kuelekea uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    PreGE2025 Dkt. Mwinyi kawapa walimu posho ya usafiri kule Zanzibar. Rais Samia naye awafikirie

    Walimu wamekua waaminifu Kwa serikali awamu zote,kila mwaka impact yake inaonekana Kwa matokeo mazuri yanayowabeba wanasiasa majukwaani kisiasa hasa Rais na waziri wa elim,Motisha ya kuwapeleka Dubai ni kebehi na dhihaka Kwa mwalimu kwasababu Haina tija kwa mwalim Wala motisha kwake. Dkt...
  2. J

    PreGE2025 Kura za maoni CCM zitakuwa ngumu Sana 2025 kama ilivyokuwa 2015, aliyekatwa mwaka ule sasa ni Katibu Mkuu

    Tunaandaana kisaikolojia tu 2025 hautakuwa mwepesi kwa Wagombea Ubunge wa CCM Nakumbuka kwenye mazishi ya Laigwanani Lowassa CCM iliwakilishwa na Hussein Bashe na Rostam Aziz waliotokea Vatican kuonana na baba mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro wa Kanisa Moja Takatifu La...
  3. Chagu wa Malunde

    PreGE2025 Kwa nyomi hii 2025 wapinzani msiweke Wagombea urais. Jaribuni madiwani na wabunge

    2025 mtajaribu? Mama anakubalika.
  4. Erythrocyte

    PreGE2025 Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa aendelea kukomboa Majimbo yaliyoporwa 2020, Sasa ni zamu ya Mafinga

    Dunia nzima ikiwa ni pamoja na viongozi kadhaa wastaafu wa Nchi hii, akiwemo Mzee Warioba na Kinana wanafahamu kwamba CCM haikushinda Uchaguzi wa 2020, Iwe kwenye Urais wala Ubunge na Udiwani kwa Tanganyika na Zanzibar. Huko Zanzibar 2020 ndio Mwaka unaotajwa kuongoza kwa Mauaji ya wapinzani wa...
  5. R

    PreGE2025 CHADEMA mnashindwa kuwa na Tv, radio kweli?

    Chadema mnakwama wapi? Naangalia Channel Ten, ni habari za CCM tu! Tunakumbushana tu! Jamani publicity ni muhimu sana katika propaganda za Siasa. Piga ua chadema mnahitaji TV na Radio. Erythrocyte , rafiki tunakwama wapi? Pia Soma - CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi...
  6. Richard

    PreGE2025 Mbunge yeyote anayerudi jimboni leo miaka zaidi ya 5 imepita kutembelea jimbo asichaguliwe tena

    Mbunge Damas Ndumbaro karudi jimboni kwake Songea leo kuwasalimia wananchi wake miaka mingi imepita tangu achaguliwe ubunge. Mbunge huyu katoa zawadi, kaongozana na wataalam na watu wengine wengi tu muda alowakusanya haujulikani akiwa na msafara wa magari yasozidi 10! Je, Mbunge huyu aweza...
  7. M

    PreGE2025 Kinachokwenda kuinyonga CCM 2024/2025

    1. Viongozi waliopo madarakani kujilimbikizia mali na kutumia mali za umma kwa ANASA. 2. Viongozi waliopo madarakani kutosikiliza na kuzifanyia kazi shida za wananchi(kuwachukulia wananchi kama WAJINGA) 3. Viongozi waliopo madarakani kuwalinda MAFISADI na MAJIZI na kuwakandamiza wanaowafichua...
  8. Erythrocyte

    PreGE2025 CHADEMA yafanya mkutano Moshi Mjini

    Mbinu pekee ambayo CCM wanaweza kuitumia ili kushinda uchaguzi ni kumtumia Mtaalam wa kubadili matokeo Abdulrahman Kinana, kwenda kuiba kura, tena baada ya kuteketeza labda nusu ya Wakazi wake, bali kwa uchaguzi wowote ule, hata Msimamizi akiwa Jecha au Dkt. Mahera ccm haitoboi. Tunajua...
  9. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Balozi Nchimbi aonya Viongozi Kutoa Kauli za Kibaguzi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewataka viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuepuka kutoa kauli au kufanya vitendo vyenye taswira inayoweza kutafsiriwa kuwa baadhi yao wanashabikia ukandamizaji wa haki za wananchi. Katibu Mkuu Balozi...
  10. R

    PreGE2025 Nani atagombea ubunge Jimbo la Hai 2025?

