kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kivuko cha Uraibu: Safari ya John kuelekea Mabadiliko

    John alikuwa kijana mdogo mwenye ndoto nyingi. Lakini ndoto hizo zilifunikwa na kivuli cha uraibu wa madawa ya kulevya. Alikuwa amejikwaa kwenye dimbwi la matumizi ya madawa ya kulevya kwa miaka mingi, akijaribu kutafuta faraja katika ulimwengu uliopotoshwa. Siku zilipita, na kila siku...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Upangaji wa uzazi kuelekea Tanzania tuitakaayo

    Kupanga uzazi ni kitendo cha mtu kuamua kuwa na idadi maalum ya watoto kwa ustawi wa familia yake. Wapo wanaotumia njia hizi wakiwa pia hawajabahatika kua na watoto. Kuna aina kuu mbili za njia mbali mbali za kupanga uzazi ambazo ni njia za asili na zisizo za asili. Njia za asili ni njia...
  3. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 "KULETA MAPINDUZI YA DIJITALI: Safari ya Tanzania kuelekea Mawasiliano ya Ufanisi

    Kukuza Sekta ya Habari na Mawasiliano kwa Tanzania Ijayo Sekta ya habari na mawasiliano ina jukumu muhimu katika maendeleo ya jamii, uchumi, na demokrasia katika Tanzania. Kwa kuangazia mabadiliko na fursa zinazoendana na zama za dijitali, hapa chini tunajadili hatua muhimu zinazoweza...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Taswira mpya ya Tanzania kuelekea 2030, katika nyanja tofauti tofauti za kimaendeleo

    Dira ya Tanzania Tuitakayo: Kukumbatia Mustakabali Tanzania inapokaribia enzi mpya, ni muhimu kuweka dira inayotupeleka kwenye mustakabali wa ustawi na endelevu. "Tanzania Tuitakayo" inajumuisha matarajio ya pamoja na mikakati inayoweza kutekelezeka ambayo inaweza kuubadilisha taifa letu katika...
  5. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuelekea Maono ya Mabadiliko Chanya

    Utangulizi, Tanzania, nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali, utamaduni na watu wenye bidii, inahitaji mabadiliko ya kimkakati ili kufikia mustakabali bora kwa vizazi vijavyo. Ni wakati wa kuhamasisha wananchi kuibua mawazo mbadala na bunifu yatakayosaidia kujenga Tanzania tunayoitaka. Andiko...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awekwe kwenye Noti/Sarafu

    Tanzania ni moja ya nchi chache zenye bahati ya kupata Rais mwanamke. Dr Samia kukalia kiti cha Urais kumebadilisha mtazamo wa wa Africa wengi kuweza kuwaamini wanawake. Tangu mama ameshika nchi uchumi umekuwa kwa kasi na mambo yanaenda. Je, hamuoni kuwa ni sahihi mama awekwe kwenye noti yetu...
  7. JamiiForums Tanzania FCS, Vodacom Foundation wasaini makubaliano kuelekea Wiki ya Azaki

    Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), na Vodacom Tanzania Foundation wamesaini makubaliano ya mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Shilingi milioni 150 ikiwa ni udhamini wa Wiki ya AZAKI 2024, itakayofanyika Jijini Arusha kuanzia Septemba 9 hadi 13, 2024. Akizungumza katika...
  8. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 nini kifanyike ili uchaguzi uwe huru na wa haki

    Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano (1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na eliimu ya kutosha. (2) Mpaka sasa Wizara husika haijatunga kanuni za kuendesha uchaguzi huu na bado...
  9. JamiiForums Tanzania Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025

    Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika, tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
  10. JamiiForums Tanzania Kubadili Bajaji kwenda Mabasi katika Jiji la Mbeya: Njia Mpya ya Kuelekea Usafiri Bora

    Jiji la Mbeya, kama miji mingi inayoendelea nchini Tanzania, linakabiliwa na changamoto kubwa za usafiri. Bajaji, ambazo ni maarufu kwa kuwa nafuu na rahisi kupenya katika mitaa midogo, zimekuwa sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri wa jiji hili. Hata hivyo, kuongezeka kwa idadi ya bajaji...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kituko gani umekiona kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025?

