kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mpenda sifa kuliko hata Hayati Magufuli

    Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani? Nikumbushwe huenda nimesahau. Hakika sikumbuki. Tangu awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe mbashara kwenye Tv ama yeye mwenyewe akihudhuria jambo fulani hata kama halina sifa za uwepo wake ama...
  2. JamiiForums Tanzania Amini husiamini Bongo kuna dogo ana mafanikio kuliko. Maguire, ana miaka 8

    Huu sio uzi wa michezo. Ukifuatilia soka letu unaweza dhani Boko, Kagere, Wawa, Nyoni ndio watu wenye mafanikio makubwa katika umri mdogo. Dogo akiwa na miaka name tayari amegonga kopi Genk, Valencia, Barca na Ajax. Dogo anasema katika maisha yake ndoto yake kubwa Ni kuwatumikia Jangwani. Na...
  3. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Ulinzi ya USA ni kubwa kuliko jumla ya bajeti ya Mataifa yote Duniani

    BUDGET ya ULINZI ya MAREKANI ni USD 778 billion. Anafuata mchina Kwenye 240 USD billion. Ukijulisha BADGET zote za ULINZI ulimwenguni hatufiki 778 billion USD. Anaebisha lete facts sio blah blah. USA yupo sana, Tena sana
  4. JamiiForums Tanzania Maguire ndio mchezaji muhimu kuliko wote ndani ya Man U

    Wewe endelea hivyo hivyo kumchukulia poa Maguire. Kwa taarifa yako, kibiashara Maguire ndio mchezaji muhimu kuliko wote pale Man U ndio maana haachwi wala hawekwi benki. Kwanini ? Uwepo wa Maguire kikosini umeongeza maradufu mapato ya Man U kwa sababu sasa hivi mabilioni ya watu duniani...
  5. JamiiForums Tanzania Comedian Samuel Asubiojo asema Comedy inalipa kuliko udaktari

    Comedian wa Nigeria Samuel Asubiojo, ambaye ni daktari kwa taaluma amesema Comedy inalipa kuliko udaktari. Asubiojo ambaye ni maarufu kama Mama Ojo alisomea udaktari wa binaadamu nchini Ukraine mwaka 2012 hadi 2018 lakini hakuwahi kupractice taaluma hiyo tangu hapo. Kwa sasa anapata hela kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Naona mmeanza 'Kujishtukia' sasa na wenye 'Akili' tunajua wapi anapapenda kuliko Maelezo

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema Rais Samia Suluhu Hassan hana makusudi ya kurejesha Makao Makuu ya Serikali jijini Dar es Salaam na kwamba ameendelea kutekeleza na kutenga fedha nyingi zaidi kwa ajili ya Dodoma kuliko maeneo mengine hapa...
  7. JamiiForums Tanzania Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

    Wakuu habari zenu, Huku tukiutafuta tafuta usingizi hebu tuambiane mahusiano ambayo umewahi kuwa nayo na yakawa mafupi kuliko yote..... Ukitoa sababu ya kwanini mlidumu muda mfupi hivyo itakuwa vizuri. Binafsi mahusiano yangu mafupi kuliko yote yalichukua week moja. Nlijiona tu siko sehemu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Heri ya Lyatonga Mrema ana uzalendo kuliko Mbowe na Zitto

    Wana njaa sana na wao pesa mbele. Wapo tayari kuuza watu kisa pesa tu. Ni mamluki wa CCM ambao hawana uchungu na taifa lao. Wapo kwa ajili ya matumbo yao. Bora Mrema anapinga ufisadi kwa dhati
  9. JamiiForums Tanzania Inshu ya Tupac inaweza kuwa nzito kuliko tunavyofikiria, ushahidi huu hapa

  10. JamiiForums Tanzania Kumbe tunauza zaidi Kenya kuliko wao wanavyouza kwetu! Ila mbona bado wanatuuzia sabuni nyingi hivi?

