kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANZIA Arusha: Askari Polisi auawa Picnic bar akidhaniwa jambazi baada ya kuzidiwa kilevi na kwenda kulala kwenye gari lisilo lake

    ASALAAM ALEYKHUM WADAU, Aisee bana kuna Askari aitwaye Omari Mnandi, aliyekuwa ameingia katika gari binafsi la Mtu aliyekuwa akijivinjari maeneo ya Picnic, alijisahau akajiachia kama yupo kwenye gari lake mpaka kusinzia...(Nafikiri walikuwa katika Doria ya usalama) kilichotokea alipigwa na kitu...
  2. Je, nini huwa kinatokea pale mtu anapokaribia kufa?

    Hilo swali niliuliza CHATGPT na haya ndiyo majibu yake.... Simulizi za watu waliokaribia kufa (Near-Death Experiences - NDEs) kwa kweli ni za kuvutia sana na mara nyingi huwa na mambo yanayofanana sana ulimwenguni kote. Watu hawa huripoti uzoefu ambao kwa ujumla unaweza kugawanywa katika...
  3. S

    Binafsi naona CRDB ndio inaanza kufa kidogo kidogo

    Huu ni mtazamo wangu: Kama ambavyo kiongozi wa nchi akifariki, wahusika huhitaji kujipanga kabla ya kutoa tamko kwa umma sababu ikiwa ni kuweka mambo sawa kabla ya kutangaza kifo cha Rais. Kwa msingi huo, hata taasisi Kama benki ambayo watu wengi wametunza fedha zao, inapokumbwa na tishio...
  4. Tundu Antiphas Mughwai Lissu True Definition ya Kufa Umesimama kuliko kufa umepiga Magoti

    Inaweza kuchukua miaka hata Mia Tanzania tusipate Mtu kama Tundu Lissu. Huyu jamaa true definition ya kusimamia unachokiamini. True Definition kwamba wa jukuu wa Mkwawa bado wapo Tanzania.
  5. H

    Watanzania wanaogopa kufa kwa kudai haki zao wakati walishakufa

    Mtanzania anaogopa kufa na au kuwa mtumwa akidai haki yake wakati tayari ni maiti na mtumwa. Mnaogopa kutekwa wakati tayari ni mateka,kweli mmekuwa mateka chini ya chama tawala chenye elementi za udikiteta .
  6. Leo nitawapa ishara moja kati ya ishara kadhaa ambazo utaziona pindi unapokaribia kufa

    Note: Hakuna kifo cha ghafla kwa mtu aliyekufa. Mungu lazima amjulishe mtu kuwa safari yake ya duniani imetamatika. Au lazima amjulishe mtu kuwa kuna watu wanataka kutamatisha safari yake ya duniani soon. Mungu ana njia nyingi za kusema na watu ila njia nyingi wengi huchelewa kuzijua. Macho yao...
  7. B

    Kufa kwa biashara ya tuition nchini Tanzania kuna ashiria nini?

    Ni kwamba elimu ya Tanzania ( shule za sekondari) imeshuka thamani au wazazi sasa hawana tena Imani na elimu ya sekondari? Walio fungua mabanda ya tuition naona wanazidi kufunga tu. Ni me tembelea kibaha kuna taasisi ya inafundisha tuition bure kabisa ( sekondari) lakini si wanafunzi wala...
  8. R

    Adv. Mwabukusi umetimiza wajibu wako, lakini hawa wameshakuwa sikio la kufa kama Idd Amin wa Uganda.

    Tuliokuwepo watu wazima wakati wa kutoelewana kati ya Idd Amin na Nyerere, Idd Amin aliambiwa kila jema na dunia nzima .....alilipuuza kila kitu akiamini ana jeshi la kuwakabiri watanzania!. Matokeo yake kila mmoja anayajua Idd Amin alifia wapi! Hali iko hivyo hapa kwetu. Mtawala wetu sidhani...
  9. Huyu mchina anatafuta kufa au vipi?

