kuachishwa kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stakehigh

    Mwaka 2026, hakikisha unaombea kuachishwa kazi. Kuna mengi katika maisha zaidi ya kuingia ofisini kila siku

    UOGA ndo kitu kinachoweza kuelezewa kwanini mpaka sasa hutaki kuacha kazi, lakini hio kazi utaiacha mwishowe kwa lazima ukifika umri flan. Kama ipo siku lazima utafukuzwa kwa lazima ama kustaafu kwanini usianze maandalizi mapema! Tushachoka kuskia taarifa za watu kujiua bila kua na sababu hivo...
  2. F

    msaada wa kisheria kuhusu mchakato wa madai ya kuachiswa kazi

    Habari Nahitaji ushauri nlikua nimeajiriwa na benjamin mkapa foundation chini ya mradi wa USAId Afya endelevu,baada ya agizo la trump la kusitisha miradi ya USAID la january tukarudishwa kazin february then march ikatolewa notisi nyingine ya kusitisha mradi wa afya endelevu,ambao mwajiri ambae...
  3. A

    KERO Wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu kutoka NSSF

    Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
  4. 0

    Kuachishwa kazi bila kufuatwa taratibu zozote za kisheria

    Habari , Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni x kwamuda wa miaka 2 ambayo nimetimiza tarehe 31 /12/2024 Kwani nilianza kazi tarehe 31/12/2022. Tarehe hiyo yakutimiza miaka miwili ilipofika nikiwa najiandaa kuingia kazini lisaa limoja na dk kadhaa kabla ya kuripoti kazini nilipata ujumbe kwanjia ya...
  5. P

    Msaada kupata mafao NSSF baada ya kuachishwa kazi

    Jamani naomba msaada kwa anaeelewa kuhusu mafao ya NSSF. Mimi nimewahi kuajiriwa kama professional na baada ya mkataba nilifungua madai NSSF nikalipwa kwa mfumo wa 33.3% ya mshahara wangu kwa muda wa miezi 6 then muda ukapita nikiwa napambana na maisha. Baada ya muda nikapata kazi ambayo si...
  6. OLS

    Nikisikia kahamishwa kituo cha kazi, au kushushwa cheo, nitajua Serikali haina mpango wa kutokomeza ukatili kwa Watoto

    Maneno ya utangulizi katika Mpango Kazi Wa Taifa Wa Kutokomeza Ukatili Dhidi Ya Wanawake Na Watoto (MTAKUWWA), una maneno ya kuazimia kufanya Watoto wote wakue bila kukumbana na ukatili wa aina yoyote. Na kimsingi wameweka kuwa ukatili unaingarimu Tanzania takriban dola za kimarekani bilioni 7.1...
Back
Top Bottom