kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashauri kuhusu kesi iliyofunguliwa Arusha

    https://x.com/Liberatus80/status/1826961816020214007?t=ypiWqKksDvcqZ36nm0pO9g&s=09
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye majibu kuhusu jambo hili anisaidie nami nipate uelewa

    Mfumo wa demokrasia hapa nchini ulianzishwa rasmi mwaka 1992 chini ya Rais Mwinyi akiwa ndiye mwenyekiti wa chama mapinduzi CCM, na ndio kilikuwa chama pekee cha siasa kabla ya hapo kutokana na mfumo wa siasa wa wakati huo. Najua suala la maamuzi ya kuruhusu mfumo wa mabadiliko ya kisiasa...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kumbe tunalishwa matango pori kuhusu mahakama kufuta amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro

    https://x.com/Advocate_Jebra/status/1826832748960530808?t=Ns0xeXSyf8gz8naajp4k6Q&s=09
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi waitilia shaka kesi kuhusu ngorongoro huko Arusha-wadai ina harufu ya kimchongomchongo

    Baada ya joto kuhusu ngorongoro kupanda, ghafla eti tunasikia eti kulikuwa na kesi mahakama kuu kule Arusha na eti mahakama hiyo imetoa hukumu kupinga amri ya serikali kufuta vijiji. Mijadala inayoendelea ktk duru mbalimbali za wananchi, imeonyesha wananchi kuitilia shaka kesi hiyo. Wanatoa...
  5. JamiiForums Tanzania Hii kauli Dotto Magari kuhusu Elimu. Anatakiwa achukuliwe hatua za kisheria kwa kupotosha na kutukana umma

    Hi Great Thinkers. Katika Pita pita zangu nimekutana na hii clip. In short siyo nzuri na haina afya yoyote. Yaani kwa huyu jamaa anataka kusema elimu haina msaada wowote licha ya mabilion ya pesa yaanyowekezwa ili watu wasome. Bila elimu hata hilo gari analolinga nalo sidhani kama lingepatikana.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuishambulia Israel, Iran yabadili gia angani..!!

    Ahadi ya Iran ya kulipiza kisasi dhidi ya Israel kwa mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh mjini Tehran itachukua muda, kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini humo (IRGC). "Wakati upo upande wetu na muda wa kusubiri majibu haya huenda...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi hawajui chochote kuhusu taifa la Israel, part 2

    Habari zenu waungwana, nadhani siku si nyingi nilipandisha uzi wenye heading ya WATU WENGI HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU TAIFA LA ISRAEL then kukawa na maneno mengi sana hapa, lakini nilihadi nitarudi na sasa nimerudi kutetea hoja yangu. Kwa uchunguzi wangu mdogo tu tena kupitia hili jukwaa niliweza...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Unajua nini kuhusu ngorongoro? Nani mkweli

    1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii. 2. Wamasai waondolewe ili waarabu wapewe vitalu vya uwindaji na wamilikisshwe hayo maaneo kwa miaka 99. 3. Wamasai wamesaliana ndani ya hifadhi kiasi cha kuadhiri wanyama pori ( from 10K in 1959 to more than 100K 2017) 4. Kuna...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nimetumia dawa za PEP mara nne kwa vipindi tofauti tofauti, nina wasiwasi nimetumia mara nyingi sana

    Kutokana na mtindo wa maisha niliokua nao (ulevi) nilijikuta kwenye hatari ya kupata maambukizi ya VVU mara nne baada ya kufanya ngono zembe au kupata ajali ya kinga kupasuka etc. Kila baada ya kupata ajali nilikua nakimbilia dawa za PEP, sasa mara ya mwisho kuna mhudumu aliniambia dawa za PEP...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lissu abanwa vikali na Mwana CHADEMA kuhusu tuhuma za rushwa ndani ya chama

    Katika mjadala uliofanyika katika mtandao wa clubhouse, Lissu alipata fursa ya kuongea na watanzania juu ya mambo mbalimbali ya kisiasa ya ndani ya chama chake na nje ya chama chake. Kijana aitwaye Lumola ambaye alikuwa ni mgombea ubunge mwaka 2020 alimuuliza Lissu swali zito ambalo Lissu...
  11. JamiiForums Tanzania Vitabu vya Apocalypse, ambavyo kwa kawaida huitwa vitabu vya Apokrifa au apokaliptiki, sio maandiko matakatifu ya Mungu

