kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hali ya wananchi kiuchumi ni mbaya sana kupitiliza kuelekea Uchaguzi wa 2025

    Watumishi wenye ajira na ujira ni miongoni vya vyanzo vikuu vya kusambaza fedha kwenye jamii wakati wanapofanya matumizi na manunuzi yao kwa kutumia mishahara yao wanayopata kila mwezi.. Kundi hili linalipwa mishahara isiyolingana na uhalisia wa upandaji wa Bei, hivyo kufanya ununuzi mdogo sana...
  2. Mauaji ya wenye ulemavu wa ngozi(Albino) kipindi Cha kuelekea uchaguzi mkuu inasadifu siasa sio uzalendo bali chanzo Cha utajiri.

    Ndio ndio,mtu hawezi Ua mlemavu wa ngozi Ili awe mwalimu,Daktari,polisi,profesa au kupata profession yoyote ile Bali Kwa Imani za kishirikina anaua ili apate kazi yenye pesa nyingi kama ubunge,uwaziri na n.k. Hii inasababishwa na sisi kama taifa tumeifanya KAZI ya kisiasa kuwa chanzo Cha...
  3. PreGE2025 Tundu Lissu amtahadharisha Rais Samia, amtaka aache mambo ya ajabu baada ya Polisi kuzuia vijana wa BAVICHA

    Rais Samia usilete mambo ya ajabu ajabu ya Magufuli. Siku ya Vijana Duniani inasherehekewa duniani kote. Kwa nini mapolisi wako wanazuia vijana wa CHADEMA barabarani & kuwakamata? Matumizi ya mapolisi yalimshinda Magufuli, & wewe yatakushinda. Fungua barabara vijana waende Mbeya! Kwa vijana...
  4. PreGE2025 CHADEMA imejiandaa vipi kukabiliana na engua engua?

    Salaam wanajukwaa, Kwa muda mrefu jukwaa letu la JF limekua ni sehemu adhimu ya kupashana habari nyeti... mijadala Murua ya kina yenye kuleta tija kwa nchi yetu pamoja na kuwa huru kujadili mambo mazito pasipo woga wala ajizi. Kwa muda mrefu sana CCM ikianzia kipindi cha JK hadi kufikia kwa...
  5. Kuelekea kilele cha simba day, mchezaji mpya kutambulishwa leo

  6. Kibu Denis leo amefanya mazoezi na wachezaji wenzake kuelekea Simba Day

    Mchezaji wa Simba SC Kibu Denis leo ameonekana katika mazoezi na timu yake akiendelea kujiweka sawa kuelekea katika kilele cha Simba day itakayo fanyika kesho. Kibu awali hakuoneka akijiunga na wachezaji wezake wa Simba wakati wakijiandaa na msimu mpya. Na tetesi zilizokuwepo ni kuwa alikiwepo...
  7. B

    Propaganda za kisiasa kwa kutumia Akili Mnemba (AI) kuelekea 2024 / 2025

    Mwandishi anatupitisha kina na kutoa tahadhari ya jinsi ya kuepuka kuwa misukule ya habari, kipindi hiki kuelekea 2024 / 2025 Tunaangalia namna mabadiliko ya sekta ya habari na mawasiliano ikiwemo akili mnemba (Artificial intelligence-AI) yanavyoleta changamoto na umuhimu wa kuwa makini ili...
  8. Kuna vita ya kilonzi inaendelea hivi sasa kati ya Simba na Yanga kuelekea musimu mpya wa ligi

    Amini usiamini, simba na yanga wanajuana na ndio maana ni ngumu sana kwa vilabu vingine kugombea kombe lolote dhidi ya miamba hii miwili hapa nchini. Azam anajitahidi kufurukuta ila anazidiwa nje ya uwanja (ulonzi) Simba na yanga waneshaanza kupigishana shoti hivi sasa, wazee wanahaha huku na...
  9. Kwa hiki kipindi kifupi kuelekea 2025 uchaguzi naona tengua tengua ni kama msemo kukumbuka shuka asubuhui

    Sioni kama kuna mabadiliko yanaweza fanyika mda mfupi baada ya kupigiwa kelele mda mrefu. Hakuta kuwa na nguvu ya watu kujituma sana kwa mda huu uliobaki ambao 2025 ni uchaguzi. Hakuna mwenye uwakika kwa mda huu lazima utendaji upungue mfano unaweza kuwa kitengo fulani kesho ukawa benchi...
  10. T

    PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi, Polisi na Serikali fanyeni wajibu wenu

    Ninafahamu Uchaguzi unapofanyika wenye wajibu wa kutenda haki ni Tume Serikali na vyombo vya dola na wala siyo CCM yakulaumiwa. Ebu safari hii fuateni maelekezo ya Amir Jeshi Mkuu wenu Samia Hassan aliyoyatoa na yamejificha kwenye 4R. Pia zingatieni maoni ya Kikwete kwenye Hotuba yake Ya...
  11. U

