kuiba

Kuiba (Chinese: 魁拔) or Greatbug is a 2011 Chinese animated film. It was released on July 8, 2011. The film was followed by Kuiba 2 in 2013 and Kuiba 3 in 2014, with a fourth film, Kuiba 4, scheduled for release in 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuweni makini na matumizi ya ATM; kuna wataalam wa kuiba na hutopata sms na notification

    Wakuu , Kumeibuka wizi wa kupitia ATM. Hasa ile benki flani hivi. Jamaa wanaiba in such a way hutopata notification SMS. Msitumie ile njia ya kuweka ATM card juu ya mashine
  2. Polisi Wamkamata Mwanachama wa CHADEMA kwa kosa la kuiba michango ya Tundu Lissu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Fredrick Mbwambo, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za wizi wa fedha za michango zilizokuwa zikikusanywa kwa ajili ya Mwenyekiti wa chama hicho aliyeko gerezani kwa tuhuma za uhaini, Tundu Lissu. Kwa mujibu wa...
  3. H

    Mfanyabiashara ukifunga camera na hata ukitaka ushinde hapo 24/7 mfanyakazi akiamua kuiba ataiba tu

    Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera. Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa mwaminifu atamwambia gharama yake halisi mfano 200K kisha atamwambia anaweza kulipia 20K na risiti...
  4. M

    Uchaguzi Uganda: Mbona hatuoni Waganda wakichoma, kuharibu miundo mbinu na kuiba mali za watu baada ya matokeo?

    Uchaguzi tayari umeisha Uganda na kuna malalamiko kuwa Yoweri Museni kaiba kura na kuwatesa wapinzani ikiwemo kumkamata Boby Wine jana usiku. Sasa kwanini Waganda hawatoki na kuanza kuharibu nchi yao, na pia kuiba mali za Waganda wenzao? Kulikoni Tanzania kwa wale waliojifanya wanaandamana kwa...
  5. Nafukua: Watu waliouwawa October 29 sio wape waliochoma vituo vya mafuta na kuiba mali za watu ni raia ambao hawakuwa tishio kabisa

    Watu waliouwawa October 29 sio wale waliochoma vituo vya mafuta na kuiba mali za watu ni raia ambao hawakuwa tishio kabisa. Hawakuwa na kiberiti wala kifaa chochote wala mali zozote za watu wanaodaiwa kuibiwa malizao kwenye maandamano. Hata hivyo kulingana na sheria za Tanzania maandamano sio...
  6. Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi

    Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi. Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa...
  7. K

    PostGE2025 Tatizo la Tanzania: Samia hataheshimiwa baada ya kuiba kura kijinga!

    Uongozi wa Samia hautakuwa kama miaka iliyopita na tusahau mambo kurudi kama zamani. Samia amepoteza heshima kwa chama chake, nchi yake na wananchi wake. Nani atamweshimu mtu fake! Yaani ni sawa na kufanyiwa operation na Dr ambaye amefeli mitihani yote na kutegemea utakuwa salama! Tukubali tu...
  8. Wanaotumihiwa kuiba Bil mbil Tamesa wanafutwa kazi na kupelekwa Mahakamani. Angela Kiziga yupo Ikulu akimsadia rais Samia Kazi

    Watanzania wakiingia mitaani na kuandamana kuwa huu utawala haufaina utakiwa kuondolewa kwa nguvu za umma Wanatumia majeshi kuwamaliza. Mtu kama Angela Kiziga alifanya ufisadi ambao ni ni dharau na kebehi kwa walipa kodi. Lakini leo hii ni miongoni mwa WanaCCM ambao ambao wapo karibu na...
  9. M

    Default settings za mwafrika ni wizi, akipata cheo, lori likianguka, n.k. anachowaza ni kuiba

    Hata kama wizi upo kote ila kwa waafrika ni default settings Lori likipiga mzinga default settings za waafrika huwa ni Baraka imeshuka, watu wanajsevia hawajali hasara wanayotengeneza Mwajiriwa anaelipwa kwa kodi za wananchi bado anahitaji mlungula au ya soda ili afanye kazi yake, bila hivyo...
  10. PostGE2025 MV Kazi yasitisha kutoa huduma leo Desemba 9

    Kulingana na Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umemem Tanzania TAMESA imetaarifu Umma kuwa Kivuko cha MV Kazi kinachotoa huduma katika eneo la feri kimesimama kutoa huduma zake kuanzia leo December 09 kutokana na Kupata hitilafu kwenye mifumo yake ya Uendeshaji. TAMESA imeshauri watumia wa kivuko...
  11. PostGE2025 Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuua watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu

    Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu. Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba uchaguzi alafu vyombo vya usalama vinajioa akili na kumpigia saluti kuwa ni rais. Wananchi tutachukua...
  12. Kwa hali ya kawaida: Hivi mtu unawezaje kuiba zaidi ya Bilioni 100?

