kukopa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Ewe mfanyakazi, usije kurogwa kukopa mkopo wa "Nipe Boost" wa Bayport, utajuta!

    Narudia kuwaonya kama rafiki yenu, ndugu wa karibu.. usije kurogwa kukopa huo mkopo wao kama utakuwa na shida sana na ikakulazimu kukopa mara 100 bora uuze hata kitanda chako au godoro.. Huu mkopo ujue kwamba riba yake inaongezeka kila siku.. unaweza kukopa laki mbili ukikaa mwezi mzima...
  2. M

    Zingatia mambo haya kabla ya kukopa

    Kabla ya kuchukua mkopo, lazima utathmini uwezo wako wa kulipa, uelewe gharama ya jumla (riba na ada), uangalie alama yako ya mkopo, na uhakikishe una lengo wazi la fedha hizo.. Vitendo muhimu ni pamoja na kuunda bajeti kali kwa malipo ya kila mwezi, kulinganisha wakopeshaji wengi, na kuchunguza...
  3. Q

    Zanzibar wanatoa wapi pesa za kujenga viwanja vya michezo bila kukopa?

    Kwa muda mfupi Zanzibar imeweza kukarabati Amani stadium kwa viwango vya FIFA, imejenga kiwanja kipya cha Gombani, Tanganyika yenye watu 60m tumeshindwa kumalizia kiwanja kimoja cha Arusha hadi tuombe mkopo. Tanzania ni mwenyeji wa AFCON 2027, kiwanja tunachokitegemea ni Benjamin Mkapa nacho...
  4. M

    Karibu ukope, jua hili kabla ya kukopa

    Ukosefu wa elimu ya kifedha unaweza kuathiri vibaya uwezo wako wa kufanya maamuzi sahihi ya kukopa, mara nyingi husababisha mzigo wa madeni usio endelevu, dhiki ya kifedha ya gharama kubwa, na ya muda mrefu.Bila uelewa mzuri wa dhana za kifedha kama vile uwiano wa riba na deni kwa mapato, watu...
  5. M

    Yake madhara ya ukosefu wa elimu ya fedha kabla ya kukopa

    Ukosefu wa elimu ya kifedha unaweza kuathiri vibaya uwezo wako wa kufanya maamuzi sahihi ya kukopa, mara nyingi husababisha mzigo wa madeni usio endelevu, dhiki ya kifedha ya gharama kubwa, na ya muda mrefu.Bila uelewa mzuri wa dhana za kifedha kama vile uwiano wa riba na deni kwa mapato, watu...
  6. K

    Naomba mnisaidie app za mikopo zinanzowezesha kukopa

    Niaje? Mtaani Hali kugumu deile kila kukicha unasema afdhali ya Jana wapambanaji tusichoke kupambana life ni gumu balaa, wana ndo tunasota nao tukipeana mahope siku Moja tukatoka tu🙏😔naamini Hilo deile wadau wangu Nimekuja na mishe yangu hii naomba mnielekezs app ya kupata mkopo mtandao
  7. M

    Karibu ukope, maswali ya kujiuliza kabla ya kuja kukopa

    Karibu ukope, maswali ya kujiuliza kabla ya kuja kukopa Habari Nikiwa kama mtoa huduma za mikopo mbali mbali kuna vitu au maswali ambayo ningependa mkopahi anapokuja kukopa awe amekwisha fanya tathmin yeye mwenyewe kwanza kabla ya kuja kukopa. Swali la kwanza Ninahitaji sh ngapi? Hili ni...
  8. M

    Karibu ukope, kukopa sio risk

    Karibu ukope kukopa sio risk. Fahamu kwanini biashara nyingi ndogo ndogo hufa. Habari Watu wengi tumekuwa na mtazano wa kuwa kukopa ni kuweka rehani mali Yako kwani sio jambo zuri kuanza biashara Kwa pesa ya mkopo Kwasababu biashara nyingi siku hizi hazieleweki. Naomba nieleze ukweli wa kuwa...
  9. OLS

    Je wajua kwa nchi zilizoendelea, kukopa na kununua kwa fedha taslim gharama ni sawa?

