kujitetea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chagua Kisingizio Kimoja tu cha Kujitetea kwa Mashabiki wa hovyo baada ya Msudani kufanya yake

    1. Refa katuonea Saba 2. Tumefanyiwa Fujo 3. Tulipuliziwa Dawa Vyumbani 4. Tumerogwa sana 5. TFF ilitutenga haikutupa Mbinu 6. Mashabiki zetu walizuiwa Kuingia Uwanjani 7. Tumejitahidi ila Malaika Bahati hakuwa upande Wetu Bado GENTAMYCINE tena kwa Kujiamini kabisa nasisitiza kuwa hata Jumapili...
  2. W

    Mbatia Hakubaliki kila kona, jitihada za kujitetea zimegonga mwamba

    Mgogoro wa NCCR Mageuzi umeibuka kwa sura tofauti baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuzuiwa kufanya mkutano wake na Waandishi wa Habari. Katika hali ya kutaka kujibu uamuzi wa jana wa chama hicho, Mbatia aliitisha mkutano na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya Regency...
  3. Namna ya kujitetea katika makosa ya jinai kulingana na mazingira ya kesi

    UTETEZI WA KIJINAI DEFENSES IN CRIMINAL CASES. Karibu tujifunze namna ya kujitetea katika makosa ya jinai kulingana na mazingira ya kesi husika kwa kusoma makala hii. Imeadaliwa na Mr. George Francis. Email: mr.georgefrancis21@gmail.com Zifuatazo ni baadhi ya aina za utetezi wa makosa ya...
  4. Watanzania tulio wengi tunampenda Hayati Rais Magufuli, hamtafanikiwa kubadilisha ukweli huo kamwe!

    Niliposikia kwa mara ya kwanza kwamba hii Sinema ya Royal Tour (ambayo Rais wetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni Main Actor and Tour Guide) ina assert kwamba kifo cha Hayati John Pombe Magufuli kimesababishwa na Covid, nilistuka na sikuamini masikio yangu!Kwa maoni yangu hii inam-compromise...
  5. S

    Watanzania tuna utamaduni gani,mpaka hatuna uwezo wa kujitetea?

    Naandika nikiwa na hasira sana juu ya jinsi mimi na watanzania wenzangu tunavyoishi katika mazingira yetu ya kila siku. Unakuta mtu naporwa simu, au naonewa lakini watu pembeni wamekaa tu hawashughuliki kumsaidia. Raia wote wanaacha jukumu la kujilinda liwe la polisi tu kana kwamba wao...
  6. Dhana ya wanasiasa kutokukosa jibu la kujitetea hata kama wakibananishwa kwenye makosa

    Wakuu, hii imekaaje, kwamba wanasiasa wote wa afrika (mfano Kenya). Unaweza ukamkuta na kosa na kulieleza bungeni ili aweze kutoa majibu, likini majibu ya mawaziri wenye wizara husika yanakua ni. a) Tumesikiliza tutalifanyia kazi b) Hilo lipo kwenye mpango, tutalirekebisha Haya majibu huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…