kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mimi na Mbowe tutapishana January 21, 2025. Kwaheri CHADEMA ya Mbowe

    Kila nikitazama sioni dalili za Mbowe kuachia cheo cha uenyekiti hiyo January 21, 2025. Atapita kutokana na mipango thabiti aliyojiwekea kwa wajumbe. Nimethibitisha hilo. Kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe atasalia kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa hadi 2029. Nimefanya uchunguzi, mwenyekiti yupo...
  2. Lengo la uzi ni kuendelea kukumbushana kutenda wema hata kama mtu humjui

    Hey people, Leo katika pita pita za hapa JF nimekutana na moja ya nyuzi nyingi za marehemu,mwanaJF mwenzetu Mpauko ambazo kwa namna moja ama nyingine alizianzisha kwa lengo la kupata msaada Binafsi huyu member nilizoeana nae kidogo humu jukwaani na ni moja ya kifo kilichoniumiza japo sikuwahi...
  3. PreGE2025 Watanzania watakiwa kujitokeza kujiandikisha kwenye Dafrari la kudumu la Wapiga Kura

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe.George Simbachawene ametoa wito kwa Watanzania wenye sifa za kujiandikisha katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kujitokeza kwa wingi katika vituo ili kupata...
  4. PreGE2025 ๐—ฅ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ ๐—ž๐—ฎ๐˜€๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—น๐—ฎ: Ukikosa Ubunge au Udiwani jilaumu mwenyewe, Rais Samia amefanya kila kitu

    ๐— ๐—ท๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ ๐—›๐—ฎ๐—น๐—บ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐—ž๐˜‚๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐—–๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—–๐—ต๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐˜‚๐˜‡๐—ถ (๐—–๐—–๐— ) ๐—ง๐—ฎ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ (๐— ๐—ก๐—˜๐—–), ๐—ฅ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ ๐—ž๐—ฎ๐˜€๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—น๐—ฎ, ๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ฏ๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ฒ ๐—ฎ๐˜‚ ๐——๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜†๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐—น๐—ฎ๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—บ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜„๐—ฒ, ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐—ฅ๐—ฎ๐—ถ๐˜€ ๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ Kasesela alisisitiza kuwa kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia zinawapa urahisi viongozi...
  5. PreGE2025 TAKUKURU hamuoni hizi Rushwa: Rais Samia achangia milioni 35, Mbunge na Mkuu wa Mkoa Songwe waongeza Milioni 11.5

    Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan amechangia Shilingi Milioni 35 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kanisa la Mtakatifu Petro la Anglikana Dayosisi ya Kusini Magharibi Tanganyika lililopo katika Jimbo la Makambako mkoani Njombe ambalo limeanza kujengwa kwa nguvu za waumini na wadau wachache...
  6. PreGE2025 Lissu akiri Chadema kupoteza maelfu ya Wanachama kwa mpigo

    ๐‹๐ˆ๐’๐’๐” ๐€๐Š๐ˆ๐‘๐ˆ ๐‚๐‡๐€๐ƒ๐„๐Œ๐€ ๐Š๐”๐๐Ž๐“๐„๐™๐€ ๐Œ๐€๐„๐‹๐…๐” ๐˜๐€ ๐–๐€๐๐€๐‚๐‡๐€๐Œ๐€ ๐Š๐–๐€ ๐Œ๐๐ˆ๐†๐Ž. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameonesha mfadhaiko mkubwa, baada ya kukiri hadharani kuwa chama chake kimepoteza zaidi ya wanachama 50,000 kwa mpigo. Ushuhuda huo umetolewa na Lissu baada ya kuonekana kuna kundi kubwa la...
  7. PreGE2025 Peter Madeleka: Mbowe amefika mwisho, hana jipya

    Wakili wa Kujitegemea nchii, Peter Madeleka, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amefikia mwisho wa mchango wake katika siasa za mageuzi na hana jipya la kutoa katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini. Akizungumza na Jambo TV, Madeleka amesema...
  8. Q

    PreGE2025 Godbless Lema: Ikiwezekana Mkutano Mkuu utoke na jina la mgombea Urais

    Ingewezekana Mkutano Mkuu wa Chama chetu utakaofanyika Mwezi January utoke na jina la Mgombea Urais na pia utoe mamlaka kwa Kamati Kuu/Baraza Kuu kutafuta mgombea mwenza na kumthibitisha kwa niaba ya mkutano mkuu ili chama kitoke na jina la mgombea sambamba na viongozi wakuu wa Chama. Jambo...
  9. PreGE2025 Kadogosa: Ni haki kumuombea Rais Samia kwa jinsi anavyohangaika kutafuta fedha za maendeleo

    Wakuu, Kupe wanapamba moto dakika za lala salama, huku Lugumi kule Samia! Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, amesema kuwa ni haki kwa Watanzania kumwombea Rais Samia Suluhu Hassan, kwani ndiye kiongozi wa nchi na amekuwa akishuhudia juhudi zake kubwa za kutafuta...
  10. PreGE2025 Kuondoka kwa Lissu CHADEMA baada ya kushindwa Uenyekiti kwa fedheha kutakifanya chama kuwa imara zaidi

