kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    PreGE2025 Hawa ndio wabunge ving'ang'a wanaotaka kuzeekea bungeni, kwani Wana hisa pale mjengoni??

    Hawa ndiyo wabunge wenye muda mrefu bungeni, mtu amekaa miaka 30 ila majimbo yao yana shida ya maji, umeme, changamoto za kilimo n.k. Nadhani ni muda sasa wapumzike. William Lukuvi George Huruma Mkuchika Mussa Azzan Zungu George Boniface Simbachawene Job Ndugai Hussein Nassor Amar Jason...
  2. B

    Hali ilivyo asubuhi hii (Juni 3, 2025) Kanisani kwa Gwajima: Polisi wazingira eneo, waumini wapo ng'ambo

    Kuna askari zaidi ya 40 wenye uniform wana bunduki wamezingira kanisa upande wa barabara na wengine kwa nyuma, kuna wenye uniform na wengine wamevaa kiraia, pia kuna magari ya polisi zaidi ya kumi. Pamoja na polisi wote hao, waumini hawajaondoka, wamekaa chini ng'ambo ya barabara. Hivi ni...
  3. K

    PreGE2025 Rais Samia anajitafutia manuksi tusilaumiane baadae, watu wanaongea na Mungu

    Nakumbuka John Pombe Magufuli alivyokuwa anawatukana mapadre kwa kuungamkono chanjo na kuongea nao kwa dharau na kejeli. Kumbe wenzake wanaongea na Mungu! Hiyo hiyo covid ndiyo ilichangia kumuondoa. Sasa Mama Samia yeye anajificha nyuma ya hawa watekaji. Polisi wanadiriki kupiga mpaka waumini...
  4. Tanzania tuna Jeshi la Polisi au Vikundi vya Wahuni?

    https://youtu.be/CJxcv40HPc8?si=incSZXUCBCtZpofw Kwa vitendo vinavofanywa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa raia, basi tunaweza kusema kuwa hawa ni Magaidi, Majambazi, Maharamia na Wauaji. Matukio na vitendo vya ukamataji, unyanyasaji, udhalilishaji, utesaji na uuaji kwa raia wasio na hatia ni...
  5. PreGE2025 Ally Hapi: Rais Samia alifungua mlango kuwasikiliza, sasa hivi kimetokea nini?

    Ally Hapi amesema kila jambo linawakati wake, wakati Rais Samia amefungua milango kuwasikiliza kama wananchi wengi wanahaki ya kusikilizwa. Sasa tatizo la wenzetu ni moja tu wanazani wapinzania wa nchi hii wanamilki ukweli, wanamiliki haki, na wanamilki busara, ili upate busara Nchi hii ni yale...
  6. PreGE2025 UVCCM Dodoma wataka BAKWATA na TEC kuwachukulia hatua Viongozi wa Dini wanaoeneza propaganda za kisiasa

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umetoa wito kwa Taasisi za dini ikiwemo BAKWATA, Baraza la Maskofu Tanzania kuwachukulia hatua baadhi ya Viongozi wa dini ambao wamekuwa wakitumia Majukwaa ya kidini kueneza propaganda za kisiasa . Wito huo umetolewa leo...
  7. PreGE2025 Mbunge Francis Mtinga ataka wananchi wakatwe asilimia 10 ya kila vocha anayonunua kusaidia kwenye mfuko wa bima

    Wakuu! Hivi hawa wabunge wa kilala wa kiamka wanawaza tu wananchi wawe wanakatwa asilimia au tozo kuongezeka wao mbona awasemi wakatwe hizo posho zao au mishaara? Mbunge Francis Mtinga amesema kila mwananchi wa Kitanzania anaye nunua vocha ya shilingi 1000 kwa siku akatwe asilimia 10 ambayo ni...
  8. PreGE2025 Biharamulo: Maboresho ya shule ya msingi kumsali na uwakilishi imara wa Eng Chiwelesa

    MWONEKANO WA KISASA WA SHULE YA MSINGI KUMSALI ILIYOPO KATA YA NYAKAHURA WILAYANI BIHARAMULO . Wakati wa kampeni shule hii ilionekana kama ilivyo hapo juu wananchi wa kijiji cha kumsali waliamua kujenga madarasa kwa kutumia miti na udongo ili kuwanusuru watoto wao walikuwa wakitembea umbali...
  9. PreGE2025 Miaka 64 unaongoza serikali, Ni wakati sasa CCM ipishe mawazo mbadala kwa maslahi ya Tanzania

    Tangu nchi hii ipate uhuru, hakuna chama cha upinzani kilichowahi kushika hatamu, Je, hii ni kusema CCM ni bora sana? Je, CCM pekee inazalisha genes za wazalendo wa kweli? Kwamba CCM ndiyo chama pekee chenye watu wenye weledi kwa miaka yote hii 64? Kwamba CCM ni malaika? Miaka 64 hawakosei...
  10. PreGE2025 Biharamulo: Gari lililotolewa na mbunge kusaidia limekuwa na tija kubwa

    GARI LA HUDUMA JIMBONI BIHARAMULO. Mara baada ya kuingia madarakani mwaka 2020 mbunge wa biharamulo Mh Eng Ezra John Chiwelesa kwa moyo wake mwenyewe alichangamoto ya usafiri jimboni hasa kusafirisha vifaa vya ujenzi na misaada ya kibinadamu na kuamua kutoa gari lake likae jimboni moja kwa moja...
  11. PreGE2025 Askofu Gwajima asema Kanisa la Mungu halijafungwa, tupuuze uzushi wa mitandaoni!

