADI, hii sio sawa na...
Back
Top Bottom