kuanguka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Baada utawala wa Syria kuanguka Israel wamekimbilia kuchukua maeneo katika miji mitano katika milima ya Golan ya Syria wanazidi kuongeza mgogoro

    Wanaukumbi. 🚨#BREAKING: Israel imezidisha uchokozi wake kwa kuingia katika miji mitano katika Milima ya Golan ya Syria. Miji mitatu kati ya hii iko ndani ya eneo la buffer lililosimamiwa na UN la 1974, eneo ambalo Israeli ilitekwa kinyume cha sheria katika vita vya 1973 na kulazimishwa kurejea...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuanguka kwa utawala wa Bashar al-Assad huko Syria ni kushindwa kwa Russia na Iran?

    Honestly, kuanguka kwa huyu mwamba kiboko ya mataifa ya magharibi kumenihuzunisha sana. Was it coincidence or planned. Mbona imekuwa haraka sana wakati jana tu nimeskia Hezbollah wametuma maelfu ya wapiganaji kumsaidia ASSAD. Wasiwasi wangu ni hii nchi kuangukia kwenye machafuko ya kila mara...
  3. JamiiForums Tanzania Tumeshapata pa kuanzia kuhusu ghorofa kuanguka Kariakoo

    Watu kama hawa ndio wakukamata acheni kuhangaika na Mbowe, hakuna cha unabii wala nini ahojiwe inawezekana kuna Siri anazijua nyingi anajifanya nabii. Kashaona Yule alietabiri mwezi wa pili kua kutaanguka jengo kkoo mwisho wa mwaka huu naye anaiga anataka kutrend. Huu Uhuru WA kuabudu...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Uchawa, MAGHOROFA kuanguka, wingi wa wamadaktari uchwara mahospitalini na TZ kuangukia pua kwenye kesi za kimataifa ni kilele cha UBOVU wa ELIMU.

    Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu. Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
  5. JamiiForums Tanzania Kuanguka ghorofa Kariakoo; Kuridhika au kutoguswa na upuuzi unaohatarisha maisha yako ni kushiriki kujimaliza mwenyewe.

    Kwenye huo mkasa wa kuanguka kwa ghorofa Kariakoo kuna mengi yanasemwa ila linalozungumzwa zaidi ni hili la ghorofa kuchimbwa katika msingi kujenga underground. Kama ni kweli watu walikuwa wanachimba hilo ghorofa kwenda chini ila kutengeneza huo upuuzi unaitwa underground/basement halafu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kubeba majeruhi kwenye gari za wazi (Pickup) badala ya gari za wagonjwa (ambulance) kwenye tukio la kuanguka ghorofa K/Koo ni sahihi?

    Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance Sasa najiuliza Kariakoo...
  7. JamiiForums Tanzania Kushindwa na kuanguka ndio njia pekee ya kufanikiwa.

    Asilimia 70 na zaidi ya watu wote wanaofutila siasa za Marekani wamefurahishwa na ushindi wa Trump, hata mataifa hasimu ya Marekani yamefurahishwa sana na ushindi huo. Pongezi ni kwa Trump, lakini tuna la kujifunza sote katika maisha maisha yetu ya kawaida Pamoja na Trump na wengi tunaowasoma...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kuanguka na kusimama kwa safari ya uongozi kwa wanawake wenye ulemavu waliofanikiwa Zanzinzibar

    Msanii maarufu wa kimataifa Stevie Wonder mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Nchini Marekani mwenye ulemavu wa macho ambaye pia ni mjumbe wa amani wa Umoja wa Mataifa, ameweza kusikika akisema."Mtu kuwa na matatizo ya kuona haina maana kwamba hawezi kuona matatizo tunayopaswa kuyatatua...
  9. JamiiForums Tanzania Kua Uyaone: Msemo ambao hauwezi kupitwa na wakati Barani Afrika

    Na kalaga baho. Salaam! Leo wakuu naomba niwasilishe hoja makini ya waandishi wa masuala ha kijamii, Jamrozik. A na Noccela. S. Wakiyazungumza matatizo ya kijamii hasa tatizo la muundo unaotumika kuipanga Jamii (structural arrangement) na kukosekana kwa usawa (social inequality) katika Jamii...
  10. JamiiForums Tanzania 14 wafariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kuanguka India

    Takriban watu 14 wameaga dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya bango kubwa kuanguka wakati wa dhoruba ya ghafla katika mji wa Mumbai nchini India. Bango hilo, lenye ukubwa wa mita 70 kwa 50 kwa mujibu wa polisi, lilianguka kwenye nyumba na kituo cha petroli jijini siku ya Jumatatu...
  11. JamiiForums Tanzania Blackberry na Nokia zilipendwa sana miaka ya nyuma, ila walikuja kuanguka vibaya sana

