Inasikitisha kijana mwenye ufaulu hafifu D nne anaenda kusoma clinical medicine awe daktari akatibu watu kweli?
Vigezo vya D vifutwe wenye sifa za kusoma iwe kuanzia angalau C
Kulingana na ufaulu wa kidato cha sita kuendelea kupanda na kuwa juu kadri miaka inavyozidi.Ni muda muafaka sasa mamlaka husika zikafanya jitihada za kimakusudi kutanua wigo wa masomo ya kozi za afya nchini.
Katika nchi ya Tanzania bado wahitimu wengi wa kidato cha sita tahasusi ya PCB...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha Kolandoto Colage of Health Science kilichopo Shinyanga Kolandoto, tunapitia changamoto zakutosha sana wanafunzi nitaje baadhi;
1. Wanafunzi tumekuwa tukifelishwa na waalimu makusudi kisa bifu, au mahusiano ya kimapenzi baina ya waalimu na wanafunzi na utoaji wa...
Anonymous
Thread
afya
changamoto
chuo
health
katika
kozikozizaafya
science
wanafunzi
●Biometrical Engineering
Hapa soma diploma tu fanya kazi utapanda daraja kidogo kidogo
●clinical
●Nursing
●health laboratory
●physiotherapy
●Dental therapy and surgeon
●Environmental health
●Radiology
●Nutrition
●occupational therapy
● Technologist pharmacy
Nina mdogo wangu najaribu kumuombea chuo kwa ngazi ya diploma kwakuwa alichelewa kuomba kwa awamu ya kwanza. Yeye anataka kusoma kizi za Engineering au ICT. Changamoto nayo kutana nayo kwenye mfumo kipengele cha kuchagua kozi kinaniletea kozi za afya tu kama hivi.
Habari,
Dogo kamaliza form six PCB ufaulu wake ni Phy-E, Chem-D na Bios-C, je, anaweza kusoma afya kwa vyuo vya serikali au binafsi?
Binafsi anapenda Udaktari au Ufamasia, ushauri afanyaje?
Nawasilisha.
Habari Wakuu,
Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure?
Chuo kisiwe kanda ya ziwa wala kusini mwa Tanzania.
Naombeni msaada pls!
Habari wanaJF matokeo ya kidato cha sita yametolewa leo . Nimepata ufaulu huu
Geo D
Chemistry E
Bio E
BAM E
Kwa nilivyoona Sina qualifications za kwenda degree.
Nauliza je uwezekano wa kwenda diploma upo kozi za afya?kama inawezekana Je nikisoma diploma ya afya inachukua miaka mingapi...
Wakuu poleni na majukum,
Nimeombwa ushauri hapa nikaona nililete kwenu maana humu kila kila aina ya wabobezi.
Huyu kina anataka asome kozi za afya na matokeo yake ni haya :
PHYSICS. " F"
CHEMISTRY " B"
BIOLOGY. "C"
MATHEMATICS "C"
ENGLISH " B"
Kiujumla ana Division Two ya point 19.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.