Tutagawana mali maana nina cheti cha ndoa. Pambana umbane mfunge ndoa ili hata akikuacha mgawane mali. Umewahi kuzisikia hizi kauli bila shaka.
Hizi ni kauli na mawazo ambayo wanawake na wazazi wengi wako nayo kichwani na vinywani mwao.
Leo wacha niwaambie ukweli mchungu. Cheti cha ndoa pekee...
Mke wa msanii maarufu anayejulikana Kama Tomeka Thiam ambaye ni mke wa msanii maarufu wa R&B Akon ameenda kudai talaka mahakamani baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka 29 akidai alipwe euro million 100 Kama fidia ya kuvunja ndoa yake na Akon.
Katika mchakato wa kugawana Mali mahakama imekuta Akon...
Mimi na mpenzi wangu tuliyeishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili tuliachana baada ya mwanamke huyo kuanza visa na akaenda nyumbani kwao. Badae akaibukia mahakamani akiomba talaka na mgawanyo wa mali akiongozwa na wakili mmoja hivi ambae ni ndugu yake.
Moja ya mali ni nyumba ambayo mahakama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.