kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Scofield Vs Reddington nani akili kubwa?

    Kwenye ulimwengu wa Sinema kumekuwa na ubishi kwamba Michael Scofield ni akili kubwa kuliko Raymond Reddington and Vice Versa. Naomba tuumalize ubishi hapa, je ni nani kati ya hawa wawili ni akili kubwa kumzidi mwenzake? NB: TUNASHINDANISHA CHARACTERS NA SIO MAISHA BINAFSI YA HAO WAIGIZAJI
  2. KERO Barabara ya Banana - Kitunda ni kero kubwa kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia

    Barabara ya Banana Kitunda (Dar es Salaam) imekuwa ni kero kubwa sana kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia. Barabara ni mbovu na kila kipindi cha mvua usafiri ni shida na magari yanaharibika sana, tunaomba hii taarifa imfikie Mbunge wetu ni Jerry Silaa.
  3. Simba ni mnyama mla ubuyu tu

    Ukiangalia Yanga unagundua hizi timu zinafanana kila kitu inapokuja mpira wa ndani. Ila ukisema ni mashindano ya CAF yule Mzee Kapombe anakuwa Under 20 vile anaupiga kama ndio kapandishwa leo toka timu ya Vijana anagombea namba na Kina Mwenda!
  4. S

    Miji yenye Uwiano wa Idadi kubwa ya Wanawake kuliko Wanaume

    In this article, we take a look at cities with the highest female to male ratio in the world. You can skip our detailed analysis on migration, economy and gender ratio and go directly to the 5 Cities with Highest Female to Male Ratio in the World. As of 2023, there are 8 billion people in the...
  5. KERO Shughuli za kiuchumi Mwanza zimesimama kwa saa 6 kutokana na mvua kubwa na ubovu wa miundombinu. Serikali ikumbukeni Mwanza msiitumie kisiasa tu

    Shughuli za kiuchumi katika jiji la Mwanza zimekwama kwa masaa zaidi ya saba kutokana na uharibifu wa miundombinu na uliosababishwa na mvua kubwa. Pia Mwanza ni miongoni mwa majiji yaliyotekekezwa na serikali ya CCM kwani wanaitumia tu kisiasa na kuitelekeza. Najiuliza mvua hii ikiendelea...
  6. Kipaja au stabe nani aliwahi kubadilisha kwenye tube housing ya gari kubwa?

    habari zenu kifupi nimekutana na msala huu. Katika kukagua gari nkakuta stable au kipaja cha diff ya canter nati ishachomelewa kwa hio beringi ikiungua au kuharibika huwezi kuibadili. Katika kutafuta ufumbuzi wakaniambia huwa kinabadilishwa hicho kiande cha diff yaani kipaja. Ila wasiwasi...
  7. Somo Kubwa wanaume tumepewa kutoka kwa Erik Spoelstra

    Nilipokuwa ndo ninaanza kubalehe marehemu Babu aliwahi kuniambia “Ukitaka kuwa na Maisha mazuri na yenye furaha kama mwanaume basi usije kuoa! Mwanamke anakondesha Mjukuu! Mwanamke sio ndugu yako kabsa! Kaa nao mbali!" Sikuelewa hata kidogo ila nilipotimiza miaka kadhaa mbeleni nikaanza...
  8. Handaki kubwa lakutwa chini ya nyumba ya Ibada ya Mayahudi Sinagogi huko NEWYORK

    Wanaukumbi. Kundi la wanaume wa jamii ya Wayahudi wa Hasidi huko New York walikamatwa Jumatatu huku kukiwa na mzozo juu ya handaki haramu lililochimbwa kwa siri kando ya sinagogi la kihistoria, ambalo limefungwa tangu wakati huo. Hatua za utekelezaji wa sheria baada ya handaki hilo kujulikana...
  9. Kuna hatari kubwa ya kuporomoka kwa elimu ya juu, Serikali sababu yangu izingatieni

    Elimu ni silaha dhidi ya changamoto za kidunia,tunavyoelimika kunatupa matumaini ya kuendelea kubaki salama katika dunia hivi fikiria karne moja iliyokwisha pita dunia ilipita katika njia ya viongozi hodari na makatili ambao waliweza kuamrisha wananchi wao wasitoke ndani ya mkoa au chumba,kuuuwa...
  10. Mtu hawezi kufa akafufuka, Stori za Watu waliokufa kuonekana ni uongo, na zinafanana kwa asilimia kubwa

    Kwema Wakuu! Kuna habari zinazoendelea hapa nchini hasa kanda ya ziwa na huko kanda ya magharibi ya nchi yetu kuhusu Watu waliokufa kuonekana tena , kurudi na juzi kuna mmoja amepiga simu ati kuwatakia ndugu zake mwaka mpya mwema. Ni jamii ya kijinga inayoamini kuwa mtu akifa tena akazikwa...
  11. Nevada Man Leap and Attack Clark County Judge After Being Denied Probation

