kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Aibu nyingine kubwa kwa Israel

    Baada ya Israel kupata kipigo cha makombora na drone toka Iran sasa Sasa inafuata Jordan kwa kujifanya kiherehere ⚡️BREAKING Iran says it is watching Jordan and it can become a target if it helps Israel in its next move!
  2. JamiiForums Tanzania Kama nchi tunajipangaje na huu uwezekano mkubwa wa WW3 ambao utakuwa na athari kubwa duniani?

    Kwa mashambulizi ya jana na usiku huu waliyofanya Iran kwa Israel tutegemee Israel kujibu. Tishio ni kubwa kiasi kwamba "Doomsday Plane" ya Israel imeonekana ikipaa ikidhaniwa ni viongozi wanahama nchi. Ni kubwa kiasi kwamba inasemekana Netanyahu amehama Ikulu na kukimbilia kwenye jumba kubwa la...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Kimbari hayaepukiki kujirudia, Kwa ukabila huu wa kundi dogo kuitawala Rwanda huku wakilitenga kundi kubwa si ajabu yakajirudia ya 1994

    Idadi / population ya warwanda Wahutu 85 % Watutsi 14 % Watwa 1%. Kwa hisoria fupi, mauaji ya Kimbari 1994 yalianza baada ya waasi wa kitutsi wakiongozwa na Kagame kulipua ndege aliyokuwemo Rais wa Rwanda mhutu (pia akiwemo rais wa Burundi mhutu), ndipo Wahutu wa Rwanda wakaamua kulipa kisasi...
  4. JamiiForums Tanzania Wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto, kuwa makini kama umezaa na mwanamke ambaye hauishinaye

    Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake/ mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa. Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke uliyezaanaye usitegemee watoto watakuja kukutambua. Nafahamu sio wababa wote ambao hawatoi huduma...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faini ambayo Simba SC ikijivunja Kucheza na Yanga SC itapigwa ili niichangishe kalipwe haraka tukikwepe Kikombe kijacho cha Aibu Kubwa

    Yaani una Job na Fred halafu kabisa Mtu mzima umekalisha Kende zako Komavu kama Kungu ndio umfunge Yanga SC?
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta cooler box kubwa

    Habari wana jf natafuta coolerbox kubwa ni whatsap kama unayo 0712698246 iwe kama hiyo.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Uratibu mbaya wa makadirio ya kodi ndiyo sababu kubwa ya ukwepaji kodi

    Mimi ni mtaalamu wa fedha na kwa mawazo yangu tatizo la kodi na TRA linaanza na uratatibu mbaya wa ukusanyaji wa kodi. Kuna kodi za aina mbili kubwa 1. Kodi za mauzo. Kwenye kodi hizi ambazo kwa ulewa wangu ni 18% mlipa kodi sio mfanyabiashara mfano mwenye duka. Mlipa kodi ni mnunuzi na mwenye...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Serikali inatumia gharama kubwa sana kutunza pesa zake zilipo kwa watu hasa noti

    Hivi kwanini kusiwe na utaratibu mazuri wa namna ya kutunza cash za noti? Unakuta noti za elfu kumi, elfu moja, elfu mbili au elfu tano zinawekwa ovyo sana kwa kukunjwa kunjwa na watu kiasi ambacho Ile durability tunayoambiwa haipo tena. Nchi zilizoendele noti zote zipo electronically na hakuna...
  9. JamiiForums Tanzania Orodha ya clabu tajiri zenye dhamani kubwa zaidi Africa

    Most valuable football clubs in Africa as of the 2023/2024 season, by market value 1)- El Ahly sc, Egypt 🇪🇬,30.5 million euros 2)- Mamelodi Sundowns, South Africa 🇿🇦 - 29.15 million euros 3)- Pyramid FC, Egypt 🇪🇬, 21.73 million euros 4)- Orlando Pirates, South Africa 🇿🇦 19.55...
  10. JamiiForums Tanzania Majirani wanaofungulia mziki sauti kubwa wana matatizo gani?