    Hawa watu Sasa wamefikia levo nyingine😳
  10. Mwanamke akabiliwa na adhabu ya kupigwa mawe mpaka kufa baada ya kuvaa Tshirt inayomtukana Allah

    Mwanakulitafuta, Mwanakulipata Ibtissame Lachgar wa nchini Morocco anatuhumiwa kwa kuweka picha akiwa amevalia shati ambalo linauchukiza Uislamu, na kuandika maelezo ambayo pia yalikuwa yanaitukana dini hiyo kuwa Allah ni msagaji
  11. Sala ya Mwana CCM katili pale anapotaka kufa

    Wana-CCM wote wanaaomuombea Mabaya Lissu, inapofika siku ya kifo wanakuwa wapole kama wananyolewa. Wanajuta sana.. Pamoja na Ukwasi wao na kutunga Sheria zinazowalinda wanapofanya ufisadi lakini saa ya kifo ikifika wanajuta. Dakika ya kifo wanasema, "Roho yangu imezimika, siku zangu...
  12. Imani Asili za Kiafrika, kufa kwake na kubaki kwake

    Kabla ya kufika dini zilizoingia nchini kwa meli, waafrika, wa hapa Tanzania ya sasa walikuwa tayari wana imani zao za asili. Ambazo zilitamalaki na watu wakaziamini kwa uwazi kabisa nazo zikaongoza maisha yao koroho. Sasa zinaonekana zimepotea, na kufyekelewa mbali na dini za uislamu na...
  13. Sanaa ya kufa

    Kuna hii mada yangu niliandikq mwaka 2016 miaka minne hivi baada ya kujiunga JF.. Lakini kiuhalisia ni mada niliyoiandika kwenye daftari mwaka 1998 ikiwa ni maandalizi ya kuandika kitabu (6,646) Sanaa ya kifo | JamiiForums Sanaa ya kifo Kifo pia ni sanaa na kuna sanaa ya kifo halafu kufa pia...
  14. Gwajima alishakufa kisiasa ila akatumia akili kufa kishujaa kwenye macho ya wanajamii(regular people)

    Sababu za kwanini Gwajima alishaona amekufa kisisasa 1. Gwajima aliupata ubunge kwa kauli ya raisi Magufuli, "Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima. " Gwajima aaliletwa ila kwa gharama za kuharibu uchaguzi, kula fake ziliokotwa kwenye mabox na video zilisambaa, ila akapita...
  15. Unaenda ukweni kutoa posa unakuta beki tatu ya ukweni ina NYAASHI ya kufa mtu

    😂🙌🤣
  16. Kama ilivyo dini Dola haiwezi kufa na itaendelea kuenenda kama Dola

    Huu ni ukweli mchungu ambao tunatakiwa kuishi nao milele na milele. Hakuna wa kuishusha Dola na hakuna wa kuishusha dini. Chukua upande ulio sahihi katka nyakati sahihi. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  17. UDSM Ruangwa Campus & Namungo FC vitadumu hata baada ya Majaliwa kustaafu?

    Kama ilivyokuwa Katavi University of Science and Technology (KUST) vile vile Ile campus ya Mchongo kule Ruangwa inaenda kuwa nyumba ya popo! Mzee wamemtema mapema asubuhi
  18. I

    Laptop Yako Inakaribia Kufa – Huu Ndio Mwongozo wa Kuiokoa Mapema (Step-by-Step Maintenance Guide)

    Laptop Yako Inakaribia Kufa – Huu Ndio Mwongozo wa Kuiokoa Mapema (Step-by-Step Maintenance Guide) Watu wengi wanakumbwa na balaa moja: laptop inazima ghafla au kupungua speed kila siku. Na mara nyingi siyo hardware mbovu – ni matunzo duni. Leo nakupa mpango wa msaada wa dharura – step-by-step...
  19. SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi amesema CHADEMA inazidi kusambaratika na kufa

  20. Kuna siti ndani ya basi ukikaa uwezekano wa kufa ikitokea ajali ni mdogo sana. Makinika

    Hesabu hazidanganyi. Nenda mtandaoni angalia ajali mbalimbali, angalia ajali zinasababishwa na nini, na ajali zinazoua kwa wingi ni za namna gani. •Ajali za kugongana gari uso kwa uso wahanga ni dereva na abiria wa siti za mbele. •Ajali za dereva kukosa balance mara nyingi dereva huipindua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…