Habari wana jamiiforum,
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa afya njema hadi muda huu, natumai na ninyi ni wazima, kama ni mgonjwa mungu akupe nafuu uweze kupona.
Nimeamua kuchukua nafasi hii kuelezea athari za video za ngono (porn) katika ubongo wa mwanaadamu, hasa kwa sisi vijana...