Jana nilikutana na raia mmoja wa Misri akanifafanulia mambo ambayo sikuyajua.
Mimi kwa mawazo yangu nilidhani hakuna wakristo Misri ila aliniambia wapo wengi tu japo idadi kubwa ni waislam na yeye mwenyewe ni mkristo. Akaniambia hata Iraq kwenyewe kuna wakristo hata Tariq Azizi aliyekuwa waziri...
Kitabu kitakachoongoza imani hii kitakua na page takribani 600.
Utofauti wa dini hii na hizo nyingine ambazo ni biashara za watu, hii haitakua biashara, hii itakua ni dini ya kumuabudu Mungu wa kweli (sio Mungu kiziwi asieshughulika na matatizo ya watu)
UTamuabudu Mungu wa asili yako (sio...
Kuna tabia ya hovyo imezidi kukithiri ya baadhi ya watu tena wengi wao masikini makapuku kabisa kuwakejeli na kuwazodoa watu wanaolalamika baadhi ya watoto na ndugu wa viongozi kujikatia mapande makubwa zaidi ya keki ya taifa(upendeleo). Hawa watu wanasema watu wasikosoe au kulalamikia watoto na...
Ni hoja niliyojiuliza, kwamba watu hawatakiwi kuabudu hata sehemu zingine, walau hata kukodi ukumbi ili kujifunza Neno la Mungu bila kwenda maeneo waliyozungushia utepe, kwa hiyo ile haki yao ya kuabudu imesimamishwa hadi kesi itakapoisha hata kama ni miaka 10? ndivyo katiba inavyotaka ilipotoa...
Kuna mtu nilimwambia mbinguni ni kusifu na kuabudu aliniambia kama mbinguni hakuna starehe au wanawake wazuri hataki kwenda.
Aliniambia kama mbinguni ni kusifu na kuabudu tu huku ni kuchoshana hii si ni adhabu hii, akaniambia yeye anataka kwenda kwenye pepo ya wanawake wazuri na starehe.
Mimi...
Siku chache zilizopita niliandika uzi unaoitwa: “Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?”Ulikuwa ni mwitikio wa kile tulichoshuhudia tarehe 22 na 29 June 2025: waumini wa dhehebu flani wakitawanywa kwa mabomu wakati wakiwa kwenye ibada.
Sikuandika kwa lengo la kutetea mtu...
Tafadhali mods naomba muuache uzi huu ili tuulizane na kupata majibu ya maswali yanayohusu hatima yetu.
Wadau wa JF na Watanzania wote. Ni juma la tatu sasa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Gwajima limefungwa na kusababisha Waumini kunyimwa haki yao ya Kikatiba juu ya uhuru wa...
Wakuu habari zenu,
Kiukweli nimekuwa nikifuatilia kwa utulivu kinachoendelea kuhusu baadhi ya viongozi wa dini nchini, hususan tukio linalomhusu Askofu mmoja ambaye kwa sasa jina lake limekuwa gumzo lakini kwa kweli kinachonigusa si jina lake, bali kile kinachowakumba waumini wake.
Leo nimeona...
https://www.youtube.com/live/o_B5LqZdbCY?si=omR1VXMDoSHBZPLq
Honestly, nimeshindwa kuelewa hii maana yake ni nini hasa...
Polisi wamezuia majengo na mali zote za kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima Tanzania nzima zisitumiwe na wenye Mali kwa kuwa eti "jina la kanisa" lililosajiliwa serikalini...
Salaam, Shalom!
Nimesikia nabii Tundu Lissu akilalamika kupokwa haki yake ya kuabudu, hii SI kweli.
Agano la kale, watu iliwabidi kusafiri Hadi Yerusalemu kwenda kuabudu, Agano jipya mambo yamebadilika. Mungu anaabudiwa Katika njia illiyoboreshwa zaidi.
Wamwabuduo halisi, imewapasa...
Heshima sana wanajamvi.
Najiuliza kanisa la Ufufuo na Uzima limefungwa waumini wake hawana fursa ya kuabudu.
Kanisa la Askofu Mwanamapinduzi limefungwa hakuna kuabudu.
Lissu gerezani hakuna kuabudu !
Je hii imekaaje ?.
Ngongo kwasasa Ukonga.
Nilishasema Mama anahujumiwa. Ninarudia tena MAMA ANAHUJUMIWA. Kuna cartel inasukuma kete zake kwa ustadi mkubwa sana kumharibia mama kipenzi cha watanzania. Hii ishu ya kuzuia waumini wa kanisa la Gwajima kuabudu inaichafua zaidi serikali ya mama. Kama Gwajima ndo mwenye kosa basi akamatwe yeye...
Kulifunga kanisa la Ufufuo na Uzima na kunyima maelfu ya waumini wa Kanisa hilo uhuru wa kikatiba wa kuabudu siyo jambo dogo linalotakiwa kuchukuliwa kwa wepesi.
Ningeshauri Waumini wa kanisa hili na Watanzania wengine wote wa imani zote na madhehebu yote wanaoamini katika utawala wa sheria na...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa waumini wa dini mbalimbali nchini kuzingatia Sheria ya uhuru wa kuabudu wanapotekeleza ibada zao, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ili kuhakikisha ibada hazivunji amani wala sheria za nchi.
"Tunapokuja kuabudu hapa, tuzingatie...
Inaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya kumwabudu Mungu kwa kufungiwa kanisa.
pengine najiuliza, au ilionekana kinachoendelea kule ni...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia soma > ACT Wazalendo...
https://youtu.be/NhpB9Zh2_6Y
I. Usuli
Uamuzi wa serikali wa kukurupuka kufunga kanisa la ufufuo na uzima na matawi yake 2,000 nchini Tanzania, tena bila kutoa nafasi ya kujitetea kwa viongozi wake, ni ushahidi kwamba huenda viongozi wetu hawaelewi kwamba uhuru wa kuutafuta ukweli wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.