    Yaani kwa umri wangu huu wa miaka labda 40; hizo Bilioni 100 za uwizi zanifaa nini haswa? Kwasababu hizi fedha hata kwa kuzila haziishi. Na mbaya zaidi: unakuta kwamba mtu anafanya wizi; anadhulumu haki za watu wengine kupata huduma, imagine hiyo ingewapa wanafunzi wangapi mikopo ya elimu ya...
  13. Watuhumiwa 7 wa mauaji ya Mtoto aliyedaiwa kuiba Parachichi wakamatwa

    Jumla ya watuhumiwa saba wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa kwa kuhusishwa na mauaji ya kijana aliyedaiwa kuiba parachichi. Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao wanashikiliwa kwa mahojiano na mara baada ya taratibu kukamilika watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma za mauaji...
  14. Wakutwa wakiiba mbao za bango la CCM, mmoja asema hawezi kuacha kuiba

    Angalia hii video ya huyu jamaa ambaye amekata tamaa. Yeye anasema hawezi kuacha kuiba hata umkamate mpige umuue.
  15. M

    Niliwahi kuiba chakula nilipokaa njaa kwa siku mbili, mpaka leo nimeshajiapiza siwezi kuja kumpiga mwizi ataeiba chakula

    Njaa ya siku 2 mnaijua mnaisikia ? Akili ina ji reset kwenye default settings LIWALO NA LIWE Ni kipindi hicho miaka ya nyuma kuna muda nilipata changamoto za kiuchumi, sikuweza kupata chakula kwa siku 2 Mpaka akili ikaja ya kuwinda sherehe na misiba, hakuna kitu. Kuna nyumba walikuwa...
  16. Hivi hili la viongozi kuiba mabilioni ya pesa na kununulia vitu vya kifahari ni ujinga ama ni kukosa maarifa?

    Mange amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa na familia za viongozi wa juu, wakitapanya mabilioni kupitia “deals.” Swali linalojitokeza ni: hivi kweli familia hizi hazina hata chembe ya busara ya kawaida katika namna ya kufanya mambo yao? Ni kana kwamba tamaa imefunga fikra zao kiasi cha kushindwa...
  17. GE2025 Mifumo ya Chadema imeungwa na NIDA, ushahidi huu hapa, je na wao wanaitumia kuiba kura?

    Kumekuwa na kelele za mfumo sijui imeungwa na nini. Hata mifumo ya chadema imeungwa na NIDA. Je wanaitumia kuiba kura?
  18. Mbona habari ya Polepole ya kuiba kura haipewei airtime? Ina maana media zote zimeshikiliwa na CCM?

    Kuanzia , JF na mitandao mingine yote habari ya Polepole ya CCM kuiba kura kwanini media hawataki kuiweka ili wananchi waipate .
  19. K

    SOFTWARE Unamiliki duka au supermarket? Usihangaike tena na daftari, stock kupotea au wafanyakazi kuiba

    SHARED DUKA ENTERPRISES PORTAL – Ni Mfumo wa Kisasa wa Mauzo na Manunuzi kwa Biashara za Rejareja na Jumla. MUHTASARI WA MFUMO: Mfumo wa Shared Duka Enterprises Portal ni suluhisho la kidijitali linalorahisisha usimamizi wa biashara yako. Ukiwa na mfumo huu, unaweza kuuza, kununua, kutunza...
  20. K

    Unamiliki duka au supermarket? Usihangaike tena na daftari, stock kupotea au wafanyakakazi kuiba

    Mfumo wa SHARED DUKA ENTERPRISES PORTAL ni suluhisho kamili la biashara yako: 1. Mauzo & Manunuzi 2. Hisa & Uhamisho 3. Ripoti & Risiti 4. Wateja & Wasambazaji 5. Watumiaji na Ruhusa 6. Web-based (Popote ulipo) 7. Mfumo umekuwa integrated na SMS, MAILS 8. Mfumo unaweza kuwa integrated na MPESA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…