Miezi 9 tumboni mwa mama , saa 12 za uchungu, kukosa usingizi usiku zaidi ya mara 100, kuongezeka zaidi ya kilo 10 , afuuuu anafanana na baba yake.Mungu aendelee kuwa upande wenu wanawake.. 🙏
Muwe na mchana mwema.. ❤️🙏
Kwa Nini SoMo la bible knowledge liwe kiingereza na dini ya kiislamu liwe kiswahili!?
Kwa nni yote yasiwe kiswahili ili kuweka usawa!?
Ukiangalia hili SoMo sio gumu sana ila kwa sababu ya lugha linakuwa gumu na kuzuia watoto wengi wa kikristo kulisoma mashuleni huku lile la kiislamu kutokana na...
Hellow wakuu,
Leo niliona uzi humu mdau mmoja akiomba msaada wa dawa asili za kuondoa tatizo la kukosa usingizi Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka
Nimeona nianzishe uzi huu ili kila mtu aone na aelimike ikibidi asaidike,
Kukosa usingizi sio...
Wasalaam
Usiku wa kuamkia leo niliota nimevamiwa na majambazi, nikaamka kuangalia saa ni saa tisa na dakika nne usiku. Nikatoka sebuleni nikaona mtu ananifanyia ssssssssssssshhhh kuashiria nikae kimya nisitoe sauti cha ajabu ila huyu mtu anafanana na Steven Seagal (sura yake) ghafla ile sura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.