Ni habari iliyotikisa wengi, wengine wakacheka kwa uchungu na wengine wakashika vichwa: Chuo cha Arusha Technical College (ATC) kimetangaza kuwa hakutakuwa na sherehe za mahafali kwa wahitimu wa mwaka 2025, zilizopangwa kufanyika tarehe 31 Januari 2026.
Sababu? Asilimia 7 tu ya wahitimu ndio...
Habari zenu wapendwa, tukiwa msimu wa joto naomba kuwakaribisha wote wenye uhitaji wa AC kutoka Baridi Baridi ili kupambana na joto nyumbani, ofisini, hotelini, supermarkets n.k
AC zetu unaweza kupata kwa;
KULIPIA KIDOGO KIDOGO, hapa unakua unafungiwa AC na unakua unalipia kidogo kidogo kila...
Rhond's company limited
🚗 Unahitaji gari la kukodisha?
Kwa kazi, safari au matembezi — tuko tayari kukuhudumia!
✅ Magari safi na yaliyohudumiwa vizuri
✅ Madereva waaminifu na wenye taaluma
✅ Huduma nchi nzima
📞 Piga/WhatsApp: +255 655 633 302
#MagariYaKukodisha #Tanzania...
"Tatizo la kuwaamini sana viongozi wa dini ni kwamba tunasahau kuwa hata Shetani alipanda madhabahuni akiwa na Biblia mkononi na nukuu sahihi za Zaburi." — Alloyce, P.R.
Habari
Samahani kwa mwenye uzoefu na biashara hii naomba anipe maelezo kuhusu biashara hii
1.Garama ya viti (kuvinunua pamoja na kukodisha)
2.Garama ya turubai (kuvinunua pamoja na kukodisha)
3.Jinsi ya kuendesha na kuitangaza
Habari wanajukwaa samahani kuna mlipuko wa watu saivi wanakufuata kukodisha account ya linked in je hawa watu wako kweli au ni scammers?
Wakichukua Account wanafanya yao
Hello Wanajukwaa la Biashara na Uchumi.
Kampuni yetu inatoa huduma mbalimbali za usafirishaji wa mizigo, vifurushi, barua ndani na nje ya Tanzania.
pia tuna magari aina ya fuso tandam yenye uwezo wa kubeba hadi tani 17 na kusafirisha ndani ya Tanzania.
Pia tunaruhusu wale wa trip town, kwa...
Ofisi ya Nida ubungo wameanzisha biashara nyuma ya zoezi la ugawaji wa vitambulisho linaloendelea.
-
Wafanyakazi wa getini wamekuwa wakitoza elfu moja moja ya kanga kwa wanawake ambao wamekuja wakiwa wamevaa suruali za jeans au nguo ya kata mikono.
Unapofika tu getini kuuliza, kama umevaa...
Need a ride? We’ve got you covered!
From sleek sedans to rugged SUVs, Rhond's company limited offers top-quality rentals at unbeatable prices.
✨ Why choose us?
✅ Flexible rental options
✅ Affordable rates
✅ Well-maintained, reliable cars
✅ 24/7 customer support
Book now and drive...
Lissu alidai kuwa moja ya upigaji wa fedha za chama yalifanyika kwenye kivuli cha malipo ya kukodi chopa wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu, kwakuwa mwenyekiti ndiye alikuwa anadai malipo ya gharama basi hakukuwa na namna!!!.
Ukimsikiliza Lissu hapo ni kama vile hamwamini Mbowe na kuona ni...
Aliyewahi kupata hii message, tafadhali aniambie kama kuna ukweli ya kuwa ukikodisha kwa kutoa username na password ya account yako ya linked ambayo ina muda kuanzia nusu mwaka yani miezi 6, lakini pia lazima iwe na connection ya watu kuanzia 100 na kuendelea kisha kila baada ya wiki unalipwa...
Salaam Wadau.Kama Una Mashine ya kusaga Karanga kuwa rojorojo upo Dar, njoo tuzungumze biashara.
Tunaweza kukupa mzigo kisha tukapatana utupe finished product au kila kitu kwako Sisi tunachukua rojorojo.Mashine iweze Kuchakata angalau Kilo 200 kwa Siku.
Njia 10 za Kuongeza Kiasi cha Kodi ya Majengo ya Kukodisha
Majengo ya kukodisha ni mojawapo ya njia bora za kuingiza kipato cha muda mrefu na endelevu.
Hata hivyo, ili kuongeza kipato kutoka kwa mali yako, unahitaji kutumia mbinu mbalimbali za kuboresha thamani ya jengo lako na kufanya...
Mahakama Kuu yatoa kibali kwa LSK na KHRC kuwasilisha ombi la mapitio ya kisheria kuhusu uamuzi wa KAA wa kukodisha JKIA kwa Adani kwa miaka 30.
Mahakama pia imetoa amri za kuhifadhi ambazo zinakataza mtu yeyote kutekeleza au kufanya chochote kuhusu mapendekezo ya Adani kuhusu JKIA mpaka kesi...
Habari za leo wakuu,
Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam weekend hii.
Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
Habari za leo wakuu,
Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam wiki hii.
Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.