    Yani jirani inakuaje mtu uko kwako, unafungulia mziki hadi nyumba ya 5 au 6 wanasikia? Ni kuwa wanataka na wengine wasikie au wanafurahia kusikia mziki kwa sauti kubwa?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hakika changamoto ya ajira imekuwa kubwa na Maisha yanazidi kunibana

    Nipo katika kipindi kigumu cha Maisha kwa sasa ambapo changamoto zimekuwa kubwa sana na zinanibana. Nina degree ya utawala, pamoja na uzoefu na ujuzi katika mauzo, masoko, ukusanyaji wa data, na uandishi wa miradi. Aidha, nina ujuzi kompyuta, na uzoefu wa miaka 7 kwenye kazi na rekodi nzuri...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini kizazi cha sasa kinalinganishwa na kizazi cha jana? Hili ni kosa kubwa!

    Kuanzia miaka ya 1980's dunia inashuhudia mabadiliko makubwa ya ukuwaji na harakati nyingi wa mtindo wa maisha yanakuwa ni wenye kubadilika, kwa mshangao mkubwa wazee wa sasa wanatuambia mambo yao ya zamani waliyokwishayafanya, serikali inapigia msrumari kuwa vijana wa sasa ni hovyo na hata...
  13. JamiiForums Tanzania Mvua Kubwa na Upepo Mkali Vyaleta Maafa kwa Watu 685 Kijijini Lyasembe - Musoma Vijijini

    Ijumaa, 5.4.2024 mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali vilileta maafa makubwa Kijijini Lyasembe, Kata ya Murangi. Jumla ya watu walioathirika ni: 685 Watoto 384 Watu wazima 301 Jumla ya majengo yaliyoharibika: (i) Nyumba zilizobomoka (17): 17 za wanakijiji (ii) Nyumba zilizoezuliwa...
  14. JamiiForums Tanzania Che Malone:Ni ndoto ya kila mchezaji duniani kote kushinda mataji na kucheza kwenye timu kubwa yenye malengo makubwa

    Nakutakia kila la kheri Kaka.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Arusha mlichofanya kwa RC ni dharau kubwa kwa mamlaka za uteuzi; acheni mgomo fungueni mioyo

    Wananchi wa Arusha wameingia mitini kumpokea RC mpya. Hii siyo Ishara nzuri kwa kiongozi anayependa kuabudiwa. Vyombo vya habari vilijiandaa kurusha live msafara wake lakini wamekwama kwa kukosekana umati. Jambo la pili lililowaudhi wananchi wa Arusha ni kitendo cha kuwa na kiongozi anayewaza...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na hamu kubwa lakini ile najaribu tu ikawa utambi😭😭

    Nimekaa mda mrefu bila kufanya. Nikameita my wangu geto akaja. Nikafikiri itakua show show lakini asikuambie mtu mambo yakawa ndivyo sivyo. nikaanza romance kama kawaida jamaa akasimama strong. Nikachezea shaft hadi utelezi ukashuka. Nikavaa ndom ile napachika mara shwaaa yaan sekunde. Ikawa...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima ya timu kubwa k ama Mamelodi ni Bora wajitoe hatua ya nusu fainali waliyoingia

    Hii italinda heshima ya soka bora walilonao.Italinda heshima ya timu na wachezaji kwa ujumla.Viongozi wao wakae chini wafikirie mara mbili. Timu yao ni kubwa sana ni bora wajitoe kulinda sifa waliyonayo pamoja na wachezaji wao wakubwa wa dunia walionao.Wasiangalie njaa ya leo wakajivunjia...
  18. JamiiForums Tanzania Nimegundua idadi kubwa ya Watanzania au Africa tumetumia camera moja kuangalia shuti la Ki Aziz

    Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi. Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani. Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na...
  19. JamiiForums Tanzania BAVICHA kuna ombwe kubwa la uongozi

    Nimemuangalia pambalu anavyozungumza ,nimegundua CHADEMA hawapo tayari kushika dola. Ni kama comedian ana cheka cheka hata pasipo hitaji kucheka kifupi hayupo serious ,kama ndio tanuri la viongozi wa baadae wa Chadema na huyo ndio mnamtegemea naiona chadema ikidumaa . Haitopata vijana tena...
  20. JamiiForums Tanzania Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani

    Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora makali zaidi na yenye kusafiri kwa kasi na mlipuko mkubwa kuliko kawaida kulenga maeneo ya kimkakati ndani ya Israel. -Mifumo ya vita vya kielektroniki vya Iran inasonga mbele karibu na Ghuba ya Uajemi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…