    Donald Trump kuamtangaza rasmi mgombea mwenza wake muda wowote kuanzia sasa, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Novemba 2024

    UDATES Trump taps J.D VANCE Ohio’s junior senator as his running mate Former U.S. President Donald Trump on Monday selected J.D. Vance, a senator from the Midwestern state of Ohio, as his running mate in November’s presidential election. Trump made the announcement on his Truth Social media...
  12. T

    Bado Mungu anazungumza na Taifa la Tanzania kuelekea 2025

    Najuwa kelele ni nyingi kila Kona, kila chawa na kila mlamba asali 5 tena. Ila nataka kuwakumbusha kama vile hamkujuwa yule ajaye na yule aondokaye ndivyo itakavyo kuwa 2025. Kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uwamuxi ulio sahihi kwa uhai na afya la Taifa. Mtachaguwa 5 tena au...
  13. R

    SoC04 Nini kifanyike kutatua tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana kuelekea Tanzania tuitakayo

    Tanzania imeendelea kuungana na mataifa mengine mengi hasa yanayo endelea kukabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira hasa Kwa vijana. Uwepo wa tatizo la ajira katika mataifa mbalimbali duniani hakuipi Tanzania uhalali wa kuto kuchukua hatua mbalimbali kuondokana na tatizo hili kwani Kuna weza...
  14. R

    SoC04 Nini kifanyike Kumaliza tatizo la maji na ubovu wa miundombinu hasa ya Barabara vijijini na mijini kuelekea Tanzania tuitakayo

    Kwa miaka mingi hadi Sasa Tanzania imeendelea kukabiliwa na changamoto katika utoaji huduma ya maji Kwa wananchi pamoja na ubovu wa miundo mbinu hasa ya Barabara nchini. Changamoto katika maswala haya zimechangia Kwa namna Moja ama nyingine kufifisha Kasi ya uzalisha Kwa ghrama nafuu, kufeli Kwa...
  15. A

    SoC04 Kuelekea Taifa Bora: Hatua za Kuokoa Maadili kwa Vijana wa Tanzania

    Mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana ni tatizo linalozidi kuongezeka duniani kote, na Tanzania haijaachwa nyuma. Hali hii inaweza kudhoofisha maendeleo ya taifa kwa kuathiri tabia, maadili, na utulivu wa kijamii. Ili kuepuka athari hizi mbaya na kuhakikisha taifa bora kwa miaka ijayo...
  16. SoC04 Teknolojia na Ubunifu: Kuongoza Mabadiliko kuelekea Tanzania ya Kidijitali

    Teknolojia ina jukumu muhimu katika kuendesha maendeleo ya kisasa na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inapaswa kulenga katika kukuza matumizi ya teknolojia na kukuza ubunifu kwa lengo la kujenga uchumi wa kidijitali na jamii inayotumia teknolojia...
  17. PreGE2025 Chama Gani kina sera za kueleweka kuelekea 2024/2025

    Kwa bahati mbaya Afrika umaskini, maradhi na ujinga ni mkubwa kiasi kwamba waafrika tumeachwa hoi tumetopea kwenye ugiligili wa shida zetu hata kushindwa kuwa na vipaumbele vyetu. Mwaka huu kutakuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa na mwakani uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais. Hivi mpaka...
  18. J

    SoC04 Kuifikia Tanzania Tuitakayo: Matatu ya Kuweka Kipaumbele kwa kuelekea Tanzania Yenye afya njema

    Kumekuwa na kasi ya ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kulingana na tafiti za shirika la afya duniani (WHO) takriban asilimia 74 ya vifo vyote duniani vinasababishwa na magonjwa yasiyoambukiza nah uku magonjwa kama vile kisukari,shinikizo la damu,magonjwa ya figo na magonjwa ya moyo...
  19. Aina Nne za Utajiri: Njia ya Kuelekea Maisha Yenye Mafanikio

    Katika jitihada zetu za kuwa na maisha yanayotosheleza, ni muhimu kuelewa aina tofauti za utajiri. Utajiri haihusu pesa tu; unahusisha vipengele mbalimbali vya maisha yetu vinavyochangia ustawi wetu kwa ujumla. Leo, tutazungumzia aina nne za utajiri: Kifedha, Kijamii, Muda, na Kimwili, na tuone...
  20. Kivuko cha Uraibu: Safari ya John kuelekea Mabadiliko

    John alikuwa kijana mdogo mwenye ndoto nyingi. Lakini ndoto hizo zilifunikwa na kivuli cha uraibu wa madawa ya kulevya. Alikuwa amejikwaa kwenye dimbwi la matumizi ya madawa ya kulevya kwa miaka mingi, akijaribu kutafuta faraja katika ulimwengu uliopotoshwa. Siku zilipita, na kila siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…