    Urari wa biashara kati ya Tanzania na Kenya umeimarika sana. Leo niliona bungeni Rashid Shangazi akiliongelea hili nikaona nijiridhishe. Kulingana na data za benki kuu ya Kenya kuishia mwaka jana Tanzania iliuza Kenya bidhaa zenye thamani ya trilioni 1.15 huku yenyewe ikinunua zenye thamani ya...
  11. JamiiForums Tanzania Android 13 kubwa kuliko ndani ya Tecno Camon 19 pro 5g

    Mnamo Mei 11 hadi 12, Google ilizindua rasmi Android 13, mfumo wa uendeshaji wa kizazi kipya. Kama mwanzilishi wa kimataifa katika teknolojia ya elektroniki, kampuni ya simu ya TECNO ilikuwa miongoni mwa wazalishaji wa kwanza wa smartphone kujiunga na Programu ya Android 13. Bidhaa yake ya hivi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kigamboni ni mji unaojengeka kuliko yote Dar, Serikali iweke miundombinu vizuri

    Kigamboni ndio wilaya inayokua kwa Kasi katika mkoa wa DSM. Inahitaji miundombinu kabla hatujachelewa. Pia tozo za kuvuka maji kwa gari zishuke zaidi na zaidi mji ujengeke na utanuke. Nawasilisha
  13. JamiiForums Tanzania Aaliyah ndio mwanamke mzuri na mrembo kuliko watangazaji wote wa kike East Africa

    Ana sura nzuri. Ni mrembo. Anapendeza kila nguo. Ana swaggs. Ana mvuto. Hakuna mtangazaji yoyote wa kike anaemfikia East Africa.
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Wamasai wa Kenya wanakerwa na jambo la Ngorongoro kuliko sisi?

    Habari za Jumapili popote mlipo. Nafikiri wengi mnajua kuhusu mpango wa serikali wa kuwatafutia ndugu zetu Wamasai makazi mapya ili kuilinda hifadhi ya Ngorongoro. Hili jambo lilileta mjadala mkubwa sana miongoni mwa jamii yetu ya Watanzania. Wapo waliopinga kuhusu mpango wa serikali na pia...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania wana mcheza sinema hodari kuliko Rambo ?

    Huyu Mmasai kashiriki move nyingi kuliko Rambo wa First blood. Ni hayo tu kwa leo. Ngongo safarini Kigali 🔭
  16. JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa Tanzania wanyama pori wana thamani kubwa kuliko wananchi?

    Habari! Hii siijui niitaje kwa lugha ya kawaida isiyoumiza. Ila facts zitabaki kuwa facts. Tembo , twigs, digidigi , paa n.k wamepewa thamani halisi. Ukiwagonga kwa bahati mbaya utalipishwa kwa thamani yao halisi. Tembo thamani yake iko kama 35 milioni za kitanzania. Huyo tembo akitoroka...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini kwa Tanzania ni kheri uwe Waziri wa Wizara yoyote tu Utaheshimika kuliko ukiwa Makamu wa Rais ambapo Utasahaulika na Kupuuzwa?

    Majibu yenu ni muhimu Kwangu kwani kuna Mtu nasikia analalamika Maagizo yake hayafanyiwi Kazi haraka kama ya Waziri mwenye Wizara ambayo hapo kabla Yeye ndiyo ilikuwa Wizara yake na aliimudu vilivyo kwa Kutubania Fedha Watanzania hadi ikawa Ngumu kuipata ila Yeye na aliyemteua ( sasa kalala...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Ukraine imepewa silaha nyingi kuliko ilivyoomba: lakini kila siku inalilia silaha kama kisingizio cha kushindwa vita

    Ukraine imeelemewa katika uwanja wa vita japo kila siku inasingizia kuwa haina silaha za kutosha. Mwishowe nchi za magharibi zimeweka wazi kuwa Ukraine hadi sasa imeshapewa silaha nyingi sana kuliko kiasi ilichoomba!! Imepewa mifumo ya kushambulia vifaru kwa kiasi kikubwa mno kuliko idadi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Silaha za Urusi ni bora kuliko za Marekani, ni kimbilio la mataifa mengi kuanzia sasa

    Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi. Nchi nyingi sasa zinawaza kwenda kununua silaha na mifumo ya ulinzi ya Urusi zenye ufanisi mkubwa kwenye uwanja wa vita kuliko zile za NATO. NATO sasa inawaza...
  20. JamiiForums Tanzania GSM ingia kwenye biashara za vyakula. Nafasi ya mafanikio ni kubwa

    GSM ilikuwa kampuni ambayo watu wengi atuijui zaidi ya mo. Na Azam lakini kwa sasa GSM imeshika kasi kubwa kwenye kujitangaza wangekuwa sasa na washauri wazuri ndio kipindi Chao sasa kuingia kwenye ushindani wa biashara za vyakula mfano ngano na biashara zingine naamini wala awahitaji nguvu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…