Katika huo mpango wa CCM wa uchumi wa $ Trillion 1 kufikia mwaka 2050 wana mpango wowote wa kujenga daraja la barabara ya juu (viaduct) Kitonga au wataendelea na mbinu za kienyeji tu za kuchimba ukuta na police wa pikipiki.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amekutana na wasanii na watengeneza maudhui 21 aliowaita katika kikao maalumu, akisema wamepewa msamaha wa makosa yao ya awali ya jinai yaliyohusishwa na matumizi ya mitandao ya kijamii.
Soma pia: Wasanii walioitwa na Katambi leo wamesamehewa...
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wameelezwa kuwa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa daraja la kisasa la chuma lenye urefu wa Mita 30 katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya, mradi...
Ni kilometre 14 tu kutoka Afrika kwenda Ulaya lakini hakuna aliyependrkeza wazo la kujenga daraja. Wakati tunaelewa Ulaya inapata malighafi nyingi kutoka Afrika na pia inapata wafanyakazi vijana kwa ujira mdogo.
Serikali imethibitisha kuwa inaendelea na hatua za awali kuelekea ujenzi wa daraja la kudumu linalounganisha Kijiji cha Negero katika Wilaya ya Kilindi, mkoani Tanga, ili kuboresha miundombinu na kuchochea shughuli za kiuchumi kwa wananchi wa eneo hilo.
Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la...
Wakuu,
Mambo yanazidi kupamba moto majimboni, sasa hivi kulalamika kunapungua, wanaanza kutumia mbinu zao.
=====
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa mchango wa mbao kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mto Mnenje linalounganisha Kijiji cha Mnenje na Kitongoji cha Mtandika Wilayani Tunduru...