Zile habari za Tanzania ni kisiwa cha amani, sasa kwisha!
Siku hizi kwenye news bulletins na headlines za kimataifa, tunatajwa kuhusiana na utekaji, uuaji, uminywaji wa demokrasia, na upumbavu unaofanana na hayo.
Habari za Agatha na Boniface kuteswa kingono zimeshavuka mipaka ya Tanzania...