Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeongeza Siku 14 kutoka Januari 31, 2023 iliyopangwa kufungia Mawasiliano ya Laini za Simu mbazo hazijakamilisha usajili wa alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, #NapeNnauye...