    Bongo imekuja huduma ya kukopa simu kwa sasa ambapo simu hizo zinalipwa kwa siku. Hili suala la kulipa kwa siku lenyewe kwanza ni mtihani lakini pia gharama ya simu inaongezeka mara dufu. Hivyo anayekopa hakuna kitu anaepuka, maana kama unalipa 2100 kwa siku ujumlishe na hela ya kifurushi maana...
  10. A

    Wazo la kukopa fedha benki

    Nina wazo la kununua gari ndogo ya kutembelea.Nataka kukopa benki ili nipate fedha za kununua gari hiyo.Natakiwa nikope kama milioni 22 .Hili wazo la kukopa fedha ili ninue gari toka japani mnalionaje ni zuri au baya.Mshahara wangu ni kama laki 600000 kwa mwezi
  11. Ex Spy

    Deni la Taifa: Nini kimepelekea uongozi wa Rais Samia kukopa kiasi hiki?

    Sikiliza hii video:
  12. Setfree

    Jinsi ya kuishi bila kukopa kopa pesa

    Panga bajeti ya mapato na matumizi. – Bajeti inakusaidia kujua unachopata na kutumia bila kupitiliza. Tumia pesa kwa vipaumbele, si kwa mazoea au tamaa. – Tofautisha kati ya mahitaji ya lazima na anasa au starehe. Epuka maisha ya kushindana na watu wengine. – Kuiga maisha ya wengine hupelekea...
  13. Mwizukulu mgikuru

    Mnalichukuliaje hili la mzazi kukopa kwenye VICOBA alafu anashindwa kulipa

    Mzazi anakopa kwenye vikoba au taasisi ndogo bila kuwashirikisha watoto wake, na anaposhindwa kulipa, mzigo wote wa deni unahamishiwa kwa watoto. Hili kwangu mimi ni kutojitambua na kutojitambua kwa mzazi.
  14. I

    Je serikali imeondoa kukopa kwa ESS?

    Wadau salam. Kipengele cha E Loan kwenye ESS,kimekuwa disabled ,ni muda sasa.Je serikali imeamua kuachana na mfumo huu na kurejea mfumo wa awali. Ni vyema serikalinikatoa tamko kuliko kukaa kimya.
  15. figganigga

    Je, ni kweli Rais Samia pamoja na kukopa sana, hakuna mradi aliouanzisha?

    Salaam Wakuu, Eti ni kweli Rais wa Tanzania awamu ya Sita hakuna mradi hata mmoja aliouanzisha? Inadaiwa miradi anayopiga nayo picha ilianzishwa na Hayati Magufuli. Pia hayati Magufuli alikuwa amekopa mikopo ya kujenga miradi hiyo. Hela ambayo samia Kakopa imeenda wapi?
  16. D

    Inawezekana Shule ya Serikali Kukopa Kutoka Benki? Taratibu zipoje?

    Najua humu Kuna wajuzi wengi sana waliohudumu na wanaohudumu serikalini na maeneo mengine, in fact, wakurugenzi pia wapo humu hivyo Nina Imani hoja yangu itapata mashiko na msaada wa kutosha. Inashangaza kuikuta shule Haina photocopy machine Wala printer. Haina meza nzuri Wala viti. Swali langu...
  17. pombe kali

    KERO Nimekoma kukopa mitandaoni, wanagawa namba yangu kwa watu ili wanipigie

    Aisee nilipata dharula nikakopa kwenye moja ya hizi app siku ya marejesho, sikuwa na kiasi husika. Walichokifanya wamegawa namba zangu kwa watu hata siwafahamu kwa siku, napigiwa simu hata Mia na watu tofauti. Kisha wamewapigia ndugu zangu wa karibu waliopo kwenye contact list yangu. Dah...
  18. copyright

    Kwanini UTUMISHI wamezuia watumishi wa umma kukopa?

    WanaJF salam! Kuanzia mwishoni mwa mwaka jana Utumishi ilizuia mfumo wa manual wa kupitisha makato kwa watumishi wote na kutaka mfumo wa kielectronic kupitia ESS pekee ndo utumike katika kukopa na kupitisha makato kwa maHRO. Sasa katazo hili ndo linasababisha watumishi kushindwa kuuza madeni...
  19. Abraham Lincolnn

    Kiongozi anasimama mbele ya umma na kujisifia kukopa! Haya ndiyo matokeo baada ya USA kusitisha misaada

    Viongozi wengi wazalendo wa kweli waliopita walisisitiza juu ya Afrika kujitegemea na kuacha kutegemea mataifa ya magharibi. J.K Nyerere, Kwame Nkrumah, Thomas Sankara, John Magufuli na viongozi wengi mashuhuri waliweka msisitizo juu ya Afrika kutumia rasilimali zetu wenyewe kama vile ardhi...
  20. Mr Why

    Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million, hii itasaidia endapo nataka kukopesha mtu au kukopa

    Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
Back
Top Bottom