kuelekea uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    PreGE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

    Mchungaji Peter Msigwa amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na amepokelewa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM NEC kinachoongozwa na Mwenyekiti wa CCM Daktari Samia Suluhu Hassan Pia soma: Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu Alizaliwa Juni 8...
  2. Erythrocyte

    PreGE2025 Ni vyema mnapowavisha fulana za Mama Samia muwavishe na viatu basi ili kuzipa hadhi hizo nguo

    Huu ni sawa na udhalilishaji tu, hivi wema gani huu Hata mjinga anaelewa kwamba hawa wanyonge wamevishwa hayo mafulana hata bila kujua wamevaa nini
  3. comrade_kipepe

    PreGE2025 Wanaofanya kampeni ya Rais kuupiga mwingi walau hata wawe wanaveshwa vizuri!

    Yani kuweka Sura ya Rais kwenye miili ya VIJANA waliochoka namna hii nayo nikumkosea na kumchoresha Rais.🤣🤣 Unasema Rais anaupiga mwingi halafu wananchi wake ndio wamepauka hivi! Wangekua wanawapiga misosi na kuwanunulia VIATU na Suruali waendane na sifa anazopewa Rais aisee 🤣 sio kuwavisha...
  4. Dennis Robert Shughuru

    Nina nia ya kuwa Rais wa Tanzania

    Sera zangu hizi hapa na hizi ni hints amabazo zipo kwenye video A) maelezo yangu binafsi Mimi ni nani??? Nimezaliwa lini??? Nimezaliwa wapi??? Elimu yangu??? B)mambo ntakayotekeleza nikiwa Rais Mambo ntakayotekeleza nikiwa Rais wa Tanzania kwenye video nimeelezea kwa undani Viwanda vya...
  5. Nyankurungu2020

    PreGE2025 Ushauri: Luhaga Mpina CCM wakizingua we komaa na Umoja party. 2025 maajabu yatafanyika

    Usitishike wala kufeel vibaya Watanzania tunaopinga maovu na upigaji tupo nyuma yako. Yale 1995 ya marehemu Agustine Mrema huenda yakajirudia 2025. Wewe komaa usitishwe na Mafisadi. Hii nchi ni ya Watanzania.
  6. Idugunde

    Picha: CHADEMA watapata hata madiwani 2025? Hii dalili mbaya sana

    Bashnet👇
  7. Cute Wife

    Akaunti ya TCRA imeondolewa X (Twitter), kuna nini?

    Wakuu salam, Kama utakuwa mtembeleaji wa mtandao wa X utakuwa umeona hili. Accout ya TCRA imeondolewa X, na pia TCRA imeondoa X kwenye list ya matandao ambayo wanapatika! Je, nini kimetokea? Anko Elon atakuwa amewatimua baada ya sekeseke la kutaka kutufungia X? Au sababu wamegoma kuruhusu...
  8. M

    PreGE2025 Operation Safisha Bunge 2025

    Bunge la Jamhuri ya Muungano limekuwa sawa na Pango la Wanyanganyi na ni hatari kwa Usalama wa taifa na amani yetu. Leo tarehe 24/06/2024 Bunge limekaa kikao kujadili kinachoitwa Utovu wa nidhamu wa mbunge aliyehoji Kampuni isiyoweza kukopesheka hata mkopo wa million 5 kupewa kibali cha kuagiza...
  9. Last KING Ontuzu

    PreGE2025 Hadithi ya Kiongozi Mkuu kuwa uchi na uhalisia wa hali ya kisiasa nchini

    Ni Hadithi ya Nguo Mpya za Mfalme, ni hadithi ya Kidenmarki iliyoandikwa na Hans Christian Andersen, iliyochapishwa mwaka wa 1837. Lakini inaakisi maisha yetu waafrika wasasa, kama una D mbili hutatumia nguvu nyingi kujua nini funzo lake kwenye Taifa hili. Hadithi: Zamani za kale, kulikuwa na...
  10. Suley2019

    PreGE2025 Ndio maana Bunge linapitisha tozo, kumbe wao haziwahusu!

    Salaam Wakuu, Tulia amekuwa akiwatunuku followers wake mara kadhaa kwa kuwatumia mialama mara kadhaa, na mara zote amekuwa akiweka copy ya miamala hiyo kuonesha kuwa wahusika wamepokea. Siku zote hizo amekuwa akiedit text hizo na kuondoa kisehemu kinachoonesha makato ya ada na tozo ya...
  11. Suley2019

    PreGE2025 CCM Zanzibar wapendekeza Rais Mwinyi atawale kwa miaka 7, wasema kufanya uchaguzi 2025 ni hasara na matumizi mabaya ya fedha za umma

    Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuongoza nchi katika muhula wake wa kwanza kwa kipindi cha miaka saba badala ya mitano. Hayo yamesemwa...
  12. Cute Wife

    PreGE2025 Mwijaku anajikuta nani hasa? Ifike mahala tuanze gomea biashara za chawa wote, unfollow kwenye mambo yao yote!

