kukata misaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rasmi, Bunge la Ulaya lapiga kura zote 539 za NDIYO kuzuia misaada Tanzania, wahusika wa kadhia ya Oktoba 29 kuwekewa vikwazo

    Bunge la Ulaya limeitaka Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya kusitisha msaada kwa serikali ya Tanzania na kuwawekea vikwazo wahusika wa ukandamizaji uliofanywa baada ya uchaguzi mkuu. Wabunge wa Ulaya wamelaani vikali vitendo hivyo na kutaka kuachiwa kwa wapinzani waliokamatwa. Wamesisitiza kuwa...
  2. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Watu milioni 14 wako hatarini baada ya Trump kukata misaada - ripoti

    Hatua ya Donald Trump kupunguza kiwango kikubwa cha ufadhili wa Marekani kuelekea misaada ya kibinadamu ya kigeni inaweza kusababisha vifo vya zaidi ya watu milioni 14 ifikapo mwaka 2030, kulingana na utafiti uliochapishwa katika jarida la matibabu la The Lancet. Theluthi moja ya wale walio...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Trump atishia kukata misaada kwa Misri ikiwa haitapokea Wapalestina

    Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kukata misaada kwa Egypt ikiwa hawatakubali kuwakaribisha Wapalestina kutoka Gaza. Trump anataka Marekani inunue na kuimiliki Gaza. Egypt ilipokea msaada wa dola bilioni 1.3 kutoka Marekani mwaka 2024 na dola bilioni 1.5 mwaka 2023, na kuifanya kuwa moja...
Back
Top Bottom