    Kama kuna anayejipanga huko Hai ajue ana kibarua kigumu sana. https://www.youtube.com/watch?v=DFzxY-Nb1mE
  11. Erythrocyte

    PreGE2025 Maelfu wahudhuria mkutano wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbeya leo Julai 10, 2024

    Alama za Nyakati ni taarifa za Maono ya Mambo yanayokuja, kuna kila dalili kwamba Joseph Mbilinyi anaandaliwa Jambo kubwa zaidi na Mungu Huyu kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, ni Mwanasiasa ambaye hahitaji mambo mengi ili kufanikisha jambo lake, hana haja ya Matarumbeta, Mang'oma au...
  12. instanbul

    PreGE2025 Nitawashangaa CCM mkiruhusu Serikali hii iendelee mpaka 2030. Hata 30% ya ilani 2020-2025 haijatekelezwa!

    Habari zenu. Mimi sio mwanasiasa lakini leo kama mtanzania mpenda maendeleo nilidownload ilani ya CCM 2020-2025. Ili walau nipate hope na serikali ya Sasa na kama kweli wanatimiza walichoahidi mwaka 2020 kuelekea 2025. Aisee nimesikitika sana. Kwa hali hii hatuendi popote kama nchi...
  13. Erythrocyte

    PreGE2025 Kilimanjaro: CHADEMA yaingia Himo, yapokelewa kwa kishindo

    Akizungumza kwenye mkutano huo, Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe amewashukuru wakazi wa Himo kwa kuikataa ccm kwa miaka yote. Ametoa pole kwa wananchi hao kwa kuongozwa na mamluki ambao hawakuwachagua Hali ilikuwa hivi
  14. Bila bila

    PreGE2025 Acheni kutumia watoto bure kwa faida zenu za kisiasa

    Biashara yoyote inafanywa kutafuta faida. Na mnaofanya hizi sinema za kubebesha watoto mabango ya Samia mnatafuta kuonekana kwake kwamba mnampigania ili awateue. Lakini watoto hawa Malaika wa Mungu wasiojua kitu wanapata nini wakati hata kandambili miguuni hamuwanunulii? Mnatumia vibaya...
  15. Subira the princess

    PreGE2025 CCM wamepita mitaani kuandikisha wapiga kura, je ni haki yao kikatiba?

    Wasaam, Leo nilikua mitaa ya Vingunguti nilienda salamia jamaa zangu nikashangazwa na viongozi wa CCM kupita nyumba hadi nyumba kuandikisha wapiga kura kwa kuwapa ahadi za kuja kuwagawia pesa na mikopo mbalimbali wakati uchaguzi ukiwadia. Kiukweli hii ni rushwa ya kisiasa kama sio kampeni...
  16. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Condester Sichalwe Anunua "Division One" kwa 100,000 na Alama "A" kwa 10,000

    Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe (Mundy) ameendeleza kampeni yake ya kutembelea shule mbalimbali za Sekondari zilizopo ndani ya Halmashauri ya Momba kwaajili ya kunadi sera yake ya kununua Division one na alama ya “A” kwa masomo ya Sayansi na Sanaa kwa kidato cha pili na cha Nne...
  17. Tlaatlaah

    What are your opinions concerning this Presidential hopefully?

    Can Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, the chairman of Civic United Front (CUF) party, be the most Potential Presidential Candidate come 2025? Should Tanzanian oppositions, support and assemble behind him as far as general elections is concerned?🐒
  18. B

    PreGE2025 Catherine Ruge: Rais Samia anahofia mageuzi yataiondoa CCM Madarakani

    8 July 2024 ‘Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) - 'Samia Anahofia Mageuzi Yataiondoa CCM Madarakani’ Catherine Ruge, Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), amesema kwamba sababu kubwa ya kufeli kwa mchakato wa kuleta mageuzi ya kisiasa nchini, kama vile...
  19. Erythrocyte

    PreGE2025 Sirari: Mabaki ya CCM yaondolewa Rasm mitaani, John Heche aongoza usafi

    Tumeishasema tangu awali humu JF na kwingineko kwamba, kwamba tayari ccm ishateketezwa Tarime, hili hakuna anayepinga, Sasa hivi kinachofanyika ni kukusanya mabaki na kuyapiga kiberiti. Hapa ni Sirari leo hii kwenye kampeni kabambe ya kuhamasisha watu kujiandikisha kwenye Daftari la Uchaguzi...
  20. Mganguzi

    PreGE2025 Nikweli kwamba nchi hii wasanii wote ni CCM? Ni kweli kwamba Simba Yanga na Azam ni CCM? Au wanaenda kwa sababu ya njaa ya mkate? Hii ni ajabu

    Pale uwanja wa taifa palikuwa na vihoja vikubwa sana. Utitiri wa wasanii wa tasnia zote wakiimba CCM ni mbele kwa mbele! Wameenda kwa mapenzi ama ni nguvu ya bahasha? Iweje Kila msanii awe CCM? Ni wasanii wangapi wanaunga mkono upinzani na wanaweza kujitokeza hadharani na kuungana na team ya...
Back
Top Bottom