    Watu aminaaaaaaaaaaa Mchungaji wa Kanisa la ufufuo na Uzima, Askofu Gwajima ameendelea na mahubiri kwenye kanisa hilo licha ya kusambaa barua ya kufungiwa. Gwajima amesema hakuna wa kufunga kanisa la Mungu duniani. Gwajima: Nafikiri umeona kwenye mtandao watu wanapitisha karatasi kwamba kanisa...
  12. PreGE2025 Sioni Watanzania wa kuzuia uchaguzi mkuu hakuna

    Kwa jinsi ninavyo ona nashawishika kabisa kabisa kuwa hakuna mtu au kikundi cha watu wenye uwezo wa kuzui uchaguzi mkuu Haihitajiki kujiuliza mara mbili mbili ni was hakuna watu wa kufanya hvyo ni kama CHADEMA ameamua tu kutikisa kiberiti na huwenda ikawa ndio mwisho wa chama hiki na itakwenda...
  13. K

    PreGE2025 Waziri Jenista Mhagama ampa heko Dkt. Mollel awaambia Wananchi wa Siha wasimuache katika wakati ujao

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya ya mwaka wa fedha 2025/26, leo Juni 2, 2025, Bungeni Jijini Dodoma amempa heko Naibu wake, Dkt. Godwin Mollel kwa uchapakazi na kumsaidia katika majukumu yake. Waziri Mhagama ametoa wito kwa Wananchi wa Siha kutomuacha...
  14. W

    PreGE2025 Sheikh Issa Ponda: Tunakuwa na taifa la namna gani kama mtu anachukuliwa tu nyumbani kwake na kwenda kuuliwa?

    Sheikh Issa Ponda akizungumza na waandishi wa habari baada ya mazishi ya Sheikhe Jabir ambaye mwili wake ulikutwa porini akiwa amefariki, Sheikh Issa amehoji kuwa tunakuwa na taifa la aina gani kama matukio haya yanaendelea na wanaofanya hivyo wana zana kabisa. Aidha ameeleza kuwa matukio...
  15. PreGE2025 Mahakama ya Kisutu ilifanyia kazi ushauri wa JF, leo video inaoneka vizuri sauti inasikika safi! Kumbe mkiamua mambo yanaenda vizuri

    Wakuu, Niliwapa spana kidogo Mahakama ya Kisutu baada ya kurusha kesi ya Lissu mubashara video ikiwa hovyo, nyeusi na haionekani vizuri, sauti ndio usiseme, ni kama tulikuwa tunaangalia tu watu wakinyanyuka na kukaa lakini sauti hakuna. Pia soma: Pre GE2025 - Mahakama mnashindwa kuwa na vifaa...
  16. B

    PreGE2025 Video ya kesi ya Lissu Mahakama ya Kisutu May 19, 2025 ilifutwa, huenda watafuta na ya leo pia. Kwanini tunyimwe taarifa?

    ILe kesi ilivyoisha tu tarehe 19, May ilifutwa!l na wote waliokuwa wanarusha pia iliondolewa. Nadhani kimemo kilipita kikiwataka wote waondoe. Kwa waliobakisha kama Global ilikuwa ni ile video ya nje pekee lakini ndani ya chumba cha mahakama iliondolewa. Nilitaka kuweka uzi lakini waliirudisha...
  17. B

    PreGE2025 Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo kuendelea June 9 na 10, 2025. Kwanini imekuwa ngumu kupata taarifa za kesi hii?

    Kwa taarifa zilizopo kwa kumulika kwelikweli na tochi ni kuwa kesi ya wale jamaa waliojaribu kumteka Tarimo A.K.A Bonge itaendelea June 9 na 10, 2025. Kwanini itakuwa siku mbili, hata mimi mwenyewe sijui, labda wanasheria watueleze vizuri kuhusu hili. Tukija kwenye sehemu ya pili, toka wakati...
  18. PreGE2025 Vyama 14 Vyaungana kuiondoa CCM madarakani Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

    Vyama vya siasa kumi na vinne (14) nchini vimeungana kuhakikisha vinaitoa CCM madarakani katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu 2025. Katika taarifa yao waliyoitoa Jumapili Juni 1.2025 jijini Dodoma kwa waandishi wa habari, Uongozi wa Vyama hivyo umesema unasubiri...
  19. PreGE2025 Wanawake 5,000 Kondoa wafanya matembezi kumpongeza Rais Samia kwa Miradi ya Bilioni 80

    Zaidi ya wanawake 5000 kutoka wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma wakiongozwa na mkuu wa wilaya hiyo Fatma Nyangasa wamefanya matembezi maalum ya kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanja Dkt Samia Suluhu Hassan kutokana na utekelezaji wa miradi mbalimbali iliyoghalimu zaidi ya 80 Bilioni...
  20. PreGE2025 BMT Wampatia Tuzo ya Heshima Rais Samia Kwa Kazi nzuri ya Kukuza Michezo na Sanaa Nchini

    My Take Kadiri Chadomo na kina GwajiBoy watazidi kuvuja mapovu ya chuki na wivu ndivyo SSH anazidi kujizolea matuzo kama yote. Ushauri kwao,kuliko kuhangaika na Samia ambae hamna uwezo wa kushindana nae jikiteni kufanya mambo ambayo Yana Tija Kwa jamii Ili nanyi mtambulike. === Waziri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…