kuagiza bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nje ya Posta kuna njia nyingine ya kuagiza bidhaa zifike mkoani ?

    Ninawezaje kuagiza mzigo kutoka China Aliexpress hadi Mkoani
  2. Heritage123

    JInsi ya Kuagiza Bidhaa China Kupitia Alibaba

    Unataka kuanza kuagiza bidhaa kutoka China lakini hujui wapi pa kuanzia? Alibaba.com ni moja ya mitandao mikubwa duniani ya wauzaji wa jumla ambapo unaweza kuagiza bidhaa kwa bei nafuu, kutengeneza brand yako mwenyewe (OEM), au hata kuanzisha biashara ya kuuza kwa mtandao (Dropshipping...
  3. Heritage123

    MACHIMBO YA FAIDA YAPO KARIKOO: Jinsi ya Kuagiza Bidhaa kwa Bei ya Jumla Bila Kufika Dukani

    Kariakoo ni moyo wa biashara Tanzania. Watu wengi hufika hapa kila siku kutafuta bidhaa kwa bei nafuu, lakini wachache sana wanajua kuwa ndani ya msongamano huo — kuna machimbo halisi ya faida. nitakuonesha faida kuu za kuagiza bidhaa kutoka Kariakoo, hata bila kwenda mwenyewe dukani, na...
  4. Heritage123

    Jinsi ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Bila Agent - Hatua kwa Hatua (2025 Blueprint)

    Unataka kuanzisha biashara lakini huna mtaji mkubwa? Au umekuwa ukitafuta wauzaji wa jumla wenye bei nafuu bila mafanikio? Basi fahamu hili: China ndio mahali pa bidhaa bora kwa bei ya chini kabisa. Na unaweza kuagiza mwenyewe, bila kupitia agent wala kulizwa. 👇 Hizi ndizo hatua za msingi...
  5. Prof_Adventure_guide

    Mwongozo wa Kitaalamu: Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kuagiza Bidhaa Kutoka China Kupitia Alibaba

    WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima. Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
  6. K

    Mzoefu wa kuagiza bidhaa kwa kutumia Aliexpress anisaidie

    Nimeagiza bidhaa fulani toka China kwa kutumia app ya aliexpress wenye trak number inayoanzia na LP 000 kwenye trak mzigo unaonekana umeingia toka tarehe 7/04/2025 nikaamua kuwafuata kwenye ofisi zao nilipofika wananiambia mzigo haujafika na mzigo wenye trak number inayoanzia na LP 000 mizigo...
  7. cli

    Naombeni kufahamu biashara ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi

    Jamani naomba kupata uelewa zaidi kuhusu na biashara ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kuanzia utaratibu mzima,na hatua zote hadi kuupata mzigo ambao pengine natarajia kuufanyia biashara, Zaidi kutoka nchi kama China na nchi zengine za Asia
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    Kwanini wafanyabiashara/serikali wanatumia mabilion kuagiza bidhaa nje wakati bidhaa kama hizo zinapatikana nchini

    Wachumi naomba mnisaidie, nimeona juzi diamond platinum anajisifu ameuza kontena 30 za sabuni ndani ya week, at the same time ukienda kigoma- sido wanazalisha sabuni zenye mfanano kama ulivyo, na ukienda utakuta godown yamejaa sabuni za kutosha, soko lake likiwa dogo, ivi kwanini tusikuze uchumi...
  9. O

    Sababu za Tanzania Kuendelea Kuagiza Bidhaa Nje Licha ya Kuwa na Utajiri wa Maliasili na Rasilimali Nyingi

    Tanzania inaendelea kuagiza bidhaa nyingi kutoka nje licha ya kuwa na rasilimali nyingi kutokana na sababu kadhaa. 1. Ukosefu wa Uwezo wa Kiviwanda Tanzania ina malighafi nyingi, lakini haina viwanda vya kutosha vya kuzalisha bidhaa za mwisho. Licha ya kuwa na madini mengi ya chuma kutoka...
  10. Jay_255