    Blackberry na Nokia yameanguka, tena yameanguka sana. Pamoja na kuwa na simu kali zenye kamera nzuri, speed kubwa ila wakaanguka. Walianguka kwa sababu hawakuwa na viongozi wenye kufocus ulimwengu jinsi ulivyo. Yaani walikuwa katika miaka ya 2000 lakini akili zao zilikuwa zinafanya kazi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kila mabadiliko mazuri huanza kama kuanguka kwa domino

    Maana yake ni kwamba ili uwe na mafanikio makubwa sana lazima uanze na uhodari kiasi na uwe nao kwa muda . Huenda watu hupokea vitu fulani kwa ubaya ndio maana vinawatesa. Nilitamani sana kujua kwanini Hayati John Magufuri alipenda sana kuwakumbuka wanyonge. Ila jibu nikalipata ni...
  13. JamiiForums Tanzania Wanafunzi Saba wahofiwa kupoteza Maisha baada ya School Bus kuanguka kwenye korongo (Sinoni, Arusha)

    Kuna taarifa nimeipata kutoka kwa jamaa yangu flani yupo Arusha ananiambia amepita mitaa ya Dampo, Sinoni anadai kuna basi mali ya Shule ya Msingi Ghati Memorial limeanguka kwenye korongo kutokana na mvua kubwa ambayo imenyesha pande hizo kuanzia usiku wa kuamkia leo Tarehe 12 hadi alfajiri...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

    MAREKANI: Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami jijini Florida baada ya kuanguka kwenye 'Boti'. Abraham aliripotiwa kupata ajali Februari 24, 2024...
  15. JamiiForums Tanzania Wananchi kuteleza sio kuanguka mnao uwezo mkubwa wa kubadili mambo, belouzdad wamewaamsha rasmi!

    Naweza kusema kwenye mpira uwa Kuna siku mbaya kazini Kila kitu kinaweza kwenda tofauti na mipangilio ya siku zote, na Jana yanga walikuwa na siku mbaya kazini! Timu ili icheze vizuri inatakiwa Kila mchezaji awe timamu kimwili na kiakili na Kila mchezaji atimize majukumu yake ipasavyo lakini kwa...
  16. JamiiForums Tanzania MAKALA: Kuanguka kwa chama cha siasa kunaweza kuonyeshwa kwa hatua kadhaa

    Na Daniel Mbowe (Kilimanjaro) Hapa kuna baadhi ya viashiria vya kawaida vinavyoweza kupelekea kuanguka kwa chama cha siasa: Utendaji wa Uchaguzi: Matokeo duni katika chaguzi, ikiwa ni pamoja na hasara katika kinyang'anyiro muhimu na kupungua kwa kura, inaweza kuwa ishara tosha ya kuzorota kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo nilivyofanya ili kuinuka baada ya kufilisika na kuanguka kabisa kiuchumi

    Wakuu kwa siku kadhaa nimesoma kwa umakini uzi unaouliza kilichotokea hadi baadhi yetu tukaanguka kimaisha. Mimi pia nilitoa maoni yangu na kuelezea kwa ufupi jinsi ilivyokuwa hadi nikaanguka. Sababu kuu ilikuwa kuendekeza mbususu. Lakini sikuelezea kiundani niliwezaje kusimama tena baada ya...
  18. JamiiForums Tanzania Je katika historia za Dunia kuna falme yoyote iliyoongozwa na mwanamke iliwahi kusimama imara bila kuanguka?

    Tafadhari sana naomba tushirikiane kwenye mjadala kwa kuangalia nafasi ya mwanamke katika kupewa uongozi wa juu katika jamii zenye ufalme. Je mwanamke amewahi kuweza kuongoza falme yoyote hapa Duniani na ikasimama bila kuanguka?. Na ilikuwa ni falme ipi? Karibu kwenye comments natarajia...
  19. JamiiForums Tanzania Mafanikio na kuanguka kwa shule mbalimbali za sekondari halmashashauri ya Bunda MjinI

    Wasalaam wanajamvi, Mimi ni mdau wa elimu nchini nikiwa ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani ila nimekulia Mkoa wa Mara. Kwa kipindi chote nilichokaa Mkoa wa Mara na hasa halmashauri ya Bunda mji nimebaini mambo mbalimbali katika mashule ndani ya halmashauria mbayo yanachangia ufaulu au anguko la...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuanguka ghafla

    Ni tumaini langu wote mu wazima wa afya. Kama mada ilivyo hapo juu,leo nimekuja kuomba msaada. Nina ndugu,mwana mama mtu mzima. Kwa mda wa miaka 10 sasa,ana tatizo la kuanguka. Kwa siku inaweza tokea zaidi ya mara tatu. Na si kwamba ni kila siku,inaweza ikapita hata wiki au wiki mbili. Na si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…