kubaki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Waziri wa afya Dkt. Gwajima hana legitimacy ya kubaki kwenye hiyo Wizara

    Nafasi ya uwaziri, tena wa Afya ni eneo sensitive sana, tena kwa kipindi kama hiki ni more sensitive. Kwa kipindi hiki cha mgawanyiko mkubwa wa mitazamo kuhusu chanjo kwenye taifa letu,sio hekima kama waziri,msomi na mtaalamu kuzungumzia mambo binafsi ya mtu mwingine. Hivi work ethics za...
  2. Joseph Mbilinyi: Rais Samia hawezi kubadili mfumo akiwa na watu walewale

    Sitaki kuongeza chumvi, jionee mwenyewe
  3. L

    Xinjiang machoni mwangu: Vivutio vya Xinjiang vitaendelea kubaki mawazoni mwa watu kwa muda mrefu sana

    Siku ya leo ni nzuri sana, kwasababu sehemu nyingi nilizotembelea zilinishangaza na kunifanya nikodoe macho hadi kukaribia kutoka. Mvuto wa sehemu hizo utaendelea kubaki mawazoni mwangu kwa muda mrefu sana. Kama kawaida ikiwa ni siku nyingine katika mfululizo wa matembezi yangu katika Mkoa...
  4. Aharibu mali zenye thamani ya Tsh. Milioni 4 baada ya Mke kugoma kubaki nyumbani kusherehekea Siku ya Akina Baba Duniani

    Mwanaume mmoja kutoka Kijiji cha Gichugu Kaunti ya Kiriyanga nchini Kenya ameharibu mazao yanayokadiriwa kuwa na thamani ya Shilingi za Kenya 200,000 (sawa na Tsh. milioni 4.3 ) baada ya mke wake kukataa kubaki nyumbani kusherekea Siku ya Kina Baba Duniani. Kwa mujibu wa mashahidi, mwanaume...
  5. Hatimaye Marekani yashindwa kubaki Afghanistan

    Baada kuleta hasara kubwa ya maisha ya watu na kuharibu mali kwa miaka takriban 10,Hatimae Marekani imeamua kuondoka nchini Afghanistan ikiwa ni sharti muhimu katika makubaliano yake na wanamgambo wa Taliban.
  6. Tanzania tuamue kubaki na fani ya Ualimu na Udaktari

    Habari, Yaani kitu ambacho nimekiona kwa nchi yetu ya Tanzania, ajira zikitangazwa, utasikia tunaongeza walimu na wataalamu wa afya, ni mara nyingi sana matamko yanakuwa hivi. Sasa ina maana hawajui kama Tanzania kuna watu waliosomea fani mbalimbali, na je, wao hawana haki ya kuajiriwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…