    Infact, Itakua ni mwisho wa unafiki, migawanyiko, chuki binafsi, tamaa ya madaraka na vita ya maneno miongoni mwa viongozi wake waandamizi na miongoni mwa wanachadema kwa ujumla. Itakua ni mwanzo wa chadema mpya, moja na yenye ushawishi wa hoja badala ya makelele, kujipa umuhimu na kuzushiana...
  11. N

    Bob Chacha Wangwe: Mbowe anakuwaje rafiki wa adui zetu? Tumkatae wote

    Na; Bob Chacha Wangwe Mhe. Mbowe na Mhe. Lissu wote ni viongozi wetu. Mchango wao ni mkubwa sana na tunawapenda. Lakini tunaipenda zaidi CHADEMA. Katika kuchagua mmoja kwenye nafasi ya Uenyekiti, tukiamua kabisa kuweka upambe na uchawa pembeni na kuangalia maslahi na ustawi wa CHADEMA na...
  12. PreGE2025 Arusha: Wajumbe wa CCM wamkataa Katibu wa chama hicho kwenye Wilaya ya Monduli kisa kupanga safu ya watakaogombea Ubunge 2025

    Wakuu, Baadhi ya Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wameungana kumkataa Katibu wa Wilaya wa Chama hicho Rukia Omary kwa kile walichokidai kuwa kiongozi huyo amekua akikiuka kanuni za chama ikiwemo uchonganishi wa Viongozi pamoja na upangaji safu ya...
  13. Wana CCM badala ya kujadili matatizo ya watanzania wanawawajadili CHADEMA. Mgogoro wa CHADEMA unawahusu watanzania?

    Miaka 60 ya uhuru Watanzania wanaishi kwa tabu na dhiki. Naongea kwa mambo ambayo nayaona kwa macho yangu. Iwe mjini au kijijini upatikanaji wa maji ni shida. Ajira ni tatizo kubwa. Pesa haina thamani. Watu wanaishi kwa biashara za kubangaiza. Hakuna uchumi imara. Alafu leo Chama tawala...
  14. Z

    Niliwambia kuwa "Chadema ni genge la wahuni" mkanitukana. Haya sasa kiko wapi?

    Mara kadhaa nimewambia kuwa chadema ni genge la wahuni wapiga dili, wanatumia chama kama kitegauchumi. Mungu sio asumani leo hii leo hii tunawaona jinsi wanavyo tuhumiana wao kwa wao kula rushwa/kulamba mzigo. Mnawaona jinsi wanavyo nyoosheana vidole;.........mara...wewe umesha lamba....ohhh...
  15. Freeman Aikaeli Mbowe anapata fursa ya kujua na kujifunza watu wema na wenye hila dhidi yake na uongozi wake

    Kuelekea uchaguzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, chadema ngazi ya taifa, Yapo mambo mengi sana yametokea na yanaendelea kutukokea kwa nyakati tofauti, na mengi yakihusiana na joto la uchaguzi wa chama hicho, January 22,2025. Kwa upande wa Freeman Aikaeli Mbowe, hali hii itamsaidia sana...
  16. PreGE2025 Peter Madeleka: Wanasema ukitaka kugombana na Mbowe, gombea Uenyekiti wa CHADEMA

    Wakili msomi Peter Madeleka afunguka mambo mazito kuhusu uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA unatarajiwa kufanyika Januari 2025. "Wako watu ambao wanasema, na sidhani kama wako sahihi sana, lakini inawezekana ni nadharia tu ambazo zinapaswa kuthibitishwa vinginevyo na...
  17. PreGE2025 Rais Samia alivyopiga simu usiku kwenye pambano la 'KO ya Mama'

    Rais Samia Suluhu Hassan amepiga simu kwenye pambano la #KnockoutYaMama (KO ya Mama) na kuwapa salamu za Sikukuu ya Krismasi na kuwatakia mwaka mpya mwema mashabiki waliofurika kwenye ukumbi wa The Super Dome, Masaki kushuhudia pambano hilo. Katika salamu zake, Rais Samia pia aliwataka mabondia...
  18. PreGE2025 Mary Chatanda ashiriki ujenzi wa nyumba ya mjane wa Nyama ya Swala, Maria Ngoda

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa (MCC) Mary Pius Chatanda ameshiriki zoezi la ujenzi wa nyumba ya Maria Ngoda maarufu kama 'Mjane wa Nyama ya Swala' nyumba ambayo inajengwa kutokana na jumuiya hiyo kutoa kiasi cha fedha kwa ajili ya mkono...
  19. U

    PreGE2025 Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo aomba Rais Samia kusaidia upatikanaji Tsh. Milioni 200 zilizotapeliwa na waliokuwa viongozi bodoboda

    Wadau hamjamboni nyote? Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kiswahili: Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mrisho Mashaka Gambo amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kusaidia kufanikisha upatikanaji wa Shilingi milioni 200...
  20. PreGE2025 Mratibu wa Kampeni za Mbowe: Kumtuhumu kushirikiana na CCM ni kumkosea heshima, Tunamhitaji Mbowe kuliko anavyojihitaji yeye mwenyewe

    Mratibu wa kampeni za Freeman Mbowe ametoa kauli kali akiwataka wale wanaomtuhumu Mwenyekiti huyo wa CHADEMA kwa kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuacha mara moja, akisisitiza kuwa ni kumkosea heshima kiongozi huyo. Akizungumza na Jambo TV, mratibu huyo ameeleza kuwa Mbowe ameonyesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