    Kupitia ukurasa wake wa X Mwijaku ameweka picha ikionesha Polisi wa Kenya akiwa amenyooshea mtutu raia, ambapo ameandika; "Huu ndio ujinga nisio utaka, Hakuna alie shindana na serikali akafanikiwa. So jifunze kuheshimu mamlaka . Ndugi zangu wakenya fateni njia sahihi za kuishauri serikali yenu...
  13. CCM MKAMBARANI

    PreGE2025 Mpina anatumia nafasi hii ili arudi kwenye uwanja wa siasa baada ya kupotea kwenye ramani

    Habari za wakati huu wanajamiiforum? Tumekuwa na mkanganyiko mkubwa wa kitaifa juu ya scandali ya sukari hapa nchini. Kinara ni mtu ambaye amekuwepo bungeni kwa miaka 19 sasa, je hajui uozo uliokuwepo wakati wa baba yake Magufuli? Jibu ni hapana,alikuwa anajua na alifaidika na mfumo. Mpina...
  14. Cute Wife

    UVCCM Mwanza: Hakuna anayefaa kuwa Rais Tanzania zaidi ya Rais Samia

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Mwanza kimesema kuwa hakuna mtanzania mwenye sifa za kuwa Rais wa Tanzania ndani na nje ya CCM zaidi Samia na kuwapuuza wale wote wanaotoa kauli za kutaka kukigombanisha chama hicho tawala na wananchi, asema CHADEMA hawana hoja zaidi ya...
  15. Erythrocyte

    PreGE2025 CHADEMA Kufanya Mikutano 105 kwa siku 21 tu Kanda ya Kaskazini, Lissu na Mbowe kuongoza Mashambulizi

    Hii ndiyo Taarifa Mpya ya sasa kutoka kwa Viongozi wa Kanda hiyo Zaidi soma hapa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kufanya mikutano 105 katika mikoa minne ya Kanda ya Kaskazini katika Operesheni yake ya kukijenga chama huku wakitarajia kutumia ndege ‘chopa’ katika...
  16. U

    Najitolea kuwa katika kamati inayomuunga Mkono Rais Samia kuelekea Uchaguzi

    Najitolea kwa moyo wangu wote bila shuruti kwenye kamati maalumu itakayoleta ushindi wa kishindo wa mgombea wetu Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 Wadau hamjamboni nyote? Mimi ndugu na rafiki yenu Nimesukumwa na uzalendo, utii na mapenzi makubwa kwa nchi yangu Nimeridhishwa...
  17. Cute Wife

    PreGE2025 Kwa kuangalia historia na matendo ya Mbunge wako unadhani 2025 anaweza kutoboa?

    Wakuu mko vyede? Uchaguzi Mkuu unakuja 2025, tumeshaanza kuona vimbwanga, ukifika mwaka wenyewe wa uchaguzi itakuwa balaa. Sasa hivi wabunge ndio wanakumbuka kurudi majimboni kwao, sasa hivi ndio wanapiga picha na watu wa hali ya chini, sasa hivi ndio wanajifanya wanajua sana kutetea haki za...
  18. N

    PreGE2025 Tarime: Chanzo cha Mbunge Waitara kufurushwa Sirari

    Habari wakuu! Wiki iliyopita kulikuwa na Waitara Cup ambayo mdhamini wake ni Mwita Waitara. Mshindi wa kwanza alipewa milioni 5 na wa pili nasikia kama milioni 2. Sasa, siku ya fainali mshindi alikuwa ni Sirari au kata ya Sirari. Siku hiyo wakati wanarudi kwao, gari waliyokuwa wamepanda mshindi...
  19. peno hasegawa

    PreGE2025 Majimbo yatakayochukuliwa na CHADEMA 2025 haya hapa!!

    Nimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025. 1. Kisesa 2. Mbeya Mjini 3. Arusha mjini 4. Kongwa 5. Iringa mjini 6. Hai 7. Arusha mjini 8. Ikungi 9. Babati mjini 10. Arumeru 11. Dar yote 12. Moshi mjini 13. Mikumi 14. Simanjiro 15...
  20. J

    PreGE2025 Neema Lugangira awa Mgeni Rasmi Baraza la Eid Al Adha Manispaa ya Bukoba

    Mbunge wa Viti Maalum mh Neema Lugangira amewashukuru Sana Waislamu wa Manispaa ya Bukoba kwa kumualika Kuwa Mgeni Rasmi Baraza la Eid Al Adha Neema amemshukuru Sana Mungu wa Mbinguni akisema alipopata Mwaliko alijitafakari kama Mkatoliki Je nitaweza?! Mungu wa mbinguni akamwezesha Ikumbukwe...
Back
Top Bottom