    Tumeanza kuona vituko, kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Huko Jimbonibkwako hali ikoje?
  12. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bahari ya maarifa: Safari ya Prince kuelekea Tanzania tuitakayo katika maendeleo ya tasnia ya habari na mawasiliano

    Katika pembe ya kusini mwa Tanzania, katika kijiji kidogo kilichofichwa na milima na misitu, kulikuwa na kijana mmoja aitwaye Prince. Prince alikuwa na ndoto kubwa ya kuleta mageuzi katika tasnia ya habari na mawasiliano nchini Tanzania. Aliamini kuwa kupitia nguvu ya habari na mawasiliano...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025: Hizi ni Katiba mbali mbali za vyama

    Kazi kwenu wananchi na watia nia
  14. JamiiForums Tanzania Ungekuwa kwenye situation ya Mdee, Bulaya et al, ungechangaje karata zako kuelekea uchaguzi wa 2025.

    Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila mtu angekufa kivyake au mnafanya kama kundi? Ipi ni best option kwa "Covid-19's"
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ukigeu geu wa Israel kuelekea makubaliano ya kusimamisha vita, kikwazo kwa Amani Gaza!

    1. Yamekuwapo mazungumzo kwa azimio thabiti la makubaliano ya kusimamisha vita linaloendelea kujadiliwa kwa takribani miezi 2 sasa. Pendekezo hili likiwekwa mezani na Marekani, Qatar na Egypt kwa pamoja mbele ya HAMAS na Israel, mahasimu; wafikie makubaliano sasa. HAMAS wayakataa mapumziko...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maridhiano kusimamisha vita, Israel yajikuta njia panda!

    1. Haipo shaka vita au mazungumzo ya maridhiano kama ilivyo siasa, nayo ni sayansi. 2. Izingatiwe sayansi siyo ya kila mtu, labda arts huko. Sayansi ya maridhiano, vita au siasa; huingii kichwa kichwa. 3. Tambo mbali mbali kwenye sayansi hii ndiyo kwao. Kisemwacho hadharani si lazima kuwa kile...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Mwongozo wa Maendeleo: Njia ya Tanzania kuelekea Uchumi Endelevu na Usawa

    Kwa kuwa maendeleo ni mchakato wa pamoja kati ya serikali na wananchi, hapa kuna hoja kadhaa ambazo zinaweza kuchangia maendeleo makubwa Tanzania ndani ya miaka 5 hadi 25 Ila katika kila point ntakayotoa ELIMU ni kipaumbele changu 1. Elimu Bora na Endelevu: Kuwekeza katika elimu ya msingi...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya baadae: Kuelekea Mfumo Bora wa Elimu ya Ufundi Tanzania

    kama nchi nyingine nyingi, Tanzania inakabiliwa na changamoto za kimfumo katika mfumo wake wa elimu. Kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na teknolojia, kuna haja ya kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya sasa na ya baadaye ya taifa hili. Moja ya njia ambazo Tanzania inaweza kutumia ni...
  19. JamiiForums Tanzania Kuelekea Afcon 2027: Arusha ipo haja ya kuwa na timu Ligi Kuu

    Wakati serikali ikiendelea na ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwa ajili ya Afcon 2027, Sio vibaya Arusha iwe na timu ligi kuu kwa lengo la kuufanya mji uwe busy na pilika za kimichezo. Hata kama mpaka kufikia muda huo hili litashindikana basi TFF waangalie namna ya kupanga mechi...
  20. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Gongo la Mboto kuelekea Chanika tunasubiri kwa hamu awamu mpya ya ujenzi wa mwendokasi

    Watanzania wenzangu ni matumani yangu mu buheri wa afya, mliopo na Matatizo mbali mbali muwe na subira na kutokata tamaa hata mnapohisi kushindwa. Leo katika pita pita zangu nikakutana na uzi wa dada Janeth Thomson Mwambije akiwa amekutana na mkuu wa wilaya ya ILALA mheshimiwa Edward Jonas...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…