    A Clark County, Nevada judge and a marshal were injured on Wednesday afternoon after a defendant who was denied bond threw himself over the bench and attacked the judge, video shows. It is reported that the public information officer for the Clark County District Court said the incident...
  12. UZINDUZI WA SIMU WENYE SUPRISE KUBWA CHUONI (UDSM)

    Habari wapenzi wa teknolojia! Habari za kusisimua kwenu wanafunzi wa chuo ni kwamba simu ya TECNO SPARK 20 inatarajiwa kuzinduliwa chuoni UDSM tarehe 06 Februari 2024, hii itakuwa ya kipekee sana kwani sisi wanafunzi wa chuo kikuu ndio washiriki wakuu! Si tu kuhusu uzinduzi wa simu; bali kuna...
  13. Asilimia kubwa ya wasichana wa mwanza hawakumbuki namba zao za simu

    Unakutana na msichana mzuri unaomba namba hana ujanja wa kukutajia,ataanza kupekenyua simu yake su ataomba ya kwako akubeep ndio upate nsmba yake. Sasa mwanke kama huyu atakumbuka kweli tarehe yske ya kuwa kwenye period? Si ajabu kugawa namba lakini hawakumbuki hizo namba kichwani
  14. KASHFA kubwa ya usalama wa Israel hawa Mossad kumbe hamna kitu sinema zimetudanganya sana.

    Wanaukumbi. KASHFA kubwa ya usalama wa Israeli: Mwisraeli aitwaye Roi Yifrah, tapeli, aliyeigiza kama mpiganaji wa IOF kutoka kitengo cha Yamam na aliingia Ukanda wa Gaza. Katika kukaa kwake kwa miezi 1,5, aliiba vifaa vya kupigana, silaha, vifaa n.k. Pia alijifanya kuwa mwanachama wa Shin...
  15. China ana safari kubwa sana mpaka kuipita Marekani kiuchumi

    Uchumi wa USA in GDP ni 27 trillion USA na China ni 18 trillion Raia wa USA 🇺🇸 ni 333 million na China ni 1.4 billion China ana safari ndefu Sana kumpita USA na inaweza kufika miaka 100. Ameachwa gape kubwa Sana. Mimi natabiri labda EU lakini kwa China bado
  16. Aibu kubwa Airtel Arusha Internet haina 4G

    Yaani Airtel ni kero kweli. Mtandao mkubwa namna hii mji mzima internet iko 2G? Hata hapa napost kwa shida. Kupiga huduma kwa wateja, ni mlolongo wa maelezo recorded na huwezi kupata direct access ya mtoa huduma. Ni kero juu ya kero. Kama mmeshindwa kazi semeni tuhame.
  17. TMA: Mikoa 15 kukumbwa na Mvua kubwa zinazoweza kusababisha Mafuriko

    Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari ya uwapo wa mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika mikoa 15 inayoweza kuleta athari ya mafuriko. Mikoa iliyotajwa ni Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Katavi, Dodoma, Singida, Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa na Kusini mwa...
  18. Amini...Kuna waganga wa kienyeji kwenye hospitali kubwa hasa za Rufaa

    Mimi sio narrator mzuri so mnisamehe ..ila hii habari niliiamini...! Iko hivi kuna mtu tunaheshimiana nae sana tuseme ni rafiki ambae anajiheshimu sana wa zaidi ya miaka 20 tuko nae! Sasa bwana yule akapata tatizo kubwa sana kazini...yupo kule kwa wale jamaa wa Long room najua mnapajua...
  19. Tathmini: Sherehe za Christmas 2023 zadorola kuliko mwaka wowote. Wananchi wakabiliwa na dhiki kubwa, haijawahi kutokea

    Baada ya kufanya Tathmini kabambe huku D'Salaam na Mkoani Mbeya , kwa kweli tumegundua kwamba Sherehe za Christmas ni kama hazipo kabisa kutokana na dhiki kuu iliyosababisha Ugumu mkubwa wa Maisha ambao Wazee wengi wanadai haujawahi kuwepo kwenye nchi tangu wapate akili. Mishahara duni ya...
  20. Israel imemuua Jenerali wa Iran Sayyed Razi Mousa vita vinaweza kuenea sehemu kubwa

    Wanaukumbi. BEIRUT, Des 25 (Reuters) - Shambulio la anga la Israel nje ya mji mkuu wa Syria Damascus siku ya Jumatatu lilimuua mshauri mkuu katika Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, vyanzo vitatu vya usalama vilisema. Vyanzo hivyo vililiambia shirika la habari la Reuters kwamba mshauri huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…