    Vitabu vya Apocalypse, ambavyo kwa kawaida huitwa vitabu vya Apokrifa au apokaliptiki, sio maandiko matakatifu ya Mungu kwa maana ya kuwa sehemu ya Biblia Kanoni. Vitabu vya Apokrifa ni maandiko ya dini yaliyoandikwa katika nyakati za kale lakini hayakupokelewa rasmi kuwa sehemu ya Biblia Kanoni...
  12. JamiiForums Tanzania Kuhusu sakata la skendo ya kubaka na kulawiti

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya amesema jalada la kesi ya vijana watano wanaotuhumiwa kutekeleza tukio la ubakaji na ulawiti wa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam limekamilika. Vijana hao wanaodaiwa kutumwa na afande, wanne kati ya sita...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob azua jambo kuhusu kingereza cha Msigwa. Msigwa ajibu na kuendelea kuharibu

    Someni, mimi siongezi wala sipunguzi neno: Baadae Msigwa akajibu.
  14. JamiiForums Tanzania Watu wa Jadi vs Dini Mnafikra gani kuhusu maisha?

    Jadi ni mila za kale na potofu? vs Dini shughuli za kibiashara ambazo zimeletwa kutudumaza akili? vipi kuhusu pagans/athens?
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anapotosha Kuhusu Ngorongoro

    Ameandika kwenye mtandao wa X akisema hivi Tatizo Haya matatizo ya kijamii mnayaingizia siasa ndyo maana solution hazipatikani. Hii haiwezi kuwasaidi kisiasa tafuteni hoja nzuri hao wamelipwa maandamano ya kupangwa nasikia na mambo yaliandaliwa na wanaharakati wanalipwa na NGOs za Kenya...
  16. JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Lissu: Hoja tatu kuhusu Abdul kumtembelea nyumbani kwake

    Abdul alipokutana na Rais wa Uganda, nlimsema sana kwenye mikutano yangu, Abdul alitaka kujua kwa nini nilimsema, nilimwambia hii sio nchi ya kifalme au kimalkia hadi wewe ukaiwakilishe nchi, Mama yako ni Rais sio Malkia, wa hiyo wewe sio wa kuiwakilisha nchi popote. 1. Kuhusu hoja ya Abdul...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ombi la wazi kwa Rais samia kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege katika manispaa ya kahama mkoani Shinyanga

    Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan Kupitia kwa Mhe. Waziri wa Uchukuzi Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza Mhe. Rais kwa kazi kubwa na nzuri inayoendelea kufanyika chini ya uongozi wako thabiti. Nikiwa mwananchi na mdau wa maendeleo katika Manispaa ya Kahama...
  18. JamiiForums Tanzania Nataka kuanza mazoezi! Niambie Chochote kuhusu mazoezi

    Wakuu nina passion na mazoezi.
  19. JamiiForums Tanzania Taifa la Israeli linaweza kuwa Taifa la Manabii/Mungu au ndiyo fununu za kufubaza akili za watu kuhusu dini?

    Wakati nasoma O level nimeshuhudia kwa maandishi kuwa kunabiashara inaitwa Triangular Trade ni biashara inayohusisha mabara 3,moja ya bidhaa muhimu ni Watumwa kutoka Afrika siwezi kushangaa Taifa la Marekani kuwa na mchanganyiko wa Rangi. Wakati najiribu kuangalia kwa ukaribu uwepo wa Taifa...
  20. JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui mambo mengi kuhusu Taifa la Israel

    Leo nimeona niwachane, haswa wadau wa jukwaa hili kumekua na battle nyingi sana hususani linapokuja swala la vita kati ya wapalestina na waisrael. Watu wamegeuza hivi vita kama utani wa simba na Yanga, yahani mamia kwa maelfu ya watu wanapoteza maisha lakini kuna watu wanaleta utani wa kitoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…