Hali ya migogoro ndani ya vyama vya siasa Tanzania, hususan CHADEMA na CCM, inaonyesha mifumo tofauti ya usimamizi wa migogoro na mshikamano wa ndani ya vyama hivi viwili:
CCM:
Licha ya migogoro na malumbano ndani ya chama, hasa kati ya wanachama au makundi yenye maslahi tofauti, wanapofika...
Wakuu,
Harakati za kujikomba na kulamba miguu zinazidi kupamba moto. Kenani Kihongosi ameongoza kupe wenzake kumuombea Rais Samia, taifa liwe na baraka tele.
Ni mwendo wa kujiweka karibu na Rais na kusikika kadri iwezekanavyo ili usisahaulike kwenye ufalme wa bwana, teh teh ufalme wa mama😂😂...
Kwema Wakuu!
Lisu wape nguvu wajumbe wanaokuunga Mkono. Usikubali kuachia wape nguvu.
Onyesha wewe ni nani.
Wape nguvu wale waliotishwa na kukatishwa tamaa na Mbwembwe mshindani wako kwenye Media.
Zile ni mbwembwe tu.
Mbowe mwenyewe ana hofu. Yeye mwenyewe anaogopa. Lazima aogope aibu...
Kijana Deus Soka umeipambania Chadema kwa jasho na damu. Mara kadhaa umekaa jela, umepigwa, umeumizwa umepitia madhila mengi ukiamini unapigania mabadiliko ya kweli.
Ulikuwa mstari wa mbele kuipigania katiba mpya tulikuona ukipigwa virungu na mateke ulipojitokeza na wenzio kumi maandamano ya...
Wakuu,
Uchaguzi huko CHADEMA umeendelea kupamba moto, watu wameendelea kujitikeza kutia nia.
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Odero Charles Odero anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya Taifa kesho, Jumatatu, Desemba 23, 2024 katika...
Mchungaji Msigwa ametangaza kwamba makubaliano yameshafikiwa kwamba CCM iendelee kuongoza na Jemedari hatabadilishwa katikati ya Vita hivyo Mpendwa wetu Mh Rais Samia ataendelea hadi 2030 bila figisu za yoyote
Mchungaji Msigwa amebandika Taarifa Ukurasani kwake X
Ahsanteni sana...
Ni ukweli uliwazi kwamba Mbowe akishinda katika nafasi ya uenyekiti, CHADEMA haitakuwa na nguvu tena ya kupambania dola .
Hii ni kutokana na idadi kubwa ya wafuasi kuhitaji mabadiliko ambayo yanaonekana ni vigumu kuyapata CDM kwa sasa .
Hivyo kuna weza kuwa na haja ya kukipa chama kingine...
Kwa vile CCM huwa wanaiba agenda za CDM basi ningeshauri na hili la kuondoa ukomo wa madaraka walipeleke bungeni. Kwa vile Wabunge wanawakilisha wananchi kisha waamue kama ukomo uendelee au usiendelee.
Na pia katika ajira Serikali isogeze muda wa kustaafut na kua miaka 68 kwa sababu miaka ya...
CHADEMA na CCM niliwaambia ni chama kimoja.
Hata huyu mnayemuita Lissu ni tajiri mkubwa tu Ila yeye alichofanikiwa ni Ku-play low key na kuendana na watu wanaoitwa wanyonge, hii mbinu pia alikuwa anaitumia Magufuri this guy was multimillionaire Ila alikuwa anaigiza kuwa yeye pia ni mtoto wa...
Wakuu,
Wanachi Simiyu wamejichanga changa kwa mwenye mia tano, buku na zaidi na kufikisha Tsh. 553,000/- kwaajili ya mbunge na Rais Samia kuchukua fomu kwaajili ya uchaguzi 2025! Hayo yamejiri Busega, Simiyu leo December 22, 2024 ambako Waziri Majaliwa alikuwa mgeni Rasmi katika mkutano wa...
