Josephine Kulea is a Kenyan women's rights campaigner. Rescued from female genital mutilation and forced marriage as a child, she has since set up the Samburu Girls Foundation, which has saved more than 1,000 girls from similar practices. Kulea was recognised as an "unsung heroine" by US ambassador to Kenya Michael Ranneberger in 2011.
Anahitajika binti mwadilifu wa kulea watoto wawili pale mama yao anapokwenda kazini.
Sehemu ya kazi: Kimara Stop Over, Dar es Salaam
Idadi ya watoto: Wawili
Mawasiliano ya mama wa watoto: +255689200948
Mara nyingi nimeona mabandiko humu jukwaani la ajira ya kumhudumia mgonjwa au mzee majumbani. Huku mtaani hitaji hili linaongezeka. Magojwa kama kiharusi huwapata watu wengi na kuna wanao athirika na kuhitaji msaada wa karibu katika kuendesha maisha yao ya kila siku.
Kutokana na uhaba wa...
UTANGULIZI
SMART MOTHER (SM) ,kabla ya kutafuta kwa kina ni jina gani zuri la kumpatia mama huyu ambaye anaangaika na kupambana hili motto wake awezi kupata mahitaji muhimu kama Elimu(Kwenda shule),chakula na mahitaji mengine,huyu ni mama ambaye yeye ndiye kichwa cha Familia anaye ongoza...
Habari yako ndugu msomaji.
Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka.
Jambo hili sio tatizo dogo kama tunavyolifikiria,na wala sio mazao ya malezi ya mwaka mmoja au...
Mshikaji alikuwa na mwanamke kwa muda kama mwaka hivi. Mwanamke anaenda analala na kusepa asubuh kwa mama yake
Yule dada wengi walikuwa wanajua tabia zake za kurukaruka. Wengi walikuwa wanasema kuwa huko mtaani kwao watu kibao walikuwa wanajilia kama utani (kuna washikaji zangu wana camp flan...
“Dereve taratibu bana usije ukatuua, mi sina mtoto hata mmoja” Msemo kama huu husikika sana katika jamii yetu watu wakimaanisha ni kama mkosi kufariki kabla hujaacha mtoto. Imefikia watu kuona ni bora ufe na kumuacha mwanamke wako mjamzito kuliko kufa hujaacha chochote.
Katika jamii yetu kuna...
Wadada wa mjini ndiyo zao, wanaku-approach eti tuzae tu (sperm donor) hasa wanaume walio kwenye ndoa na angalau unajiweza kiuchumi. So, anakuambia anaomba mzae tu eti hatakusumbua, haipogo hivyo wakulungwa.
Ukijichanganya ukazaa naye utajuta.
Kabla, bibie hufanya risk assessment (Cost-Benefit...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.