Watu wachache sana nimeambiwa na waandikishaji 7. Kati yao 4 ni kutoka Dar. Wanasema mwitikio ulikuwa mdogo sana pamoja na kuongeza siku za kuandikisha bado watu hawakujiandikisha.
Kuna mambo tuwe tunaongea ukweli mara moja moja. Ingawa nampa tena mitano Samia. Au mikumi tena.
Hali ya hewa...
Wakuu,
Kama swali linavyojieleza hapo juu
Yaani kwa mfano mimi naitwa XYZ muda wa kujiandikisha alafu miezi michache baadae nikabadilisha jina langu kuwa XYS je ina maana nimepoteza haki yangu ya kupiga kura kwa kuwa jina langu limebadilika?
Sasa ukweli ulivyo ni kwamba sheria ya Uchaguzi wa...
Kwani huyu Mkurugenzi wa tume ya mchongo nani kamwambia sisi tunataka kuongezewa muda wa kujiandikisha kupiga kura?
Sisi hatushiriki uchaguzi bila mabadiliko ya kiuchaguzi kama yeye amechaguliwa na samia ambaye ni mgombea hakuwezi kuwa na uchaguzi wa haki kuna kupotezeana muda na hatupo tayari...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda leo Jumanne May 20, 2025 ameungana na Watanzania wengine kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwenye kituo cha Hospitali ya AICC, Mtaa wa Mahakama Kata ya Sekei Jijini Arusha ambapo amesema kwa sasa yeye ni Mpiga kura halali wa...
Wakuu,
Kumekucha huku, kama ulikuwa hujajiandikisha kajiandikishe sasa... lolote litakalotokea Oktoba uwe na kitambulisho tayari!
Hivi utaratibu hufanyika hivi miaka wote? Yaani huwa zinatolewa nafasi mbili za kuboresha taarifa tena zikipishana kwa muda mfupi tu (ndani ya mwezi mmoja)? Au kuna...
Tumeona wanafunzi wasio na sifa wakilazimishwa kujiandikisha ili wapige kura.na Watoto wetu wanakuja kutuambia ili hali sisi wazazi tunajua kabisa hawana sifa.
Pengine CCM na ndio mpango wao wa kuwalazimisha watoto wetu Wanafunzi kupitia kwa Waalimu wao wakijiandikisha watapata kura.
Unakuta...
Wakuu,
Nikadhani zoezi la wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura lilikuwa limeshaisha.
Naona leo RC kajitokeza kuja kuisemea tume!
Akiwa anazungmza hivi karibun Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amesema kuwa wananchi ambao hawakupata nafasi ya kujianfikisha mara ya...
Wanachadema katika eneo langu hawajajiandikisha katika daftari la kupiga kura baada ya kiongozi wetu Lissu kutuelekeza tususie uchaguzi.
Wagombea wenzangu walikuwa wamerltunza hela wafanyie kampeni, sasa wameamua kuzinywea pombe na kufanyia shughuli nyingine. Wenzetu CCM wanajisuka mashinani...
Nyota wa Muziki wa Injili, Christina Shusho anasema "Sisi Wananchi ndio wenye maamuzi na ndio ambao tunajua nani anafaa na nani hafai, kutimiza hilo lazima tuwe na uwezo wa Kupiga Kura, hatutakiwi kushiriki katika Uchaguzi kwa njia ya mdomo bali Kadi yako ya Kupiga Kura ndio inafaa na ndio...
Kwanza ieleweke Mimi ni mfuasi kabisa wa kauli mbiu ya "NO REFORMS NO ELECTION" ila baada ya kuutafakali mstakabali wa taifa letu nimejiridhisha kabisa kwamba CHADEMA inabidi tuanze maandalizi na kuingia rasmi kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
Kwa nini nasema hivyo; ni kwa sababu CCM Haina malengo...
WAJIBU WAKO, SAUTI YAKO, HAKI YAKO!
Ndugu wananchi, demokrasia imara hujengwa na watu wanaotambua haki zao na kuzitumia kikamilifu. Moja ya haki yako muhimu kama raia ni KUPIGA KURA!
Ili kuhakikisha unashiriki katika maamuzi ya taifa letu, hakikisha unajiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la...
Afisa Tarafa ya Chag'ombe Al Hajj Saadat Mtware amewahamiza wananchi kujitahidi katika kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ikiwa leo ni siku ya mwisho wa uandikishaji huo.
Al Hajj Mtware akimuwakilisha Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe Sextus Mapunda katika Iftra maalum...
Kwenye vituo vya kujiandikisha wapiga kura chadema sio wengi, wanasema hawana uhakakika kama chama chao kitashiriki uchaguzi maana hakuna reform yoyote wanaiona ikifanywa na serikali.
Wajumbe wa CCM wako pembeni kwenye vituo vya kujiandikisha sijui wanafanya nini humo. Wanachukua namba ya simu...
Nimesikitishwa kuona watu wamekamatwa baada ya kuzuia watu wasio na sifa kuandikishwa kupiga kura kwasababu hawana sifa, baadhi yao nimesikia katika vyombo vya habari ikiwemo JamiiForums kuwa walizuiwa kwasababu wananchi wa eneo hilo waliwatambua kuwa sio wakazi wa eneo hilo.
Hii inaweza...
Zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa daftari la Mpiga kura inaweza kuwa mojawapo ya changamoto inayokatisha watu tamaa ya Kwenda kupiga kura.
Baada ya miaka 10 mingine we are not expecting kuona changamoto tulizoziona mwaka huu na ningependekeza yafuatayo:
Kutumia Teknolojia: Tunahitaji...
Ally Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga anatoa maoni yake kuhusu Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura:
Wapo wanaoamini Kadi ya Kupiga Kura sio muhimu kwao na kwamba ni jambo la Kisiasa lakini ukweli ni kuwa Siasa inaendesha Maisha yetu ya kila siku, hivyo ni...
Wakuu,
Msemaji wa Mbezi Beach nilienda kujiandikisha jana na hizo ndio changamoto na kasoro nilizoziona kwenye zoezi hilo;
1. Hakuna utaratibu maalum wa kuwapokea wananchi na kuwaelekeza utaratibu wa kujiandikisha
Kituo cha kujiandikia nilichofika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mbezi Beach B...
Wakuu,
Msemaji wa Mbezi Beach leo nimeenda kuboresha taarifa zangu kwenye daftari kudumu la wapiga kura katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mbezi Beach B. Wakati niko nasubiri kuandikishwa ilikuwa zamu ya dada fulani kuandikishwa. Sasa wakati anaandikishwa huyo kaka kwenye picha hapo pembeni...
Wakuu salam,
Kwa watu ambao tayari uliwahi kujiandikisha kabla kuna njia ya kujiandikisha mtandaoni. Nilikuwa sielewi jinsi ya kujisajili maana taarifa hii haipo kwenye website ya tume, nilipopiga simu nikaelekezwa jinsi ya kwenda kutafuta google (tatizo jingine hili, kwanini hii link haiwekwi...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewakumbusha wananchi wote wa Mkoa wa Dar es Salaam waliojiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mwaka 2015 na 2020 na kadi zao za mpiga kura hazijapotea, hazijaharibika au hawajahama maeneo yao walikojiandikisha awali wasiende kwenye vituo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.