    Mambo 10 ya kuzingatia kabla hujaagiza bidhaa kutoka china kupitia mtandao wa Alibaba

    Nitaorodhesha kwa ufupi mambo 10 muhimu zaidi kuyajua kabla hujaagiza bidhaa kupitia app ya alibaba. 1. Usishawishike na udogo wa bei (bei chee) katika kuchagua bidhaa au supplier wa kufanya naye biashara. 2.Usichat na supplier halaf akakwambia mtoke alibaba yaani mchat whatsapp au wechat...
  11. Stunnaman008

    Naombeni msaada kuhusu Aliexpress

    Ni miezi sasa kila nikitaka kununa vitu kupitia Aliexpress haiwezekani Mimi natumia MasterCard za mitandao ya simu Tigo au Airtel ila sifanikiwi kama mwanzo nilivokuwa nafanya
  12. Mrndumbarojl

    Kama wewe ni Muagizaji au muuzaji nje, itambue njia hii ya malipo – Mteja makini lazima aitumie, ukisita basi!-upgraded

    Leo tuzungumze kidogo kuhusu mfumo wa malipo unaowekwa kama kigezo cha biashara kufanyika. Wateja wako makini wanajiuliza, “Letter of Credit inaweza kutumika?” Hii ni jambo la msingi kwa wafanyabiashara wanaoagiza (BUY/IMPORT) na kuuza (SELL/EXPORT) nje! Ni kweli, lakini kuna changamoto. Je, LC...
  13. Backend

    Nawezaje kuagiza bidhaa kutoka China kwa kununua katika mtandao wa Alibaba nikapata hiyo bidhaa Kwa bei nafuu zaidi?

    Wakuu habari ya muda huu, hongereni kwakuendelea kupambana kuhakikisha ndoto zenu zinatimia🤝 hakika Atukuzwe Mungu anaye tuwezesha katika Hatua hizi zote🙏. Wakuu nimekuwa nikiangalia Bei za bidhaa mbalimbali zinazouzwa katika mtandao WA Alibaba kwakweli zina Bei nafuu kuliko hapa nyumbani..Sasa...
  14. Hommy

    Ushauri wa kuagiza bidhaa mtandaoni

    Mala kwa mala huwa naagiza bidhaa kupitia aliexpress na kupokea mzigo kupitia posta kwa sasa nataka kuagiza mzigo kupitia alibaba na mzigo ni mdogo tu ambao nitatumia agent kama silent ocean n.k ila kunakitu kinanitatiza je kwa huku mkoani nitaupokelea wapi bila ya mimi kufika dar, na je hawa...
  15. Ojuolegbha

    Balozi Yakubu achagiza Wafanyabishara wa Anjouan kuagiza bidhaa Tanzania

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Othman Yakubu amekutana na Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kisiwa cha Anjouan na ujumbe wake na kuwahimiza kuzidisha uagizaji wa bidhaa toka Tanzania kwa kuzingatia ukaribu wa kijiografia na uhusiano wa kihistoria uliopo. Balozi Yakubu ambaye...
  16. Candela

    Msaada kuagiza bidhaa ambazo haziji tanzania

    Hello, nahitaji muongozo kuagiza bidhaa ambazo ukiingia Amazon unaambiwa THIS ITEM DOES NOT SHIP TO YOUR LOCATION. Nina soundbar nililetewa na mtu imekufa, nataka kuagiza nyingine lakini haiwezi kuwa shiped Africa. Kuna mtu aliniambia nicheki PROSHIP ila sina uhakika na usalama wa pesa, almost...
  17. EEM M

    Maoni kuhusu biashara za kuagiza bidhaa katika masoko ya Mtandaoni nje ya nchi (Abroad Online Market)

    Habari za Muda wana jf na natumaini wote ni wazima. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Binafsi nimekuwa nikiagiza vitu online hasa aliexpress na mara moja moja kikuu. Nimetokea kutamani sana hii fursa na kuifanya kama sehemu ya plan C katika kutafuta kusukuma ndinga kama...
Back
Top Bottom