Hawa jamaa walitunga katiba ambayo inampa haki Mbowe agombee na amegombea, Lissu kagombea. Hakuna aliyevunja katiba. Kwa nini wanaona Mbowe kugombea ni tatizo?
Lissu anataka mteremko? Si apiganie kura kwa wajumbe?
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea...
Kwa yanayotokea CDM hakika zitto anaijua SIASA na demokrasia sintoshangaa kama siku moja kitengo kitaamua kumpa nchi maana ameonyesha ni mwana demokrasia sana
Note: Ni mstaafu wa Chama chake Cha ACT na amewaachia wengine uongozi.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: CHADEMA nipo...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwamba na Jabali la Siasa za Upinzani katika ukanda huu wa Afrika Mashariki aliyekwepa mishale mingi kama Mbayuwayu Anapendwa na wana CHADEMA,huyu Mwamba anakubalika,anaaminika na wana CHADEMA sijapata kuona.
Huyu Mwamba Anapendwa na...
Mbowe akijibu swali kuhusu tuhuma za pesa za Abdul asema hazina ushahidi wowote na kwamba mwenye ushahidi anatakiwa kuupeleka kama alivyoambiwa.
Na kuongeza kuwa Lissu kufanya hivyo ni kuwachafulia watu wengine waliojenga reputation zao kwa muda mrefu. Mbowe amemuasa Lissu.
Pia soma: Pre...
Wakuu,
Mbowe anasema wanaosema aachie madaraka wakome, hajachoka, bado ana nguvu za kutosha na kuweza kufanya mikutano 8 kwa siku bila kula, kama kuna mtu ana nguvu kama yeye ajitokeze.
Mbowe asema ukomo wa madaraka ni watu wanaokutaka au kukukataa, na huu ndio ukomo halisi wa demokrasia...
Wakuu,
Na Msigwa alianza hivi hivi, baadaye tukasikia huyoooo anazima nyingine na kuwasha kijani!
=====
Mbowe anasema serikali ya nusu mkate haijawahi kuwa ajenda ya chadema mahali popote, yeye mwenyewe anashangaa mtu amezuka huko na kusema eti Mbowe ameahidiwa kupewa uwaziri mkuu, huo ni...
Wakuu,
Yaani Mbowe ni kama anampigia kampeni Rais Samia, maana vyote anamsifia yeye tu. Kwani hajui hayo yalifanya kwa uonevu na Rais Samia ku act right ni jukumu lake?
====
Mbowe amesema wanaosema maridhiano hayakuwa na faida wanakosea, kwani maridhiano hayo yalikuwa na faida, japokuwa...
Wakuu,
Inaonesha Mbowe anaenda kuachia kijiti, anaongea kwa uchungu kama Lucas Mwashambwa anavyobubujikwaga machozi ya huzuni :BearLaugh: :BearLaugh:
Au ndio anatuonyesha ile historia yake aliyosema haitaji kujieleza ili ajilipue?:BearLaugh: Ulishatuambia huhitaji kujieleza sana, sasa kwanini...
Katika kukiunganisha chama na kuondoa tofauti zetu, tafadhali sana Mh. Freeman Mbowe, mara baada ya kushinda kwa kishindo katika nafasi ya uenyekiti, mteue ndugu Halima Mdee kuwa katibu mkuu wa chama.
Mbali na kukiunganisha chama, utakuwa umezingatia genda. Pia itaonesha kuwa wewe ni mlezi...
Wakuu,
"Kwahiyo ukisoma Biblia yote na imeandikwa kabisa, hakuna nabii mkubwa kuliko Mussa lakini Mungu alimpumzisha akampa Joshua akamalizie kazi, kwahiyo hata sasa tunaye Freeman Mbowe amefanya kazi kubwa sana, ni kama Mussa amewatoa wana wa Israel sasa tuko jangwani, tunataka kutoka hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.