kuchomwa moto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kuliko kuchomwa moto wa Milele ni Vyema na haki Mungu akatufanya watumwa. Tuwatumikie watakatifu huko mbinguni

    Mimi kila nikitazama mbele sioni kama nitatoboa na hatimae kuingia paradiso. Nimekaa nikafikiria na kuwaza sana Mungu atakuwa na faida Gani iwapo atatuchoma moto wa Milele? Na vipi tulio tiyari kufanywa watumwa tuwatumikie tu hao watakatifu wake? Kwakweli kutuchoma moto hapana manabii...
  2. Mafyangula

    POTOSHI Polisi auwawa kwa kuchomwa Moto na baadhi ya wananchi baada ya kubainika kushiriki kwenye mauaji ya October 29

    Auwawa kwa kuchomwa Moto na baadhi ya wananchi baada ya kubainika kushiriki kwenye mauaji ya October 29
  3. DuaZaMama

    PostGE2025 Heche: Wanazungumzia vituo kuchomwa moto, hawazungumzia kuhusu watu kupoteza maisha

    "Wamekuwa wakizungumza kanakwamba maisha ya mtu ni kitu cha kawaida. Serikali dhalimu inazungumza kuhusu vitu, inazungumza kuhusu vituo vya mafuta haizungumzi kuhusu maisha ya watu. Embu tufikirie hamna watu, hizo barabara na vituo vya mafuta vina maana gani?." Mhe. John Heche.
  4. Abraham Lincolnn

    Kituo cha kura chavamiwa na kuchomwa moto, Hakuna uchaguzi 2025

  5. M

    Pumzika kwa amani Baba Tiago wa Yombo, kwa kuchomwa moto kwa wizi sababu unatafuta hela ya kumridhisha mkeo "mama matunzano"

    Habari wadau. Leo imetimia miaka minne toka kijana maarufu maeneo ya Yombo kwa jina la baba tiago. Kijana huyu wa early 30 baba wa watoto watatu, aliuwawa kwa kuchomwa moto maeneo ya buguruni alipokamatwa akiiba kwenye godown la mizigo. Baba tiago alikuwa kijana ambaye hajabahatika kupata...
Back
Top Bottom