kuimarisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wasajili wa hati wasaidizi watakiwa kuzingatia maadili na kuimarisha huduma kwa wananchi

    ARUSHA: Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma, kuimarisha weledi na kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi ili kuhakikisha usimamizi na usajili wa hati za ardhi unafanyika kwa kuzingatia sheria, kanuni na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jacqueline, Wananchi Chala, Sumbawanga wafurahia Vifaa Tiba Vya 312m vilivotolewa na Serikali

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkansi, Manispaa ya Sumbawanga na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Jacqueline Mzindakaya, wameeleza kufurahishwa na jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha huduma za afya, huduma za uchunguzi...
  3. JamiiForums Tanzania Mhandisi Munde aagiza hazina SACCOS kuimarisha usimamizi wa fedha za Wanachama

    Naibu Waziri wa Fedha, Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) ameiagiza Menejiment ya Hazina Saccos kuhakikisha fedha za wanachama zinalindwa kwa kiwango cha juu, huku akiwataka kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji, ukaguzi wa ndani na udhibiti wa mikopo pamoja na urejeshaji wake. Munde aliyasema hayo...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Rwanda zazungumzia kuimarisha ushirikiano

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Rwanda, Mhe. Olivier Nduhungirehe, pembezoni mwa Mkutano wa 81 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, jijini New York...
  5. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe akutana na viongozi wa Mbinga kuimarisha utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amefanya kikao kazi na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, wabunge na viongozi wa Wilaya ya Mbinga, kwa lengo la kujadili namna bora ya kuimarisha na kuharakisha utekelezaji wa miradi ya...
  6. JamiiForums Tanzania JWTZ kuimarisha ushirikiano na Vyuo vya Sayansi

    👉 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, alisema kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) litaendelea kushirikiana na Vyuo Vikuu vya Tanzania ili kuongeza tija na ufanisi, hasa katika nyanja za sayansi na teknolojia. 👉 Jenerali Mkunda alisema hayo...
  7. E

    JamiiForums Tanzania AFRODAD, SADCOPAC zaungana kuimarisha usimamizi wa Bunge kwa Madeni ya Umma

    MANZINI, Eswatini. Shirika la African Forum and Network on Debt and Development (AFRODAD) na Jumuiya ya Mashirika ya Kamati za Hesabu za Umma ya Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADCOPAC) zimeingia rasmi katika ushirikiano unaolenga kuimarisha usimamizi wa Bunge, kuhamasisha...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kuimarisha matumizi ya teknolojia usimamizi wa bandari

    Serikali inaendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia za dijitali, mifumo ya kisasa ya usimamizi wa bandari na biashara, pamoja na matumizi ya taarifa za kisayansi katika kufanya maamuzi ya kutambua kuwa Uchumi wa Buluu wa kisasa unahitaji wataalamu wenye ujuzi, ubunifu na uwezo wa kutumia...
  9. JamiiForums Tanzania Profesa Tibaijuka ataka maboresho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano kuimarisha mifumo ya uchaguzi

    Profesa Anna Tibaijuka amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inahitaji kufanyiwa maboresho katika maeneo mbalimbali ili kuimarisha mfumo wa kisiasa na uchaguzi nchini. Profesa Tibaijuka ameyasema hayo leo Ijumaa, Agosti 28, 2026, wakati akizungumza katika Jukwaa la...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za -Waziri Mkuu Nchemba

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za kimawasiliano-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bumbuli...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini -Waziri Mkuu Dkt Nchemba

    Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za kimawasiliano-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Bungeni-Dodoma 🗓️ Agosti 27, 2026. ————————————- Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bumbuli...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania, Comoro kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

    Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa Tanzania ina dhamira ya kuimarisha zaidi ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo na Serikali ya Jamhuri ya Comoro, ili kuleta manufaa ya pamoja kwa wananchi wa nchi hizo mbili. Mhe. Balozi Omar...
  13. JamiiForums Tanzania Mwigulu awataka Watanzania kuimarisha malezi, kulinda amani na kutimiza wajibu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuendelea kuimarisha malezi ya watoto na vijana, kulinda amani, kuheshimu tofauti na kutimiza wajibu wao kwa taifa, akisisitiza kuwa haki na wajibu haviwezi kutenganishwa. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo Jumanne, Agosti 25, 2026, wakati...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni Wazanzibari! hatua zenu si za kubeza; mnasuka usawa ndani ya Muungano. CCM Bara hatuna wasiwasi, kiongozi yeyote anaejiuzulu nafasi itajazwa

    Tunaendelea kuuenzi Muungano wetu wa Tanzania, ambao baba yetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndiye Muasisi. Zanzibar kama upande mmoja wa Muungano tunawapa pongezi kwa kuendelea kuunogesha Muungano kwa kuweka mifumo yenye kujali usawa zaidi. Na huo ndio Muungano tunaoupenda...
  15. JamiiForums Tanzania Pro. Shemdoe: Michezo kwa Watumishi wa Halmashauri itumike kuimarisha Afya, Mshikamano, tija kiutendaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezitaka Halmashauri zote nchini kutumia michezo kama nyenzo ya kuimarisha afya, ustawi, mshikamano na tija kwa watumishi, ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi. Prof...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania na DRC zazidi kuimarisha biashara kupitia ushoroba wa kati

    TANZANIA NA DRC ZAZIDI KUIMARISHA BIASHARA KUPITIA USHOROBA WA KATI Takwimu zinaonesha kuwa Tanzania imefanya biashara yenye thamani ya Shilingi bilioni 794 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Aidha, Bandari ya Dar es Salaam imeendelea kuwa lango muhimu la biashara kwa DRC, huku nchi...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yasisitiza Kuimarisha Ushirikiano wa Kimkakati na India

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amesema Tanzania imedhamiria kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na India, hususan katika sekta za biashara na uwekezaji, ili kuchochea maendeleo endelevu na kuboresha maisha ya wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi atua Tanzania kuimarisha uhusiano

    Rais Tshisekedi atafanya ziara ya siku 3 nchini Tanzania kuendelea Kuimarisha Uhusiano wa Kihistoria na Ushirikiano wa Kikanda Ujio wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, nchini Tanzania kuanzia Agosti 17 hadi 18, 2026, kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan...
  19. W

    JamiiForums Tanzania MASTERCLASS: Jinsi ya Kutumia Samsung Modes & Routines Kuimarisha Ulinzi wa Simu Yako

    Modes and Routines (Zamani zikiitwa Bixby Routines kwenye simu za Samsung) ni kipengele kinachowezesha simu yako kujiongoza yenyewe (automation) kufanya mambo mbalimbali kulingana na wakati, eneo, au kile unachofanya. Wazo kuu la kipengele hiki linategemea "Kama (If) ... Basi (Then)": Modes &...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzinga

    Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya bajeti na usimamizi wa fedha za umma kwa kuzingatia usawa wa kijinsia, hatua inayolenga kuhakikisha rasilimali za Serikali zinatumika kwa ufanisi katika kuchochea maendeleo jumuishi. Mhe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…