kubana matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Serikali kubana matumizi napo tunasubiri Benki ya Dunia (WB) ituambie? Hatuwezi kuona tunakokwenda?

    Hali ni mbaya sana mitaani na anayebisha akapimwe akili, kwa sasa, wapo wananchi wanaoshindia mkate wa bakhalesa, wapo ambao siku inaweza kupita bila kula kabisa, nina uhakika na hilo, na katika hilo, niseme kwamba, hakuna nchi yenye watu wavumilivu kama Watanzania, si kwenye mambo ya kisiasa...
  2. Jstar1

    JamiiForums Tanzania Njia ya kubana matumizi

    Katika harakati zangu za kubana matumizi ili nitimize malengo yangu, nimegundua njia pekee ni kuachana na wanawake na kubaki na msichana mmoja ambae mpaka sasa hivi sijampata. Nimeachana na wasichana 7, maana wote nilikua nikiwahudumia, takribani wiki sasa sipo kwenye mahusiano, inshort matokeo...
Back
Top Bottom