kujiandikisha kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matulanya Mputa

    LGE2024 Kama leo baadhi ya vituo vya kujiandikishia wameweka nje kila mtu anaona kwa uwazi kwanini kura zisipigwe kwa uwazi ili kila mtu aone kinachoendelea?

    Kama leo baadhi ya vituo vya kujiandikishia wameweka nje kila mtu anaona kwa uwazi kwanini kura zisipigwe kwa uwazi ili kila mtu aone kinachoendelea? Soma Pia: Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama vya Siasa wataruhusiwa kuwepo katika Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura
  2. Suley2019

    LGE2024 Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ajitokeza kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Geita

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko ameshajiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwenye katika kitongoji cha Bulangwa wilayani Bukombe mkoani Geita leo tarehe 11.10.2024.
  3. Nyendo

    LGE2024 Kilimanjaro: Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM

    Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi? Pia soma: LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
  4. Waufukweni

    PreGE2025 LGE2024 Dodoma: Wapiga Kura wakiwa na Vipeperushi vya mwenyekiti wa CCM Wakati wa Kujiandikisha

    Zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu limeanza leo Oktoba 11, 2024 nchini nzima na litaendelea hadi Oktoba 20, 2024. Rais Samia na yeye ametimiza haki yake ya Kikatiba, hapa akiwa kwenye foleni na wakazi...
  5. Roving Journalist

    PreGE2025 LGE2024 Tofauti ya Daftari la Kudumu la Wapigakura na Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa

    Kwa ufahamu tu: Tofauti kati ya Daftari la Kudumu la Wapigakura na Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa Daftari la Kudumu linasimamiwa na Tume Huru ya Uchaguzi kwa ajili ya Kumchagua Diwani, Mbunge na Rais kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa...
  6. J

    PreGE2025 LGE2024 CCM itatoka Madarakani pale tu itakapochokwa na wananchi lakini siyo kwa kuzidiwa Mbinu za Siasa na Vyama vya Upinzani!

    Huko Ndio Ukweli CCM ina mikakati mipana sana Muda mfupi uliopita nimepigiwa Simu na Mjumbe wa Nyumba 10 akinijulisha Uandikishaji Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Umeanza Leo na anesema " chonde chonde Komredi sambaza ujumbe kwa Wananchi wote Wenye mapenzi mema na CCM" Sasa Ndio...
  7. Mganguzi

    PreGE2025 LGE2024 Kwanini mnatuandikisha majina ya mpiga kura na hamtoi vitambulisho wala kuchukua picha ya anayejiandikisha?

    Kuna jambo nimejaribu kulitafakari sana kuhusu huu uandikishaji ,miaka yote tunaandikishwa na kupewa vitambulisho. Ni kwanini awamu hii mnaandika majina tu na hamtoi kitambulisho? Ni nini lengo la tume na kwa wale ambao hawana vitambulisho chaguzi zijazo watafanyaje ?
  8. Emmanuel gubabu

    LGE2024 Ni sawa kwa wenyeviti wa mtaa na vitongoji kutotoa taarifa kwa wananchi wao kuenda kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura?

    Jana niliongea na Balozi akaniambia leo usiku (Jana) tutatangaza kwa kutumia polomondo ili kila mwananchi ajue nikatoka kwenda msibani nikakuta Mwenyekiti wa kitongoji anasema hatutangazi mtaambiana wenyewe huko, nikawaza hivi hilo zoezi la kwenda kwa kila mtu kumwambia mbona gumu sana...
  9. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 LGE2024 Mbunge Amina Ali Akomaa na Vijana, Awataka Kujiandikisha Daftari la Mpiga Kura

    Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa) Anayetokea Kundi la Vijana Zanzibar, Mhe. Amina Ali Mzee ametembelea vituo mbalimbali vya Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar vinavyoandikisha wananchi katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kutokana na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Unaotarajiwa Kufanyika 27...
  10. Mr Geniuz Km

    LGE2024 Vipi, mtaani kwako muamko kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024?

    Hali ya vyama vya siasa zikoje katika maeneo yenu katika uchaguzi huu mdogo wa Serikali za mitaa , na je , Muamko wa wananchi ni wakiwango gani?
  11. 4

    PreGE2025 Watanzania wenzangu tujindikishe kwa wingi kupiga kura chadema itaenda waletea chuma

    Mungu wangu mwema siku zote , na amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,imekua Wakuu andiko langu litakua fupi sana. Uchaguzi wa 2025 kama ukifanyika (,zingatia kama ukifanyika ) ni uchaguzi kati wapenda nchi yao kwa maslahi mapana ya sasa na vizazi vyao vijavyo vs machawa...
Back
Top Bottom